UDOM: CoED Waandamana kushinikiza madai yao

Mnyakatari

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
2,027
1,791
Wadau,muda huu wanachuo wa college of Education wapo barabarani kuelekea maeneo ya utawala kushinikiza madai ambayo yamesababisha wagome wiki nzima iliyopita pamoja na jana na leo.Hasira imepandishwa zaidi baada ya uma kudanganywa kuwa migogoro yote imeshatatuliwa na waziri mkuu.Pinda amemaliza msuguano uliokuwepo kati ya wahadhiri na menejimenti lakini ameshindwa/amekwepeshwa kuja kuonana na wanafunzi college of Education.Waandishi wa habari makini fikeni utawala wa udom muda huu kufikisha kwa jamii hii hali kama ilivyo.Madai ya wanafunzi kitivo cha elimu udom ni haya:Kurudishiwa fedha iliyozidi ya acomodation;Kupatiwa fedha ya mahitaji maalum ya kitivo;Matatizo ya mikopo(bum);Kupinga mtindo wa kozi ya semista nzima kufundishwa kwa wiki moja au mbili.Hii ni kwa zile kozi ambazo hazina walim hivyo kuazima walimu kutoka vyuo vingine!;Maji;Miundombinu;Kujiuzulu kwa mwizi mnyanyasaji katili jambazi Prof.Mlacha;Mengineyo.
 
Mi naona kama hazina hakuna pesa wapige bei mashangingi yao hao waheshimiwa ili wasort haya mambo migomo sasa imezidi
 
hao dawa yao ni kuwasajili kwende database ya chama tu. watoto kharamu hawa. chuo cha chama wanakifanyia mambo haya?
 
Mi naona kama hazina hakuna pesa wapige bei mashangingi yao hao waheshimiwa ili wasort haya mambo migomo sasa imezidi

Wewe ndo umenena maana matumizi ya HAlmashauri yamepunguzwa toka million 36 kwa mwezi kwenda million 6 tu.kazi iko!!
 
Kwa mtazamo wangu mgomo wa wanafunzi hapo UDOM umeanza jana, sababu wiki iliyopita hata kama mngeingia class msingeweza kufundishwa kwani wahadhiri walikuwa kwenye mgomo.
 
hongera kwa creativity... COOL
avatar25776_5.gif
 
Uchaguzi umetumia zaidi ya bilioni 300 JK pekee akukwapua kwenye ofisi za serikali.nenda ofisi yoyote ya serikali kama kuna pesa kwa sasa.kakwapua hazina.kakwapua mpaka pesa za wanafunzi kisingizio kampeni..mageuzi yanahitajika haraka.mbona tunisia wameweza jamani?!?!
 
wametumia hela nyingi na kushindwa wameshindwa wakaamua kuchakachua,kauli imeshatolewa kuwa nchi haitotawalika hadi waachie ngazi na kuwajibishwa.........ongezeni moto udom katika kudai haki zenu,pinda amejichakachua na ameamua ku collable na mafisadi nae muda sio mwingi ataanguka kifo cha mende......
 
hongera kwa creativity... COOL
avatar25776_5.gif

sijakuelewa una maanisha nini,make wengi mnachukulia mzaa kwa hii khari/hili swala.infact UDOM COED kwa sasa kuko swali,walio itwa wahuni wameombwa radhi.wazazi mpongezeni kikula make leo chuo ilibidi kufugwe kwa uzembe wa osaki.ukitaka kufaham zaidi uliza ntakujib yanayojili.
 
Back
Top Bottom