Mkuu hii siyo siasa jamaa kafanya vizuri upande wa UDOM
Yaani uwe Raisi halafu unaanza kuweka majina yako kwenye pesa za walipa kodi umalikia huo
Mkuu hii siyo siasa jamaa kafanya vizuri upande wa UDOM
Ni pendekezo mkuuUniversity of Dodoma (UDOM) itabaki hivihivo kama UDSM ilivyo! Dodoma ni makao makuu ya nchi. Period.
Mkuu jibu hojaYaani uwe Raisi halafu unaanza kuweka majina yako kwenye pesa za walipa kodi umalikia huo
Kuna viongozi wengine hawataki si vibaya wakipewa wakishaondoka pia kama kuwaenziTusisubiri viongozi wafe ndiyo tuanze kutoa sifa
Taasisi ngapi sasa zitaitwa Nyerere?Natoa pekendekezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiitwe Jakaya Kikwete University sababu ni miongoni wa chuo kikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki. Hii ni heshima kubwa kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga Chuo Kikuu kikubwa na kupanua elimu hapa nchini, pia tusisubiri mtu aondoke ndiyo tuanze kusifia tumpe haki yake akiwa hai.
Naomba kuwasilisha.
Baadhi siyo taasisi zoteTaasisi ngapi sasa zitaitwa Nyerere?
Halafu na UDSM, MZUMBE, MUCCOBSMkuu chuo kilijengwa wakati wa utawala wake, ni heshima ambayo tunatakiwa kumpa JK
Ni heshima mkuuha
Halafu na UDSM, MZUMBE, MUCCOBS
hebu acheni UDOM kiendelee kutambulika kimataifa km vingine OXFORD, HAVARD
Mambo ya kuvipa majina ya viongozi mwishowe vinaitwa vya Kata
Natoa pekendekezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiitwe Jakaya Kikwete University sababu ni miongoni wa chuo kikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki. Hii ni heshima kubwa kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga Chuo Kikuu kikubwa na kupanua elimu hapa nchini, pia tusisubiri mtu aondoke ndiyo tuanze kusifia tumpe haki yake akiwa hai.
Naomba kuwasilisha.
Siyo vyema sababu kuna kingine kinaitwa hivyoNadhani Inasubiriwa kiitwe; ""Nyerere university".
Siyo vyema sababu kuna kingine kinaitwa hivyo
EnoughNyerere university, Bwawa la nyerere, Uwanja wa JNIA, nk!!!??
Siyo vyema sababu kuna kingine kinaitwa hivyo
Pendekeza na weweBasi kiitwe; "kinjekitile Ngwale university" au "Ngwale university".