Udini wa kutisha UDOM!

Status
Not open for further replies.
MNAPO TOA HOJA TOENI KWA VIGEZO, UMAKINI NA UKWELI na si kuropoka tuuuu, watanzania tukianza mambo ya udini na ukabila hatutafika mbali...nadhani ni misingi ambayo kila mtanzania ndani na nje ya nchi tunajivunia kuwa nchi yetu haina dini wala ukabila lakini watu kama hawa wanaotoa mada hasa mtoa mada hii kwenye thread hii anasikitisha na anatia aibu sana..hana data na anaropoka mpaka eti kusema mishahara inapendelewa wakati mtu wa higher learning ni cheti ndo kinakupa mshahara wako uano julikana....tuwe wabunif na tusiwe wajinga bwana..aaargghhhhhh......disgusted na mtoa hoja KWAKWELI sijategemea..any way tunatofautiana sana KIELIM tanzania..ndo taaaaabuuu kwelikweli....

Asikudanganye mtu, kwenye taasisi za serikali wako watu wenye elimu level moja na experince sawa lakini wanamishara tofauti. Ingawa kigezo si mara zote kiwe dini au ukabila. Kuna wakati tu top management wanamchukia mtu fulani na waanaamua kumkomoa, nina ushahidi wa hili. Wengine mpaka wamefungua kesi kudai haki zao ndo kikaeleweka. So badili msimamo wako.
 
HAPANA WEWE MUONGO SANA
REJEA page ya kwanza au ya pili katika hii thread kuna mchangiaji katoa scale...na ndivyo zilivyo....na pia uki publish papers mishahara inapanda na wanaoshughulika kulipa mishahara ni Hazina.....ukiwa unasema jambo kuwa na uhakika na sio story za vijiweni...huyo aliye nyimwa mshahara ni wachuo gani, department ipi..kama kesi ipo mahakamani kwanini usimtaje jina na chuo maana parties kwenye mahakama si wanajulikana? sp hamna haja ya kuwaficha...tukisema watu wanaondoka UDOM kwa matatizo, je mmnajua pia wangapi wana hama UDSM MZUMbe na SUA kuja UDOM?hahahahahaha taaaabu sananaaaaa...
 
Walio jenga!

wakina nani?

Hadi ufikie hatua ya kutumia talking points mnazotumia huko kwenye tanzanian-taleban forums kuwa hizo shule zimejengwa na waarabu, utabanwa hapa kieleweke.

.....

wakina nani waliojenga?
 
Wenyewe ndio walio jenga!
 
HAPANA WEWE MUONGO SANA
REJEA page ya kwanza au ya pili katika hii thread kuna mchangiaji katoa scale...na ndivyo zilivyo....na pia uki publish papers mishahara inapanda na wanaoshughulika kulipa mishahara ni Hazina.....ukiwa unasema jambo kuwa na uhakika na sio story za vijiweni...huyo aliye nyimwa mshahara ni wachuo gani, department ipi..kama kesi ipo mahakamani kwanini usimtaje jina na chuo maana parties kwenye mahakama si wanajulikana? sp hamna haja ya kuwaficha...tukisema watu wanaondoka UDOM kwa matatizo, je mmnajua pia wangapi wana hama UDSM MZUMbe na SUA kuja UDOM?hahahahahaha taaaabu sananaaaaa...

Mkuu unaweza ukawa unapinga kitu kwa kukitolea maelezo LAKINI ukajikuta unaonekana hufai, hata kama ulichoeleza ni kweli na sahihi, endapo utatumia lugha ambayo si endelevu. Mimi nimekuelewa na nakubaliana na wewe, lakini si jinsi unavyoandika maneno yako yana "vijihasira". Tueleze kwa lugha yenye mvuto.
Mtoa maada ametoa na anataka kujuwa. Inawezekana si pekeyake mwenye "myth" kuhusu UDOM. Kwakuwa wewe unafahamu basi elezea kiunagaubaga na si kwa hasira. Watu tutakueleza mkuu. Si vyema kumkejeli na kutokumjali mtoa maada eti kwa sababu alichokileta hapa hakina ukweli. Kazi ya JF mojawapo ni kueleza ukweli pale panapoonekana pana uongo.

