Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

BAKWATA wamejidhihirisha ni wavivu wa kufikiri. Wamelalama eti uislam umeaibishwa kwa kuwa Fatuma Kimario kavuliwa kitambaa wakiamini ni Muislam. Jirani wa DC anayeishi naye mbezi kavujisha ukweli kuwa huyu mama ni mkristo kaolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki tena mzee wake ni mzee wa kanisa la katoliki mbezi. Pia DC huyu na mumewe wana nyumba na shamba tegeta na ktk shamba hilo wanafuga nguruwe na mama huyu ni muuzaji maarufu wa hawa nguruwe hapo tegeta na ni mlaji mzuri tu wa hii kitu .
Picha ya shamba la DC wa igunga lililopo tegeta:
View attachment 37795

Duhh, jamani hii ni kweli?
 
Back
Top Bottom