Jina lako na matamshi yako haviendani kabisa, ungekuwa unaipenda tz usingeandika matapishi yako hapo chini. haya wakirudisha kadi za cdm wahamie ccm sio? na wakiristo nao wakirudisha kadi za cuf na ccm wahamie cdm sio? unadhani nani hapo angekuwa na wapiga kura wengi wanandoa cuf+ccm au chadema? mi i ni muislamu safi ila nadhani akili yako imechakachuliwa kama yule shekh wa igunga
Nawapongeza sana waislamu! Huu ni uamuzi wa kishujaa sana. Hawa chadema na wapenzi wao wanawadharau sana waislamu. Me nawashauri waislamu wote wenye kadi za uanachama za chadema wazirudishe and wajiunge na chama kingine
Mgombea wa ccm anaitwa Peter Kafumu, hivyo kama huyu Sheikh anampigia debe mwajiri wake (ccm) basi ajue anampigia kafiri vile vile!
Hata hivyo bado nasuburi buyu sheikh na BAKWATA yake walaani kitendo cha vijana wa ccm wakiongozwa na Shigela cha kumpiga na kumjeruhi vibaya mwislam Ngugu Salum wa CUF.
How low can ccm go?
Tunakoelekea, na naamini ni kabla ya uchaguzi wa 2015, kutakuwa na mpasuko mkubwa baina ya waislamu. Watakuwepo wanaoendeshwa kisiasa chini ya bakwata ba basuta, na watakuwepo waislamu huru wasioendeshwa kisiasa.
Mhhhhhhhhhhhh! hayo mambo ya dini mie huwa nayaogopa sana na ukizingatia marafiki wangu wengi ni waislamu huwa naona kuwa siwatendei haki kabisa. Maana mishemishe nyingi niko nao na tunaishi vizuri kweli.
Kuna wakati nilisema waislamu wanahitaji viongozi wenye elimu ahera na elimu dunia kubwa. Nadhani hili linawatatiza sana na ndio maana magamba wamekuwa wanawagonganisha vichwa. Na lingine ni kuwa hata wale wenye elimu kubwa huwa hawako interested sana na kuongoza dini zao, wengi hukurupuka pale tu wanapoona wasomi toka dini nyingine wanapoibana serikali kiitikadi tu, after that wanabaki hamnazo na mambo ya dini. Halii hii imepelekea uislamu kutokuwa na maono, sera na mipango ya muda mrefu. Nadhani wanahitaji waongozwe na watu wenye elimu dunia za viwango vya bachelor, master na PhD degree watafanikiwa sana hawa jamaa na watakomboka kifikra watakapokuja magamba kujaribu kuwatumia kipolitiki.
Wenye elimu kubwa tunashindwa kuwa interested na kuongoza jumuia zetu za kiislam kwa kuhofia kutupiwa majini na vibabu ambavyo havina elimu na vinang'ang'ania madaraka ili vipate pesa za kuendesha familia zao kwani havina source nyingine ya income kwa ufinyu wa elimu zao. Hivi Vidingi vinasaidiwa na serikali kuwepo madarakani ili iwe rahisi kwa serikali kuvitumia kwa maslahi yao kama wanavyofanya huko Igunga.
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
Kuja na hoja nzito ni pale unapokuwa against gvt?.Ati waislam hawaji na hoja nzito.Hii ni dhihaka kwa waislam na kuendeleza udini.Waislam wamedhalauliwa sana na sasa wamechoka wameamua kuchukua hatua kwa wote wanaowadharau wanaanza na CDM kukifuta ktk ramani ya siasa za tz.ati waislam hawajasoma huu nao ni udini mbona tunao maprofa kibao na madokta?. CDM wasipochukua hatua za kuomba radhi waislam au kwenda kwa viongoz wa kiislam wakayamaliza kistaarabu kijue kinajenga picha mbaya kwa watz kuwa hakina uwezo wa kuongoza na kuunganisha watu ktk jamii.
Kama umeshindwa kumtambua adui yako basi ujuwe shida zako zitaendelea milele. kwa taarifa yako wasilamu wenye msimamo kama wako na hao mashehe wako hawafiki hata robo ya waislamu waote nchini. Waislamu wanakipenda chadema maana udini unaouongelea unauona wewe lakini hakuna mwanachadema anayefikiria hilo anapotenda mambo yake. Mimi nina marafiki zangu kibao waislamu na wanapenda chadema ile mbaya! Kwa taarifa yako wapiga kura wa ubungo na kawe wengi ni vijana wa kiislamu maana hata mimi ninawapenda vijana wa kiisilamu inapokuja kwenye kupiga kura wamefundishwa na wanafanya. Vijana wa kikiristu wengi hata huwa hawapigi kura. Unaweza kuthibitisha kwa matokeo ya ubungo na kawe kwanini waliichagua chadema kama wanaudini?
sasa kwa issue ya Igunga mtamchagua nani maana wagombea wote ni wakristu? Jaribuni kufikiri kidogo mnapoletewa hoja za ccm kuzipigia debe! Ccm itawaponza waisilamu maana bado hamjagundua kuwa huyo ndo adui wetu sote? Mdhani kwa kuwa mwenyekiti ni mwisilamu basi mnadhani ccm ni ya waislamu! Kwa taarifa yako wapo wakristu wenye nguvu kwenye ccm kuliko hata huyo mwenyekiti na hata hivyo ccm haiwezi kuongozwa na waisilamu milele na watakapo ongoza wakristu mtakuja kusema tena haifai? Chadema inasema ccm ndiyo adui wa watanzania hatakama itabaki na wakristu wote au waislamu wote.
DC alikamatwa kwa uDC wake na si kwa dini yake! Wanawake wangapi wameshawahi kudhalilishwa na polisi tena kwa kubinuliwa kwa mateke lakini hakuna shehe wala askofu aliyesema neno.
Chadema wakishinda Igunga hamuoni kama itakuwa ni fedheha kwa waislamu na ccm? Mtaficha wapi uso wenu?
Tafakari mkuu tuangalie hoja za msingi siyo hoja za DC ambaye hata wewe moyoni mwako inakusuta maana unaujua umafia wa ccm katika uchaguzi.
Mimi siamini kama Tanzania imefika mahali pa kutaka kuishi kwa matabaka ya kidini. Jiulize kama wewe ni mwislamu una ndugu wangapi wakristu je ukotayari kukosana nao kwa ajili ya dini tu? Je tuna uhakika gani na dini zetu kuwa tukiwatenga madui zetu tunapata thawabu zaidi? Je ninani aliwahi kufa akarudi na kutushuhudia kuwa alivyowaua ndugu zake wasiokuwa wa dini yake yeye alienda akastarehe kwa Mungu wake? Mimi dini yangu inanipa amri ya kumpenda adui yangu na nimwombee hainiambii nimchukie adui yangu.Pia inaniambia niushinde ubaya kwa wema si shari kwa shari. Binadamu kwa asili anapenda kutendewa wema ndiyo maana adui yako ukimtendea wema atakuwa rafiki yako mwisho wa siku.
Kumbuka mkuu sisi sote ni watanzania ni watu wakawaida tu na dini si kitu cha kumsikiliza mtu bali ni kumsikiliza Mungu anasema nini na wewe. Mashehe na amaaskofu ni wanadamu tu wanaweza kupotosha kwa matakwa na uelewa wao lakini haiyafanyi maneno yao kuwa ndiyo msimamo wa Mungu.
Mkuu mimi naamini watanzania ni watu wa kawaida wala wengi wetu hatuzijui dini zetu hata kwa undani sana zaidi ya kuwasikiliza viongozi wetu wanasema nini. Naamini watu wanataka dini itakayoleta amani na furaha katika maisha yao na sikuishia katika mifarakano isiyo na tija na umasikini usioisha kisa eti wanatetea dini yao.
Hizo zote ni siasa uchwara za CCM, wameona wanaelekea kushindwa wameona watumie karata yao ya udini through sheikh,
hizi siasa za dini zinasikitisha sana na ikiendelea hivi italigawa taifa.
jidanganyeni tu haraf baadaye iwakae akilin watanzania wakristo kuwa chadema ni ya wakristo af wakrito wote wahamie chadema ndiyo itakuwa patashika nguo kuchanika! 2015
tatizo watu hawana kumbukumbu ikumbukwe huko nyuma Pengo aliwahi kusema CUF ina jeshi, Balozi wa marekani akasema CUF ina udini nanyi mkaamini, sasa leo masheikh wanatuambia CDM wana udini kwanini tusiamini?
Nashukuru hao mashehe wametusaidia sana....wamemwaga mboga sasa sisi tunamwaga ugali!!!
Viongozi wa makanisa nao watoe tamko rasmi kuwataka wakristo woote waiuunge mkono CHADEMA kwenye uchaguzi wa Igunga na wasiishie hapo moto huu wauendeleze mpaka 2015!!
Msitutie ujinga wengine ambao tunajua CHADEMA inasimamia nini. mwisho mtataka baraza zima la CHADEMA liundwe na wakristo kwa sababu "waislamu hawana akili" na ni watu " wasiostaarabika". CHADEMA iko kwa ajili ya watanzania wa dini zote na wasiokuwa na dini.
Nyie wenye mambo ya kidini kwa nini msiende kwenye jukwaa la dini mkatapike yanayowakwaza?
MS usilinganishe cuf na CDM! ajenda ya cuf ni ya kidini na maeneo mengi wanayotegemea ni ya waislam so tofauti sana CDM. Kingine waislamu wataiua CCM sababu wanaona ndo chama chao, mimi upande wangu nashauri waislamu wote wachague ccm na cuf na wakristo tuchague CDM tuone kama mtaweza tumesha wachoka.
kama umeishiwa hoja ni bora ukanyamaza,haya mambo yanayohusiana na kutugawa watanzania kwa dini ze2 kisiasa si mambo yakushabikia kwani ni hatari,unapohamasisha wakristo wachague CDM unaonesha namna gani unavyofikiri kwaku2mia masaburi yako.Sasa unatofauti gani na huyo shehe unaemlalamikia kuhamasisha udini?
Msitutie ujinga wengine ambao tunajua CHADEMA inasimamia nini. mwisho mtataka baraza zima la CHADEMA liundwe na wakristo kwa sababu "waislamu hawana akili" na ni watu " wasiostaarabika". CHADEMA iko kwa ajili ya watanzania wa dini zote na wasiokuwa na dini.
Nyie wenye mambo ya kidini kwa nini msiende kwenye jukwaa la dini mkatapike yanayowakwaza?
hii dhambi ya udini itatupeleka pabaya hebu kila mmoja aikane na kuikemea naamini siasa na dini ni vitu viwili tofauti mimi ni Muislamu mpenzi wa cdm ila nachukia viongozi wa dini wanaochangaja dini na siasa
Hivi y al da tym pipo ar talkin'abt udini?jaman jengeni hoja za msingi huko igunga na c ku2gawa kwa iman zenu haba ka chembe haradani,2nataka kiongoz safi,mwadirifu na muajibikaji kwa uma wa watanzania wote na kwaajili ya interest za wa2 flan,MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hii ndiyo maana ya Hijab kwa mujibu wa Concise Oxford Dictionary Tenth Edition.
hijab /"hidZab/
· n. a head covering worn in public by some Muslim women. > the religious code which governs the wearing of such clothing.
ORIGIN Pers., from Arab. 0ajaba to veil.
Kwa hiyo kwa maana hiyo ya kikamusi, Hijabu ni mtandio au kilemba kivaliwacho na wanawake au kanuni zinazosimamia uvaaji wa wanawake. lakini Encyclopedia ya Hijab ina maelezo haya.
The word "hijab" or "ḥijāb" (Arabic: حجابhijaab, pronounced [ħiˈdʒæːb] ~ [ħiˈɡæːb]) refers to both the head covering traditionally worn by Muslim women and modest Muslim styles of dress in general.
Muslims differ as to whether the hijab should be required on women in public, as it is in countries like Iran and Saudi Arabia; whether it should be banned in schools, as it is in France and Turkey; or whether it should be left for the women to decide, as it is in the United States.
[h=2]Etymology and meaning[/h] According to the Encyclopedia of Islam and the Muslim World, the meaning of hijab has evolved over time:
The term hijab or veil is not used in the Qur'an to refer to an article of clothing for women or men, rather it refers to a spatial curtain that divides or provides privacy. The Qur'an instructs the male believers (Muslims) to talk to wives of Prophet Muhammad behind a hijab. This hijab was the responsibility of the men and not the wives of Prophet Muhammad. However, in later Muslim societies this instruction, specific to the wives of Prophet Muhammad, was generalized, leading to the segregation of the Muslim men and women. The modesty in Qur'an concerns both men's and women's gaze, gait, garments, and genitalia. The clothing for women involves khumūr over the necklines and jilbab (cloaks) in public so that they may be identified and not harmed. Guidelines for covering of the entire body except for the hands, the feet and the face, are found in texts of fiqh and hadith that are developed later.[SUP] [/SUP]
[h=2]In Islamic texts[/h] [h=3]Qur'an[/h] The Qur'an instructs both Muslim men and women to dress in a modest way.
The clearest verse on the requirement of the hijab is surah 24:3031, asking women to draw their khimār over their bosoms.[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/Hijab#cite_note-IslamOnline-4[/SUP][SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/Hijab#cite_note-Hameed-5[/SUP]
And say to the believing women that they should lower their gaze and guard their modesty; that they should not display their beauty and ornaments except what (must ordinarily) appear thereof; that they should draw their khimār over their bosoms and not display their beauty except to [...] (Qur'an24:31)
In the following verse, Muslim women are asked to draw their jilbab over them (when they go out), as a measure to distinguish themselves from others, so that they are not harassed. Surah 33:59 reads:[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/Hijab#cite_note-Hameed-5[/SUP]
Those who harass believing men and believing women undeservedly, bear (on themselves) a calumny and a grievous sin. O Prophet! Enjoin your wives, your daughters, and the wives of true believers that they should cast their outer garments over their persons (when abroad): That is most convenient, that they may be distinguished and not be harassed. [...] (Qur'an33:5859)
[h=4]Alternative views[/h]
Women's head scarves for sale in Jerusalem
Other Muslims take a relativist approach to ħijāb. They believe that the commandment to maintain modesty must be interpreted with regard to the surrounding society. What is considered modest or daring in one society may not be considered so in another. It is important, they say, for believers to wear clothing that communicates modesty and reserve in the situations in which they find themselves.[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/Hijab#cite_note-6[/SUP]
Other verses do mention separation of men and women but they refer specifically to the wives of the prophet:
Abide still in your homes and make not a dazzling display like that of the former times of ignorance[SUP][Qur'an33:3233][/SUP]
And when ye ask of them [the wives of the Prophet] anything, ask it of them from behind a curtain.[SUP][Qur'an33:53][/SUP]
According to at least two authors (Reza Aslan and Leila Ahmed), the stipulations of the hijab were originally meant only for Muhammad's wives, and were intended to maintain their inviolability. This was because Muhammad conducted all religious and civic affairs in the mosque adjacent to his home:
People were constantly coming in and out of this compound at all hours of the day. When delegations from other tribes come to speak with Prophet Muhammad, they would set up their tents for days at a time inside the open courtyard, just a few feet away from the apartments in which Prophet Muhammad's wives slept. And new emigrants who arrived in Yatrib would often stay within the mosque's walls until they could find suitable homes.[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/Hijab#cite_note-aslan-7[/SUP]
Ukitaka kujua ni vp m2 flan anakufikiria bac jitahidi umuuzi,kama anakupenda atakuonya na kukuomba usimfanyie uliomfanyia na kama hakupendi,dah?utaona moto wake jinsi utakavyochambuliwa,so jitahidi ujue ni vp rafiki yako wa CCM anakuchukulia hasa ktk uchaguzi wa huko igunga,fanyeni kampen za kistaarabu, igunga ni ye2 wote,ha2taki udini wenu sie!
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.