Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,556
- 3,741
HONGERA VICTOR KWA KUWAUMBUA MASNIRCH
Mimi binafsi ninampongeza bw Victor Bemelya rais wetu kwa kuliondoa Bunge ambalo lilikuwa ni jibu kuu katika college yetu hii ya Humanity na social science,
Ukweli nimefurahi sana wabunge walikuja kupokea first year lakini kaz yao kubwa ilikuwa ni kuwa wafanyakazi wa NSSF na sio kupokea wanafunzi walikuwa wanalipwa huko na wakachukua na posho udoso.
Yaani wabunge kazi yao ilikuwa ni kufanya biashara na kuchonganisha serikali na utawala nakumbuka spika alikataa kusain hela iende kwa MACR vile vile alikataa kuitisha BUNGE LA DHARURA ili wanafunzi ambao hawana ada wapewe hela ya udoso ili wakisain Boom zirejeshwe.
Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni tulikuwa tunalipa Bima ya Afya 100000 sasa hv tunalipa 50400 kama Victor Alivyoaidi Direct Cost ilitaka kupandishwa mpaka shilling 450000victor alikomaa mpaka ikawa shilling 16900
Nyinyi wabunge mlikuwa wapi kipind victor anapigania maji mbona hakuwepo hata mmoja pale Alfa speaker alikuwa wapi na yeye kupigania suala la maji si ni wewe speaker na Magandula mlioenda kusema kwa utawala victor alipoomuomba wadeni wa Block 15 awaweke watu ambao hawajasajiliwa mkasema kuwa Victor na Wadeni Wameuza Block mpaka kufikia hatua victor kutaka kufukuzwa.
Leo hii yale mambo aliyoyafanya mwaka jana kwa Mwakibinga ameanza tena kwa Victor alikuwa anasema hata victor akileta jina la Maraika nihakikisha wamemukataa ili tupindue serikali mpaka niwe Rais wa udoso.
Vikao ambavyo anakaa Magandula ambaye ni katibu mwenezi wa ccm na Spika akishirikiana na viongozi wa ccm wanapanga Magandula awe Rais halafu amtengenezee speaker tume aje awe Rais
Kumbe juhudi zenu ni Madaraka kumbe sio tena kuwapigania wanafunzi sijawahi kuona speaker ameweka Bunge La Dharura kujadili maji au kujadili watu ambao hawalipa ada wasaidiweje lakini Bunge la dharura la kumuondoa waziri mkuu tumesikia mapaka tumechoka.
Josias Charles pamoja na Magandula kila siku wanaapa kuondokoa kiongozi wa chadema Humanity ili siku ya serehe ya kupokea first year wapate sifa kwa Rais kikwete kumbe wanatafuta sifa kuwa wameiondoa serikali ambaye imeshikiliwa na wanachadema sio kuwasaidia Wanaudom.
Hii sio sawa kumbe kosa la victor ni kuwa mwanachadema sio utendaji kazi wake mbona nyinyi wanaccm kama mlikuwa Mnataka wachapa kazi mbona Mwakibinga mbona mlimsnirch nyinyi hamna chema nyinyi.
Na Wewe Mwita tulikuwa tunakuona kamanda kumbe sio kabsa unaungana na Magandula kumsnirch Victor Rudi kundini kijana msaidie victor nae anamapungufu yake kama Binadamu anaomda anaweza kujipanga upya akapiga kazi Oscar Kapalale wamemtoa mhanga tagert yao sio wewe ilikuwa ni victor ila walikuwa lazima wapitie kwako ili akipekeka majina mara tatu wayakatae kikatiba atajiondoa kuwa Rais kwa hiyo amewashutukia hao makanjanja.
Hongera sana vile vile victor kwa kupambana na ccm ili uendelee kuwasaidia wanaudom maana kila siku wabunge na viongozi wa ccm wanakaa vikao Dodoma Hotel kuhakikisha unaanguka lakini Mungu atakupigania
Wanaudom hamuijui hii vita watu wanalazimisha waondoke na CV za kuwa marais bila GPA watu wanataka chama chao kuwa Dominant na sio kutatua matatizo yenu tuungane na Victor na wewe mheshimiwa Rais fanyia kazi kero zetu sasa hivi huna Bunge ndio lilikuwa linakukwamisha chukua hela lipa MACR shughulikia Boom zetu uliwaid na Mungu akubariki
Justice 4 Victor Bemelya
Tunampenda hivyo hivyo mkituita tutakuja kuwapa kipigo we Love Our Victor
Ni mimi
Alphonce Mathias
Baed mwaka wa 3
0786554757
Share hii sms mpaka kwa masnirch.