UDOM kuandamana kwenda Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM kuandamana kwenda Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bibikuku, Jun 12, 2011.

?

IS IT RIGHT

 1. *

  WHY

  1 vote(s)
  100.0%
 2. *

  WHAT TO DO

  1 vote(s)
  100.0%
 1. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha dodoma imeridhia wanafunzi kuandamana kesho kuelekea bungeni kwa ajili ya kupinga hatua ya kunyimwa kwa mara nyingine fursa ya kufanya mafunzo kwa vitendo (Field) katika likizo inayotarajia kuanza soon.
  ikumbukwe kwamba kuliwahi kutokea mgomo wa aina hii na mawaziri watatu wakakodi ndege hadi dodoma kwa ajili ya kusuluhisha, na kuahidi kuwa kuanzia sasa wale ambao walikuwa hawaendi field wataanza kwenda mwaka huu. lakini sasa muda umekaribia na uongozi wa chuo umewatangazia tena kwamba hakuna field. Sasa ndipo uongozi wa serikali umeamua wanafunzi wafanye maandamano kwenda bungeni kudai haki yao na kulalamika serikali kuwapa ahadi ya uongo.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  .....................Real UDOM you have the work to do....I wish all the best in your endeavors,I cant understand university student without field practical what is this?...rubbish!!!!
   
 3. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ujinga mwingine bunge ndio Wizara ya Elimu na Mafunzo! Nchi hii kila kitu ni siasa tu!
   
 4. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  We ndo mjinga, unamaana waandamane hadi Dar!??.
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Vijana wa Chuo kikuu chetu cha Kata mnadai ruhusa kwenda field au posho za kuendea field?
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hawa madogo wajinga then migomo yao huwa hawajui kuipanga, ni watu wa kukurupuka sana! Ngoja wakachezee kichapo!
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wewe ndiye mjinga usiyejua kazi na wajibu wa bunge katika masuala ya elimu.
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Migomo ya udom ipo very disorganise, kifupi wanaboa!
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wanataka posho hao, ndio wakome kuvaa t-shirts za ccm!
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kama una elimu ya chuo kikuu sidhani kama uliipata kwenye vyuo vyetu vya tanzania.
   
 11. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Nna wasiwasi na uwezo wako wa kufiria!..
   
 12. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  lengo si kwenda bungen mtoa maada lengo la wanafunzi ni kwenda kumuona bwa mkubwa pinda na mwenzake kawambwa ambao waliweka sahihi kwenye maazimio ya mnamo mwez desemba mwaka jana kuwa wanafunzi wote lazima waende field yaan mafunzo kwa vitendo. Hivyo wanaenda huko kumtaka mkubwa mizengo na mwenzake kawambwa kuthibitisha kwamba waliudanganya au la na kama walikuwa hawana hakika kwanin waliweka sahih katika maazimio waliyokubaliana. NB lengo c kuonana na wabunge naomba ileweke hivyo.
   
 13. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,454
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Wavae au wasivae t-shirt za CCM haki yao wape .
   
 14. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanataka Posho! Kitu posho jamani! Posho hadi wazee hawataki zikatwe!
   
 15. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mliwahi kusema hapa Udom ni ya Chadema sasa wakome kuvaa t-shirt za Chadema?
   
 16. E

  Eunda Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tujadili hoja ya msingi na si kuleta ushabiki usiokuwa na tija. Nani kasema wanafunzi wa UDOM wanadai posho au wanavaa Tshirt za CCM?
  Kusoma bila mazoezi kwa vitendo ni kazi bure.
   
 17. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,200
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Mungu wangu, huyu sijui anafikiria nini? Amesahau kuwa Viongozi wakubwa wote akiwemo waziri wa Wizara anayoitaja yupo Dodoma. Nchi hii ina wajinga wengi sana
   
 18. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Kwa hili nawaunga mkono!field ni haki yao kwani si walihaidiwa.
   
 19. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kwani wakiwa dom isue za kielimu huwa wanaziriport bungeni? na nihatua gani viongozi wao walisha zifanya za kuonana na waziri kiasi kwamba waende bungeni.

  Field hata wakienda huwa waliowengi wala haziwasaidii ila tu wanajitakia pesa. Mimi ofisini kwangu aliwahi kuja mwanafunzi wa field nikamuuliza huko chuoni kwao ni mambo gani wanataka afundishwe ktk kipindi chake cha field akashindwa kujibu, toka siku hiyo nikagundua hii nyanja nayo inatakiwa ifanyiwe kazi, kwani bado ni kiini macho kinachopelekea upotevu mkubwa wa pesa.
  Mwanafunzi anachukua pesa za field na huko field haendi na hata akienda hakuna anachojifunza.
  Kwa mfano kozi zingine ni za kifedha ivi ni kampuni gani utaenda kufanya field waweze kukuruhusu kuingia kwenye system zao hali ya kuwa wewe si muajiliwa?
   
 20. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MWENYEZI MUNGU awatangulie ila nina shaka na police wetu na viongozi wetu maana hawatakawia kusema mmchochewa na chama fulani hivyo kugawa kipigo..USHAURI..msiandamane isipokuwa mkutane nyerere square zaidi nikutakieni kila laheri ndio serikali yetu 2tafanyeje UDOM NI YETU SOTE
   
Loading...