UDOM: Mahakama yaweka pingamizi kufukuzwa wanafunzi waliodhaniwa ni wafuasi wa CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM: Mahakama yaweka pingamizi kufukuzwa wanafunzi waliodhaniwa ni wafuasi wa CHADEMA!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bushman, Apr 4, 2012.

 1. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
   Mwishoni mwa wiki iliyopita Uongozi wa chuo iliwakamata wanafunzi wakiwa kwenye daladala ya ABIRIA pamoja na abiria wengine,wakaamulu gari liludi mpaka jengo kuu la utawala na kuanza kuwasachi wanafunzi hao wakakuta SKAFU za CHADEMA kwenye bahasha,wakanyang'anya vitambulisho vya chuo na kuwapiga picha kama MATEKA au WAHAINI na kuamuru wasimamishwe masomo kwa muda usiojulikana.

  Vijana wakapokea barua kwa masikitiko makubwa sana kwani walikuwa kwenye DALADALA kama abiria,hawakukodi basi kama wafuasi wa CHADEMA wengine walikuwa wanakwenda mjini kwenye mambo yao binafsi,wengine ni viongozi wa vikundi vya dini walikuwa wanakwenda kwenye mikutano yao,wengine hawajawahi kuwa wanachama hata wa CCM,WOTE WAKASIMAMISHWA.

  MY TAKE,HIVI MTU ALIYEPANDA DALADALA ANAKWENDA KUFANYA SIASA NJE YA CHUO ANAFANYA KOSA?2.KUWA MWANACHAMA WA CHADEMA UDOM NI UHAINI?

  3.KIGEZO GANI KILITUMIKA KUWAFUKUZA WANAFUNZI HAO WAKATI WAMEPANDA GARI YA ABIRIA?4.NAPE AMEKUJA MARA NGAPI KUFANYA SIASA UDOM? MBONA MWAKA 2010 WAKATI WA KAMPENI ZA URAIS MAGARI YALITUMIKA KUBEBA WAFANYAKAZI KUWAPELEKA KWENYE KAMPENI ZA CCM/JK?

  VIJANA WAMEINGIA MAHAKAMANI KUOMBA COURT INJUCTION /ZUIO JUU YA UTEKELEZWAJI WA KUSIMAMISHWA MASOMO KWA MUDA USIOJULIKANA NA MAHAKAMA IMERIDHIA NA KUAMURU CHUO KIWARUDISHE CHUO MARA MOJA, VIJANA WAMEAANZA KURUDI CHUONI, INAKUWAJE UNAWASIMAMISHA WATU KWA VILE WAMEPANDA DALADALA NA MTU MMOJA TU AMBAYE ALIKUWA NA SKAFU YA CHADEMA?

  NA WALIKUWA WANATOKA NJE YA CHUO?TUKIANZA KUBAGUANA HIVYO KWENYE TASISI ZA UMA TUTAFIKA?MBONA LILE SANAMU LA CCM PALE CHIMWAGA UDOM HALIONDOLEWI KAMA KUKUTWA NA NEMBO YA CDM NI KOSA?

  JE UONGOZI WA UDOM UNAUHAKIKA KUWA WANACHUO WOTE NA WAFANYAKAZI WA UDOM NI WAFUASI WA CCM?JE WANAFURAHISHWA NA UWEPO WA SANAMU YA CCM SEHEMU YA CHUO?

  WALE VIJANA WAMEPANDA DALADALA KITUONI KAMA ABIRIA MNAWASIMAMISHA MASOMO WAKATI HAWAKUKODI GARI WALA HAWAFANYI VITENDO VYA UHAMASISHAJI,NA WANATOKA NNJE YA CHUO PROF.MLACHA ANAWAKAMATA,POLISI WA KITUO CHA UDOM WAKO WAPI NA WANAFANYA KAZI GANI?

  HUU UONEVU HUU ATHARI ZAKE NI MBAYA JAMANI MACHONI PA JAMII,NAPE AMEKUJA MARA NGAPI UDOM KUFANYA SIASA MWAKA JANA ALIKUAJA KUKAGUA SEWERAGE SYSTEM COLLEGE YA SOCIAL SCIENCES NA VIONGOZI WA CCM UDOM MBONA WANAFUNZI WALE WA CCM HWAKUSIMAMISHWA MASOMO?

  MIAKA 35 YA UHURU MABASI YALIKUJA CAMPUS KUBEBA WANACHAMA WA CCM HAKUNA ALIYEFUKUZWA,SEMBUSE HAWA WALIKUWA WANATOKA NJE YA CHUO KUFANYA SHUGHULI BINAFSI WENGINE HATA HAWAJAWAHI KUFANYA SIASA WALIKUWA ABIRIA TU...AAAAH INALETA KINYAA SANA.
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Hivi Udom imejengwa na ccm? sababu mimi nashindwa kuwaelewa mambo yao?
   
 3. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  I Hate them
   
 4. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  igunga amkeni..
   
 5. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nasikia huyo dr. Mlacha ni mtu wa ajabu hapo udom, ndo matatizo ya watu wenye cv ndogo halafu wanajipa u prof wakati hata hawastahili. Eti ni dr wa kiswahili teh teh, natamani nimuone live.
   
 6. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi UDOM ina nini na chadema? Huyo mkuu wa chuo anatia aibu sasa maana anaongoza chuo kama shule ya sekondari. Kwani kuwa na skafu ya chadema ni kosa? Ningekuwa mwanafunzi wa UDOM ningekuwa navaa magwanda kila siku nafanya kubadili mishono tu! Nione watasema nimevunja sheria gani ya nchi.
   
 7. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,721
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  'CCM saw the seed of its own destruction'. Amini nawaambia hichi chama kina maisha mafupi sana (hata wazee wenye chama wameona hili). Ndugu zangu wa UDOM poleni sana, ila safari ya ukomozi ni ngumu. Niliwahi huhudhuria msiba wa mwana-CCM, ambaye ni mmiliki wa shule, wanafunzi walipelekwa na magari ya shule na walikuwa na nafasi za kukaa, ila waliondolewa na kusimamishwa kwa kusema 'wanafunzi ni wafuasi wa CHADEMA. TUJITAHIDI KUIKOMBOA NCHI UPYA
   
 8. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  hivi ni kweli tumefikia hapa.....sasa huu si kama uhutu na utusii
   
 9. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  uTAKUWA UMEWAZIDI KETE YAANI MITINDO TOFAUTI KWA KITAMBAA KILEKILE CHA GWANDA!
   
Loading...