Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
Nawapongeza sana waislamu! Huu ni uamuzi wa kishujaa sana. Hawa chadema na wapenzi wao wanawadharau sana waislamu. Me nawashauri waislamu wote wenye kadi za uanachama za chadema wazirudishe and wajiunge na chama kingine
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
Hii habari kwa kweli ni ya kusikitisha na kukatisha tamaa kwa mustakabali mwema wa nchi yetu.
Binafsi nimekerwa sana na hawa BAKWATA ku stoop so low, na kujipendekeza kwa chama fulani kiasi hiki.
Naamini waislam wa Igunga ni werevu kuliko BAKWATA inavyodhani, na kamwe hawatapiga kura kwa maagizo
ya BAKWATA, bali kwa kufuata sera zinazotekelezeka kwa mgombea watayeona anawafaa kwa mazingira ya Igunga.
BAKWATA iache kutumika kisiasa... hii ni aibu, aibu, aibu yenu BAKWATA. Bahati nzuri BAKWATA sio kama TEC, no sane
muslim ever cares to listen about what opinion they have. Its just a bunch puppets trying too hard to impress their master.
kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe