Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
- Thread starter
- #61
MaMkwe unasubiri nafasi hadi ziwe ngapi ndipo useme 10?,..1000?,....Milioni moja? hizo hizo tatu zinatosha kwa mtu mwenye busara kuona taifa linakoelekea, ukabila Kenya au udini Somalia, Sudani haukuanza na watu elfu kumi, kwa hiyo kama unaona mbegu mbovu inapandwa na unanyamaza wewe ndiye utakayelaumiwa kwanza.Tupe majina ya viongozi wote wa CCM. Vinginevyo anaedai udini ndiyo mdini. Kwa kuona hizo nafasi tatu tu unatangaza kuna udini. Msituhabirie nchi kwa tamaa zisizo maana.