UDOM - College of Earth Science

UDOM - College of Earth Science

bidam90

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
273
Reaction score
203
kwa wale waliochaguliwa udom hasa college of earth science mnaweza kuniuliza jambo lolote!nipo kuwasaidia!
nipo 2nd yr petroleum engineering
 
ktk kozi ambayo college ofearth science imejipanga ni hio coz ina wali wa kutosha hasa wahindi,mazingira ya kusomea yapo fresh coz chuo kina quarry ya kufanya observation ya mawe na madini,pia kuna geological survey of tanzania(GST) ampayo wa'funzi wanaenda kufanya practicals!filed pia haisumbui coz wanakwenda mbeya-chimara ambapo wanaaungana na wanafunzi wa udsm!
 
Shukrani ndugu..msuli wake nackia c wakitoto..
 
vp kakaa mm nimechagulia hapo geoinformatcs lakn sikuipenda sana na nemesoma EGM nina 3.15 je nina weza kuhama hi program nilyo chaguliwa na kuhamia program kama petroleum,aplled geology au ming ?msaada kwako naomba kaka
 
kwa wale waliochaguliwa udom hasa college of earth science mnaweza kuniuliza jambo lolote!nipo kuwasaidia!
nipo 2nd yr petroleum engineering

Mkuu naomba kuuliza maswali yafuatao
1.Je kuna optical microscope ngapi?
2.Je kuna microscope za polished sections? na kama zipo ni ngapi?
3.Je collections za miamba kwa ajili ya kufundishia iko ya aina ngapi na kutoka wapi? Tafadhali naomba unipatie na miaka yake
4. Vipi kuhusu ore deposit models zinazundishwa mwaka wangapi na je wanaofundisha wamegundua migodi mingapia au deposits ngapi?

Kwa leo hayo tu ukinijibu nitakuuliza mengine yatokanayo na majibu yako!
 
inawezekana kuhama hio kozi kuhamia geology 2coz ni department 1 ila ka itakuwa bado ina nafac ya kuchukua w'funzi!hizo nyengine lazima uwe na physics!shida inakuja kwe kuhamisha mkopo kutoka ktk kozi uliopangiwa na tcu kwenda kozi unayotaka kuhamiya inakuwa ni process ndefu kidogo
 
yah ni kweli inahitaji msuli zaidi coz unatakiwa kuelewa na c o kumeza.Unatakiwa uwe fresh kwe geography coz karibiya miaka yote mi3 mnakomaa na physical geography na masuala ya survey,chemistry,physics na maths pia!
 
ktk kozi ambayo college ofearth science imejipanga ni hio coz ina wali wa kutosha hasa wahindi,mazingira ya kusomea yapo fresh coz chuo kina quarry ya kufanya observation ya mawe na madini,pia kuna geological survey of tanzania(GST) ampayo wa'funzi wanaenda kufanya practicals!filed pia haisumbui coz wanakwenda mbeya-chimara ambapo wanaaungana na wanafunzi wa udsm!

Mwaka 2011 nimekutana nao mbeya chimala,vifaa vya kijiolojia hamna vya kutosha,acha kufagilia ujinga
 
Yah changamoto zipo ila 2011 ni tofauti na 2013 kwa sasa lab ya COES ipo kwe hatua za mwisho oct. Mwaka huu inaweza kuanza ku2mika!BG company(gas&oil exploration) ilitoa vifaa vyenye thaman ya zaid ya 83M!
 
COES lab ipo under construction ila oct. Mwaka huu inaweza kuanza ku2mika kwani ipo kwe hatua za mwisho!kwa sasa chuo kinategemeya sana lab za nje ya chuo hasa GST(geological survey of tanzania) ambayo ipo 2 jirani na chuo!ina vi2 vyote ulivyovitaja coz inategemewa sana hapa tz kwa masuala ya geologia na utafiti wa miamba!pia w'funzi wengine wanafanyia practicals lab za udsm hasa mineral&mining eng.!kwa petroleum practicals 2nafanyia mtwara&dar kwe labs za schumblger(kutoka france) na tpdc!3 to 5 yrs ijayo chuo kitakuwa kimejikamilisha ktk kila ki2!
 
Chuo kwa sasa kipo ktk hali nzuri tofauti na miaka ya nyuma challenges zilikuwa nyingi!kina 5 yrs but chuo kipo no. 7!miaka ya mbele ijayo kitakuwa ktk position nzuri zaidi!
 
ajira zipo coz ni kozi ambayo haijavamiwa sana mageologist wengi kwa sasa ni wazee vijana wanahitajika sana!unaweza fanya kazi kwe migodi,oil and gas companies,manispaa kwe masuala ya modern technique survey ila inahitaji uwe competent 2 pia na uelewa c o kumeza tu!
 
Tunashkuru ndugu kwa ufafanuzi mzuri,tutakutana coet.
 
room zipo za kumwaga mpaka majengo mengine yamefungwa hayana watu!udom ndo chuo pekee chenye kuaccomodate wanafunzi wote kwe hostel zake!kuna room nyengine anakaa mtu mmoja tu sana wanaochukua master na phd
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom