Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

Chadema tangazeni rasmi kwamba bakwata wilaya ni kitengo cha propaganda cha ccm.Msalijili wa vyama uko wapi? Tume ya uchaguzi mko wapi?

kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe
 
kila siku ndugu yangu tazidi nakuambia jf kwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya uislam. Hivi hayo maneno yako unayosema waislam ambao wapo cdm hivi watajisikiaje?

Nyie ndio mnamualibia dr slaa pamoja cdm kwa kauli zenu za kashfa na kejeli dhidi ya dini nyingine, wewe ukiwa against na muislam mmoja unatukana waislam wote, mkuu mkandara kaishawaeleza sana kuhusu hizo tabia

ni sahihi dume. Lakini mtu mwenye elimu ya utambuzi hawezi kuyumbishwa na maneno hayo. Tutakieni heri tu waungwana
 
kuna m2 alisema kuwa waislam wanaitaji viongoz wenye elim dunia na elim ahera, namuunga mkono. hawa viongoz wa bakwata wanajaribu kuivuruga nchi. sasa watalaaniwa wao wenyewe na nchi itaongozwa kwa nguvu ya jina la YESU.
 
kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe

udini wa nini hapa?
Nayakumbuka maneno ya mdau wa jf kuwa, tujitahidi kuzijua tamaduni za dini zote, tuzichambue ili tuwe na uelewa wa kutosha, tukifanikiwa hayo, majungu ya namna hii tutayaepuka.
Tusiziruhusu dini zetu kuwa irrational.
 
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.

Mimi Didia, mtanzania mwanamageuzi na mpenda Maendeleo, nalaani kauli iliyotolewa na Bakwata, nalaani kauli za Shekh wa igunga na watanzania wote wanaoshabikia udini wakijua fika athari zake.

Kama kuna kitu inabidi tukipinge kwa nguvu zote ni hiki maana kitavuruga nchi. CCM iko tayari kufanya lolote kupata madaraka hata kama itagharimu damu za watanzania. Viongozi wa waisalam wanatumiwa, bahati mabya niwaumini wachache wenye kuweza kupuuza mahubiri ya viongozi wao. KWA MWENDO HUU TUNAOENDA NADIRIKI KUSEMA TZ HATUFIKI 2020 BILA MACHAFUKO,
 
mijitu ya dini hii always iko short sighted na inarubuniwa kwa pilau tu...hovyo kabisa hili lidini sijui hata lilitokeaga wapi
 
Waislamu mnatakiwa muwe na umoja wa nyuki na sio umoja wa inzi.

Ukilipiga jiwe kundi la inzi kila mmoja ataenda upande wake, hali ni tofauti kwa nyuki ambapo kama ukiwapiga jiwe wote watamtafuta adui na kumtia adabu hali hii ndiyo ipo kwa wakristo amabapo wakisimamia kitu ni mpaka kieleweke tena wanakuja na hoja zenye mashiko. lakini kwa waislamu hali ni tofauti, maulamaa wakisema a dhidi ya serikali, bakwta wanakuja na b matokeo yake ndo kama hivyo tena, wamepigwa mabao na magamba hata kwenye hoja simple kama ya Mahakama ya kadhi. Amkeni, jitengeni na serikali, endesheni mambo yenu kidini zaidi kuliko kisiasa

Mkuu kauli yako hii naiunga mkono kwa 100%,uliza mtu yeyote anaesoma UDOM- COED hili lilitokea wazi kwamba Waislam walileta Udini na kilichofanyika nikwa Wakristo wote kuungana kumpigia kura mgombea mkristo though hakua na sifa huyu jamaa kwa hyo nakiri wazi kua kama kweli Wakristo wakiamua itakua kazi,lakn cpendi tufike huko kwa Udini sio mzuri hata kidogo
 
Kwakweli bila kumung'unya maneno (na hii itawauma wengi) kama ningepewa nafasi ya kuondoa kitu katika uso wa dunia na kisirudi tena NINGEUONDOA na kufutilia mbali UISLAM, hakuna nchi ambayo ina vita duniani ikawa ni ya kikristo, ukisikia vita visivyo koma basi kuna uislam, sasa sijui mungu wao huyo ni mungu gani! anayefurahia watu wafe, watoto wateseke na njaa, mungu asiyependa amani. Angalia SOMALIA, SUDANI, IRAK, IRAN, AFGHANSTAN, na kwingine kwingi.

Kuna nchi za kikristo kama PHILIPINES, AGENTINA zina amani kwasababu wa kristo wana mungu wa amani, mungu anayefundisha samehe saba mara sabini, mungu asiyetaka kisasi.

Maneno niliyosema yanaudhi ila ni kioo kwako wewe unayedhani umesimama kumbe umeanguka.
Dunia nzima tafuta gaidi, ama magaidi maarufu, hutakuta mkristo, hamran kijana wa zanzibar hapa, alishiriki kuua ndugu zetu pale ubalozi wa marekani, ni mwisilam angelikuwa ni mkiristo wangeliandamana hata wakavuka bahari kutulaani. kisa ni mwislamu haa kama hawajui.
watoto na damu inamwagika katika nchi nyingi chini ya mwamvuli wa DINI, IPI? UISLAM, nawambieni ombeni isiwepo pepo! na mungu wenu wa machafuko huyo!

WAISLAMU HAWANA TOFAUTI NI MCHUNGAJI YULE MAARUFU AKIMBILIAYE MAHAKAMANI KILA KUKICHA NA HAKUNA ALICHOVUNA ZAIDI YA SHIBE YA TUMBO LAKE TOKA ALIPOANZA HARAKATI.

UKWELI HUMWEKA MTU HURU, SIWEZI KUWA ADUI KWAKUSEMA UKWELI, IKIKUUMA IMEKUINGIA NATUMAI UTAPONA.

Umesogea mbele kidogo mkuu, no democracy without tolerance of social and political pluralism. Si waislam wote wana matatizo na si wakristo wote niwema. Yanayotokea Igunga na nchini kwa sasa sikwasababu tu ya waislam bali pia wakristo walioshika nafasi za juu CCM. Udini ni silaha pekee ambayo CCM inaweza kuitumia kushawishi wananchi. Ilifanya hivyo katika uchaguzi mkuu uliopita na itaendelea mpaka hoja hiyo itakapogeuka mwiba na miguu ya wadini hao kuota matende

Naweza kuhisi feelings ulizokuwa nazo wakati unaandaa post yako but please be tolerant
 
Chokochoko zote hizi bila shaka ni kwa sababu ya yule DC. Mimi nauliza, hivi yule DC alivaa mtandio au Hijab, maana nikimuangalia naona kama ile ilikuwa ni mtandio?

Ninasema yule mama toka azaliwe hajawahi kuvaa hijabu, Waallah!
 
Laiti tungeachana na mambo ya Udini tukam-face our common enemy tungeshinda lakini kwa hali hii! sidhani, hebu sikiliza comments za Great thinkers wamegeuka kuwa great sinkers, sasa kama sisi wenye elimu ndio tuko narrow minded kiasi hiki je yule wa kijijini au mtaani aweje? we need to act now meeeeen, adui yetu sio tofauti ya dini zetu bali mbwa fulani wanaotumia kigezo cha dini ili kututawala na kutufumba macho, tubadilishe mjadala, thanks
 
kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe

Poor Chogo! ipo siku utapata ukombozi na fikra zako zitakuelekeza kufanya maamuzi sahihi. Unaamini kuchagua muislam hata kama hawezi mungu wako anaridhika!
 
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.

