Abdul Nassir
Member
- Sep 20, 2015
- 79
- 9
hii kozi iko vizuri namalecturer wapo wala msiogope. mtaisoma for three years . mtakutana na wenzenu mwaka wa pili, ni kati ya kozi zenye wigo mpana wa ajira nk.
Mkuu asante umenitoa wasi wasi
hii kozi iko vizuri namalecturer wapo wala msiogope. mtaisoma for three years . mtakutana na wenzenu mwaka wa pili, ni kati ya kozi zenye wigo mpana wa ajira nk.
Mkuu ina maana kubadili programe hakuna hapo COES??mi nimechaguliwa Env sciencekuhama usiiweke maanani sana as ni very rare scenario. geoinformatics ni nzuri sana hasa kwamba wataalam wake bado ni wachache na ajira ziko maeneo mengi. karib sana coes , utanikuta pale niko 3rd year mineral processing eng.
Mkuu ina maana kubadili programe hakuna hapo COES??mi nimechaguliwa Env science
Env science, kwahiyo nyie ndo mnaoenda kuianzisha hii kozi,
kwa wale waliochaguliwa udom hasa college of earth science mnaweza kuniuliza jambo lolote!nipo kuwasaidia!
nipo 2nd yr petroleum engineering
hiyo si ni collage ya natura science, ajira ni viwandan i kote ana fitiJamani kuna mdogo wangu kapata hapo msc.in chemistry udom ila bado hajakwenda,vipi kuhusu ajira yake?ni maeneo gani anaweza ajiriwa mi ndo namfund asome hapo msaada plz
3yrs, ada 1.5milmkuu course ya Geoinformatics ni miaka mingapi na ada yake sh ngapi
ongezeko la hawa jamaa linasababisha tulie kwa kuhamishwa kutoka info hadi coed daaaaaaaaaaaaah:angry:Env science, kwahiyo nyie ndo mnaoenda kuianzisha hii kozi,
Yes mkuu thanx,ila viwandani wa kike inanipa shaka kidogohiyo si ni collage ya natura science, ajira ni viwandan i kote ana fiti
ongezeko la hawa jamaa linasababisha tulie kwa kuhamishwa kutoka info hadi coed daaaaaaaaaaaaah:angry:
Yes mkuu thanx,ila viwandani wa kike inanipa shaka kidogo
koz gan mnaohamishwa mkuu
Zipo sehemu nyingine mbali na viwanda, mfano mashirika ya viwango (tbs/tfda), mambo yavyakula. Vitu ka izo kwa ninavyoelewa
Thanx alooooot mkuu be blessed ,ukipata mwenza Mungu akujalie watoto kumi mmoja atakuwa Rais
Ha ha ha asanteeee sana nitakuja mbeya basi ukiniambia kama una mdogo
Hofu ondoa
Brother mimi nimechaguliwa mining engineering hapo udom vipi soko lake kwa sasa? Na vipi hapo chuoni msuli wake?kwa wale waliochaguliwa udom hasa college of earth science mnaweza kuniuliza jambo lolote!nipo kuwasaidia!
nipo 2nd yr petroleum engineering
Bachelor or diploma?Brother mimi nimechaguliwa mining engineering hapo udom vipi soko lake kwa sasa? Na vipi hapo chuoni msuli wake?