UDOM kuna urasimu mwingi

Dec 6, 2016
41
24
Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha.

Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora.
 
Urasimu kivipi??
 
College ya natural science disco nyingi kwahyo kijana itakua nawe ni mhanga wa hli wazee wa statistics wahindi hamuwaelew polen
 
akili za viazi huwa hazibadiliki, step up brother, tafuta kitu kingine andika kwanza kwenye karatasi, hakikisha ni cha maana halafu post humu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom