Elninho Elninho
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 537
- 401
Mkuu naomba kuuliza maswali yafuatao
1.Je kuna optical microscope ngapi?
2.Je kuna microscope za polished sections? na kama zipo ni ngapi?
3.Je collections za miamba kwa ajili ya kufundishia iko ya aina ngapi na kutoka wapi? Tafadhali naomba unipatie na miaka yake
4. Vipi kuhusu ore deposit models zinazundishwa mwaka wangapi na je wanaofundisha wamegundua migodi mingapia au deposits ngapi?
Kwa leo hayo tu ukinijibu nitakuuliza mengine yatokanayo na majibu yako!
we na we kujua hizo type za microscope uctake kutisha wa2,,keshakwambia anachukua petroleum eng,,xo hawez akawa anafuatilia @ ki2 cha geology,,,,vp www,,hujielewi nn?