Udom kwa mtindo huu mtafukuza wengi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom kwa mtindo huu mtafukuza wengi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Posho City, Mar 16, 2012.

 1. Posho City

  Posho City JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 621
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60
  Chuo kikuu cha Dodoma hadi sasa tangu chuo kifunguliwe tarehe 03/03/2012,kwa semista ya pili hawajatoa pesa za kujikimu kwa wanafunzi na hakuna taarifa rasmi wanatoa lini.Kumbuka mwezi wa kwanza walichelewesha hivyohivyo wanafunzi walipoandamana kwenda utawala,baada ya wiki moja wakafukuza wenzetu 29.bila sababu za msingi.Kuna TETES kuwa hela hizo zipo muda mrefu lakini wanafanya makusudi ili watu wagome wawafukuze wanaowaita wafuasi wa chadema.Lilitoka tangazo la waziri wa mikopo kuwa sababu za kuchelewa zipo nje ya uongozi wa chuo,akimaanisha ni tatizo la bodi ya mikopo,lakini iweje bodi hiyohiyo itoe hela udsm na kwingineko na isitoe kwa udom?!!!!Wakati huo huo wanatulazimisha tulipe ada na hela ya hostel.Tatizo pia hata serikali ya wanafunzi tuliyonayo ni ya kijinga isiyokuwa na upeo na wanaongoza kwa maelekezo ya Mlacha na Kikula.Kiuhalisai mfano huku kitivo cha elimu mimi nilipo hali ni mbaya na kumbuka hakunaga ustaarabu kwa mwenye njaa watu wameshaanza kusema wataingia barabarani liwalo na liwe.

  HIYO NDO UDOM CHUO AMBACHO WANASIASA WALISEMA KITAKUWA BORA KULIKO VYOTE AFRIKA MASHARIKI,LAKINI KIUKWELI SIYO CHUO KIKUU NI CHUO KIKUBWA
   
 2. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Poleni sana ndiyo maana wahadhiri wengi wanazidi kuhama na wengi wao wako Mandela Institute of Technology
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  vipi hao wanachuo wanaojiita wakereketwa wa sisiemu na wao pia hawakupewa hilo boom?
   
 4. l

  lumimwandelile Senior Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  poleni sn, ila sisi tulio nje tunatamani tupate nafasi hiyo
   
 5. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  r u serious mr. Or mrs?
   
 6. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,756
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  UDOM mbona wepesi kupelekwa pelekwa? Hadi makazini mtakuwa mnanyimwa haki hivyo hivyo kwa kuhofia kuachishwa kazi. "IT BETTER TO FIGHT FOR SOMETHING THAN TO LIVE FOR NOTHING".
   
 7. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  poleni vijana hata sisi tulipitia huku tulipokua pale udsm lkn hii imekua tu much
   
 8. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,135
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  CCM chama kilicholeta janga na laana nchin ndo MAKADA WA SHETANI!
   
 9. UMOJA WETU

  UMOJA WETU Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  :lock1:ONE DAY YES ANOTHER DAY NO!!! ALQUEDA HUANZA KWA MASLAHI YA WOTE.
   
 10. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 4,783
  Likes Received: 772
  Trophy Points: 280
  Hali ni mbaya mabinti huku social nimetoka saa nje saa sita usiku nimekutwa wanasombwa na teksii wakiwa wanatoka nusu u.chi. Wazazi mnajua mabinti zenu wanayofanya? Wapeni pesa ya kujikimu
   
 11. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,226
  Likes Received: 1,030
  Trophy Points: 280
  mmeyataka nyie mwenyewe....nyinyi si ndio 2010 mlichangia chama cha sisi.....wetu katika kampani za uraisi,ubunge na udiwani sasa mnalalamika nini........
   
 12. M

  Maiga Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Tugome bana, ,no way out, hata kipind kile walituzngua hv hv,tulipogoma wakatoa tamko, ,
   
 13. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  hivi hawa ndo wana manufacture walimu? Nimesahau kidogo.
   
 14. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hvi we mpumbav una uhakika na unachokisema?
   
 15. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,440
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Ondokeni chuo!!Sasa mnapokeaje masomo bila kula?.Ondokeni chuo bebeni mabegi mpitie utawala mkawaage kuwa mnaenda nyumbani mmeshindwa kusoma bila kula,kisha kila mtu anaenda kwao!Just simple!!Hapo mnakuwa hamjagoma ila mmeondoka kuhofia kupoteza maisha kwa sababu ya njaa.
   
 16. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  poleni sana.
  Wale vijana wa CCM UDOM ,kama kweli wanaguswa na wenye uhitaji ,kama walivyojitoa kumchangia JK mwaka 2010,sasa wajikusanye tena wawachangie na nyinyi.
   
 17. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mi kinachonishangaza ni wanafunzi wa udom kumvizia Mlacha eti wamwue kwa madai yeye ndo chanzo cha matatizo na rais ameshindwa kumwondoa kwenye nafasi hiyo,akifa lazima atakuja mwingine. Hivi ni yeye kweli au ni bodi ya mikopo?
   
 18. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni sana! hii ndo aina ya watawala tuliowachagua, kila kona wameweka watu 'wao'
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,708
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  CCM WATALETA FEDHA MUDA SI MULEFU.msijari hawawezi kuwaangusha nyie niwatu wao wa karibu sana.
   
 20. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #20
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengi wanaodai Wanafunzi wa UDOM walimchangia jk hamjui mnachoksema
   
Loading...