UDOM (CoED) First Year tupeane kampani

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
First Year muliokuwa leo UDOM (College of Education) tupeane kampani ya kwenda kula ujasi basi usiku huu na tupige story mbili tatu.

Mimi nipo hapa College of Education nahitaji kampani. Tuchekiane saa 1:00 tukale dinner

Just kujuana. Itapendeza akiwa wa kike kwasababu mimi wa kiume.
 
bia tunakunywa 😂😂😂
 
Hamna shaka
IMG_20191026_144230.jpeg
 
acha uzembe mkuu si uende kwenye block zao unamchukua mmoja tena sahizi hawana pesa mbona rahisi tuu
 
Back
Top Bottom