Hiyo ndiyo BAKWATA, je kuna aliyewatazamia BAKWATA kwenda kinyume na aliyewaweka? wameundwa na CCM ili kutetea uhalifu wao iwe wizi wa kura,ufisadi na mambo yanayofanana nayo lakini si maslahi ya uislamu. Toka lini mtandio ukawa Hijab? Na mama yule alikuwa akifanya nini vichochoroni bila mumewe wala walinzi? Na kama alikuwa akifanya kazi za "serikali" imekuwaje asemewe na viongozi wa CCM kina Nape na January Makamba kwamba "tokea sasa tutawalinda viongozi wetu, je yule mama ni kiongozi wa serikali au CCM? Aibu kwa BAKWATA na CCM.
 
Hiyo ndo picha halisi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Hapa namaanisha kuwa kura zitapigwa kidini zaidi kuliko kuangalia ubora wa kiongozi.Waislamu hapa wametafuta kisingizio cha kijinga ili kuhalalisha udini wao.Wanasema cdm ni chama cha kikristo hivyo waislamu wasikichague.Hapa wanamaanisha kuwa CCM na CUF ni vyama vya kiislamu.Hapa nitamshangaa mkristo yeyote atakayechagua chama cha kiislamu kwani tayari wameshaonyesha kuwa hawahitaji kura za makafir.

Uchaguzi mkuu ujao inabidi kampeni zianze sasa hivi na watu wote waambiwe kuwa kila mtu achague mgombea wa dini yake.

Ndiyo mkuu kilichobaki sasa kila dini ichague chama chake kama cuf ni waislamu bac wachague chama chao,kama chadema ni wakristu na cc wakristu 2tachagua che2. Alafu 2one haya matokeo ya udini yata2peleka wapi!
 
Kuja na hoja nzito ni pale unapokuwa against gvt?.Ati waislam hawaji na hoja nzito.Hii ni dhihaka kwa waislam na kuendeleza udini.Waislam wamedhalauliwa sana na sasa wamechoka wameamua kuchukua hatua kwa wote wanaowadharau wanaanza na CDM kukifuta ktk ramani ya siasa za tz.ati waislam hawajasoma huu nao ni udini mbona tunao maprofa kibao na madokta?. CDM wasipochukua hatua za kuomba radhi waislam au kwenda kwa viongoz wa kiislam wakayamaliza kistaarabu kijue kinajenga picha mbaya kwa watz kuwa hakina uwezo wa kuongoza na kuunganisha watu ktk jamii.

Mkuu, hakuna aliyewadharau waislamu bali wanajidhalilisha wenyewe kwa mambo wanayoyafanya.
 
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.

Kama taarifa hizo ni za kweli basi nchi inaelekea kubaya.
 
Guys, haya masuala sasa yanahitaji busara it's time sasa utani utani kwenye haya masuala ya kidini uachwe na facts should be told and faced. I think this is the opportunity for JK kusimama na kukemea kwa sauti kubwa kabisa huu mwenendo regardless of party lines. Ni aibu kuja kujikuta eti sisi tunakuwa part of the generation iliyoanzisha vita ya kidini. I can smell something and it's not good at all. Religious fanatics from both wakristo na waislamu tunawapa lots of air time na tutakuja kulijutia hili. Mark my words.
 
Kuja na hoja nzito ni pale unapokuwa against gvt?.Ati waislam hawaji na hoja nzito.Hii ni dhihaka kwa waislam na kuendeleza udini.Waislam wamedhalauliwa sana na sasa wamechoka wameamua kuchukua hatua kwa wote wanaowadharau wanaanza na CDM kukifuta ktk ramani ya siasa za tz.ati waislam hawajasoma huu nao ni udini mbona tunao maprofa kibao na madokta?. CDM wasipochukua hatua za kuomba radhi waislam au kwenda kwa viongoz wa kiislam wakayamaliza kistaarabu kijue kinajenga picha mbaya kwa watz kuwa hakina uwezo wa kuongoza na kuunganisha watu ktk jamii.

ubongo wa mitumba unakusumbua..yule shekhe na wewe nyote mmetumwa na majini kuiaribu igunga na Tanganyika jizi wewe.
 
Back
Top Bottom