Udini wainyemelea CCM?

Tupe majina ya viongozi wote wa CCM. Vinginevyo anaedai udini ndiyo mdini. Kwa kuona hizo nafasi tatu tu unatangaza kuna udini. Msituhabirie nchi kwa tamaa zisizo maana.
MaMkwe unasubiri nafasi hadi ziwe ngapi ndipo useme 10?,..1000?,....Milioni moja? hizo hizo tatu zinatosha kwa mtu mwenye busara kuona taifa linakoelekea, ukabila Kenya au udini Somalia, Sudani haukuanza na watu elfu kumi, kwa hiyo kama unaona mbegu mbovu inapandwa na unanyamaza wewe ndiye utakayelaumiwa kwanza.
 
Unaposema huyu ni mdini, chama hichi ni cha kidini au wewe ni mdini inamaana gani?
kuwa na waislam wengi kuliko dini nyengine? kuwa na wakiristo wengi kuliko wengine? kuzungumzia uislam au kuzungumzia ukiristo?

Udini ni pale mtu au kikundi cha watu wanapoacha kufanya kitu kinachotakiwa kufanyika kwa maslahi ya wote na kuanza kuzungumzia maslahi ya dini yao tu, huku wakidharau dini zingine au mawazo mbadala kwa mtazamo wa dini yao. Mawazo hayo huwa yamejaa ubinfasi, chuki na mtazamo hasi dhidi ya watu wengine wasioamini katika dini hiyo.
 
THE National Executive Committee of the Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) has proposed Ms Amina Nassoro Makilagi for the vacant post of General Secretary of the party's Women wing (UWT).

The statement signed by the Party's Publicity Secretary Mr John Chiligati said Ms Makilagi has been proposed to the wing's Executive Committee to replace Ms Husna Mwilima, who was recently appointed District Commissioner for Tandahimba District, Mtwara Region.

In another development, the Party also shortlisted Mr Harun Mkalimoto, Mr Juma Rajab Simba and Mr Salim Mwaking'ida for the post of Dar es Salaam Regional CCM Publicity Secretary.

It also approved Ms Mwajuma Athman Labia, Mr Alhaji Salim Simba and Colonel (rtd) Tajil Mwinchumu for the post of Shinyanga Urban District Party Chairman.


 
Last edited by a moderator:
mbona husemi na huku kwa mawaziri?
1)burian, dr. Batilda salha
2) chikawe, mathias meinrad
3)chiligati, capt. John zefania

3) ghasia, hawa abdulrahman
4) kamala, dr. Diodorus buberwa
5)kapuya, prof. Juma athuman
6)kawambwa, dr. Shukuru jumanne
7)khatib, muhammed seif
8) kombani, celina ompeshi
9)maghembe, prof. Jumanne abdall

10) magufuli, dr.john pombe joseph
11)marmo, philip sang'ka
12) masha, lawrence kego
13)membe, bernard kamillius
14) mkuchika, capt. George huruma
15) mkulo, mustafa haidi
16)msolla, prof. Peter mahamudu
17) mwakyusa, prof. David homeli
18)mwandosya, prof. Mark james
19) mwangunga, shamsa selengia

20) mwinyi, dr. Hussein ali
21) nagu, dr. Mary michael

hapa panahitaji busara za hali ya juu. Kama ccm wataenda kwa mwendo huu tutakuwa kama nigeria ambako watawala wanatokana na dini fulani na wengine ni watazamaji kwa muda mrefu. Dawa ya mambo haya ni kuchagua watu wanaofaa bila kutizama dini zao hata ni jamaa zetu wa karibu otherwise very soon, itabidi tutafute rais mkristo toka zanzibar kitu ambacho hakiwezekani kama mpemba kuingia ikulu ya zanzibar
 
Mambo ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe, mi CCJ hata CCM wakijiunga OIC mimi akaaaaaaa, ninachotaka ni kuwang'oa tu mdarakani.
 
MUANZISHA MAADA HAKUNA UDINI TANZANIA! MTU ANAYEPOTEZA KUSEMA UDINI HUWA HAWANA EVIDENCE WANA ASSUME TU, NA SANA SANA WAO WENYEWE NDIO WATAKUWA WANAMATATIZO HAYA.

MAJORITY YA WATANZANIA HAWANA BOUNDARY NA LIMITATIONS ZA UDINI, WALA HAWAWAZII HAYO, MENGI YANAYOSEMWA YA UDINI SIYO REALISTIC, AMA SIVYO AKINA ASHURA WASINGEPATA MIMBA ZA AKINA JOHN NA AKINA ELIZABETH WASINGEPATA MIMBA ZA AKINA HAMISI! hao wana CCM waIslamu wengi , wengi wao ni jobless na wanAshinda kwenye mashina ya CCM wakicheza bao na kusubiri fedha za Rostam! sasa mie mkristo nililie KILEMA??

Nigeria situation is a best example ya udini na ukikutana na wanaija wanasema source kubwa ni ardhi

kwa wapenda dini....do not waste your time kuutetea uislamu wa ukristo watanzania watakuaibisheni
 
Hiyo ni choyo na wivu wa kike. Inasababishwa na uvivu wa kufikiri.


Siku zote simple minded people anaangalia mambo madogo tena kwa jicho la kengeza.Pole sana Luteni
 
Na vipi pale Serikali ya Tanzania inaposema bayana kuwa haina DINI ila viongozi wake ndio wana dini.Sijui tunalielewaje hilo kwa mujibu wa definition aliyotoa Anyisile?
 
Hii hoja imekaa vibaya kwa maana kwamba hakuna utafiti wowote uliofanywa kuonyesha kuwa kuna udini ndani ya CCM kwa ujumla wake. Kumlaumu Kikwete ni makosa kwani yeye kaunda Baraza la mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya nk. Je hao ni wa dini moja kweli? Huko ndiko ana mamlaka ya kumweka yeyote anayemtaka na huko ndio tungetegemea tuelezwe alivyoteua watendaji wa dini moja, otherwise ni maneno tu yasiyo na tija wala kujenga
 
Siku zote simple minded people anaangalia mambo madogo tena kwa jicho la kengeza.Pole sana Luteni
Barubaru
Kama unafikiri mambo ya udini ni simple minded naona hujui maana ya neno simple minded.
 
Hakuna kitu hapa yale yale utumbo na upupu....wakristo bana! kazi kwelikweli.
 
wewe uliyeleta hii thread ndio unayeonekana mdini.

...usijadili udini wa mtu kwa jina, jadili udini wake kwa vitendo, kama mtu akipewa nafasi na akaitumia kwa maslahi ya dini moja na akaonyesha upendeleo wa dhahiri kabisa, basi tunyooshe vidole, mbona JK ni muislam na hata hao waislamu wenzake wanamlalamikia na pengine hata baadhi ya wakristo kufaidika nae.....kujadili udini wa mtu kwa majina ni kukosa upeo wa kufikiri na kudhihirisha ufinyu wa fikra, ACHENI KUPANDIKIZA MBEGU ZA CHUKI, mtu akipewa nafasi basi tuamini amepewa kwa sifa alizokuwa nazo na sio kwa dini yake.

Wwangapi wakristo na waislamu wapo serikalini na hawana msaada wa maana kwa dini zao, ni kwakuwa hawachaguliwa kutumikia dini zao bali serikali au chama.

Unapoona kukosekana kwa Lowasa serikalini ndio tatizo la kukosa maendeleo basi na wewe una matatizo, kisa lowasa na mkristo hata akiwa mwizi basi tumuache tu....lazima ifike hatua tuwe na Uzalendo na ujue maana ya uwajibikaji.....

Serikali haina dini lakini wannchi wana dini, kwahiyo SERIKALI INATAMBUA NA KUHESHIMU DINI ZA WANANCHI WAKE....
 
Ukweli utabaki kuwa siasa ni kimbilio la watu wanaotaka uongozi bila kuwa na professions nyingine/za maana, ndio maana waislamu wengi wapo katika siasa na wakristu wengi wapo katika professional jobs. Tunaomba tu kiongozi mkuu asije akatumia madaraka yake kuteua watu wasio na uwezo wwa kazi eti kwa kuwa tu ni wa dini yake!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom