UDOM kuandamana kwenda Bungeni

IS IT RIGHT

  • WHY

    Votes: 1 100.0%
  • WHAT TO DO

    Votes: 1 100.0%

  • Total voters
    1
napata shida sana kukuelewa mkuu!!!
hao waliofukuzwa kwa udini ni kina nani? (majina)
na wapo dini gani? hao waliofukuzwa kwa siasa ni kina nani pia?? majina tafadhali.
 
daa hata kama ni kuiogopa na kuikomoa CDM this is too much!!
Yani kudai haki imekuwa nongwa?
 
Ni kweli kuna fujo sasa hivi hakuna gari linaloruhusiwa kuingia chuoni, wanachuo wanarusha mawe,ni hali ya kutisha sana,nasikia gari za polisi zimeshakwenda kutuliza hizo gasia,my take...kwanini chuo kimekurupuka mapema kutoa adhabu hata serikali haijatoa tamko kuhusu madai yao...hii si nzuri sana,wanahatarisha usalama wa wadogo zetu pale.
 
Sasa si mbandike hayo majina tuone, wengine tuna vijana wetu pale kama nao wapo tuwatumie nauli
 
Wana-JF na wapenda demokrasia wengine wengi, kuna tatizo kubwa UDOM; tukalijadili kiundani zaidi na hasa haya madai ya ITIKADI ZA SIASA na UDINI vyuoni na jinsi hali hiyo, isipozuiliwa mapema, itakavyoweza kuliathiri taifa letu.

penye kudai haki penye jambo la msingi ambalo halina hata chembe la kukataa iweje siasa itumike kama chanzo cha kuwafukuzisha wana udom kudai field kwani kabla ya kubandikwa majina ya hao wanafunzi kuna kada wa ccm kupitia wall ya facebook tayari alishapost izo taharifi uku akisema lazima waongoze chuo chao uwo ni vijana wa ccm uku pia udini ukitumika.

Nawasilisha
 
Wana-JF na wapenda demokrasia wengine wengi, kuna tatizo kubwa UDOM; tukalijadili kiundani zaidi na hasa haya madai ya ITIKADI ZA SIASA na UDINI vyuoni na jinsi hali hiyo, isipozuiliwa mapema, itakavyoweza kuliathiri taifa letu.
tutajadili vipi wakati thread yenyewe kibogoyo?wekeni issues za msingi hapa mkuu
 
Majina muhimu kwa mwenye kujua A to Z kwani hakika mambo ni magumu. Mmmmmhh! Eti ni wale wenye uongozi wa Chadema na Udini. Kazi kweli kweli!
 
ndugu zangu ata nashindwa kuelezea kwani hasira dhidi ya serikali yetu kwani katika majina hayo kulikuwa na list ya wanafunzi most wanted hasa wali wa upande wa pili ambao ni wanachama wa chadema ila cha kushangaza wakiwa hawajahusika ktk mahandamano lakini majina yao yametoka. Ikiwa Alex Mushi kiongozi wa bavicha taifa pamoja na viongozi wa tawi udom.
 
mkuu, km kweli una kijana na unamjali usingesubiri ubandikiwa majina ya watu mia, huna namba yke ya simu. Dah! Umenishangaza great thinker.
mkuu nisikushangaze, mimi nakumbuka wakati nipo chuo miaka ya 80 iliwahi kututokea kule kampala lakini kwa kumuogopa mzee nilishindwa kumwambia, nikarudi nyumbani kimyakimya, sasa hauoni hata yeye inaweza ikatokea hivyo
 
Kwa natural science wamesimamishwa 24, akiwemo rais wao LEMA TUMSIFU, wengine ni LESAITO, TIYA S, 3.JULIUS, MARIGO, 4.MSIGWA JOSEPH, 5.PETER MKAMA, 6. RICHARD, HERMAN, 7.SAMWELY, FRANK, 8.ROZALIA MUSSA, 9. BADOKUFA,PROSPER, 10. MOROGORO JUMAPIL.
 
Ni kwel majina yamebandikwa,na nikama ndo wamechafua hali ya hewa kwan kila mtu amekua mbogo na inavyo onekana kinachofuata ni violence.
 
ndugu zangu ata nashindwa kuelezea kwani hasira dhidi ya serikali yetu kwani katika majina hayo kulikuwa na list ya wanafunzi most wanted hasa wali wa upande wa pili ambao ni wanachama wa chadema ila cha kushangaza wakiwa hawajahusika ktk mahandamano lakini majina yao yametoka. Ikiwa Alex Mushi kiongozi wa bavicha taifa pamoja na viongozi wa tawi udom.
Tuna zalisha taifa la wasomi wenye mtazamo wa ki-ccm na Ki-chadema! Bahati mbaya hii! Hopeless kabisa!
 
Wanafunzi hao wamesimamishwa chuo kwa siku zisizojulikana college ya 'natural science and mathematics.' Tangazo hilo lililotolewa na DEAN OF STUDENT wa college hiyo limeandikwa hivi "STUDENTS SUSPENDED FROM UNIVERSITY WITH EFFECT FROM 14th JUNE 2011' wanafunzi waliosimamishwa ni 1.LEMA,Tumsifu (rais wa college hiyo) 2.LESAITO, Tiya S. 3.JULIUS, Marigo, 4.LYIMO, Frank A, 5.MSIGWA, Joseph, 6.PETER, Mkama, 7.RICHARD, Herman, 8. SAMWELY, Frank, 9. ROZALIA, Mussa, 10. BADOKUFA, Prosper
 
Wanafunzi wengine ni, 11. NDASHAU, Elibariki, 12. JOSEPH, Patrick, 13. STAMBULI, Issa, 14. BWIRE, Stephano, 15, KAZAZA, Stanslaus, 16. GULANO, Edwin, 17. JOHN, Sothery, 18. DANIEL, Makuri. 19. MDOGO, Mchani, 20.KILIMO, Thomas, 21. LUKINDO, Seif S. 22. LYAGENDO, Elias 23. MNOSI, Cathbert 24. MOROGORO, Jumapil
 
Topic imenivuta kwa upande wa title,but maelezo yanakua kama hayatendei haki title yenyewe, anyway ....mi napita tu mazee
 
Back
Top Bottom