Inawezekana nipo tofauti, mimi nahaeshimu thread yoyote ile maana hutolewa na mtu ili apate ukweli, kujuwa ama ufafanuzi, n.k. kama thread inaonekana ni ya uongo basi toa ukweli na muelimishe alietoa thread na si kumnyanyasa....sasa kuelimika/usitaarabu kupo wapi ndugu yangu?
 
Wenyewe ndio walio jenga!

Yamewashinda kujenga huko Afghanistan wataweza kujenga Tanzania?

Rudi kawaulize vizuri maana wamekuuzia mbuzi kwenye gunia, waarabu hao na siasa zao za udini na ukandamizaji wameshashindwa kujenga Somalia na kwingineko wanakotawala kwa mabavu, hawana na hawatakuwa na uwezo wa kufanya hivyo Tanzania.

Kuna wengine unao?
 
Enh kweli this is JF. Mbona watu mnafanya dini vichaka? Hebu tuweke hoja. Hoja ni UDOM upendeleo wa udini kwenye mishahara. Kuna watu wao lazima wachangie hata kama hawajui wanachosema.
Labda tuulizane mishahara inalipwaje kwenye academic institutions?
Ukiwa na masters tayari wewe ni assistant lecturer, unaweza kuongezea machapisho ukapanda kwa mshahara lakini hii haizuii wale ambao hawajaandika kupanda, kila mtu hapo atapanda ila sasa, kuna bar ya juu ambayo kama hutaongeza machapisho au elimu then ndio mwisho wako.
Kwa sasa hivi ukiwa na masters ukaandika machapisho 3 basi unakuwa lecturer lakini hung'oki hapo hata ufanyaje mpaka upate PhD. Sasa unampendelea mtu vipi?
Ukiwa na PhD wewe ni lecturer moja kwa moja, machapisho yatakutoa hapo uwe senior lecturer to professiorial level.
Kwenye hivi vyuo sasa hivi kumekuwa na transparency saana.
 
mekuelewa kaka
ntatumia lugha ya kiungwana kaka, nafrahi sana kuwa muwazi na kunifahamisha..ila pia ntaomba wana JF wenzangu tukitoa mada kama hatuna uhakika nayo tusiwe na kuishupalia wakati ikiwa si yaukweli..au unasemaje mkuu...na pia tusiwe na upendeleo wa dini au ukabila ndo sifa ya Mtanzania au unasemaje mkuu..mtoa mada ya thread hii inaonekana hajafanya utafiti na ametoka na haditi za magazeti...angeangalia vyuo vyote structure ya uongozi. na pia tittle ya thread hii alio iweka sio mkuu au unasemaje...basi kwaajili me mesha haribu wenye comments zangu...kwa niaba yangu naomba umwambie arekebishe tittle...na umueleweshe UKWELI..mefrahi watu kama nyie mko wazi
thanks
Thanks alot KAKA u seem to be a good guy
thanks
 
Enh kweli this is JF. Mbona watu mnafanya dini vichaka? Hebu tuweke hoja. Hoja ni UDOM upendeleo wa udini kwenye mishahara. Kuna watu wao lazima wachangie hata kama hawajui wanachosema.
Labda tuulizane mishahara inalipwaje kwenye academic institutions?
Ukiwa na masters tayari wewe ni assistant lecturer, unaweza kuongezea machapisho ukapanda kwa mshahara lakini hii haizuii wale ambao hawajaandika kupanda, kila mtu hapo atapanda ila sasa, kuna bar ya juu ambayo kama hutaongeza machapisho au elimu then ndio mwisho wako.
Kwa sasa hivi ukiwa na masters ukaandika machapisho 3 basi unakuwa lecturer lakini hung'oki hapo hata ufanyaje mpaka upate PhD. Sasa unampendelea mtu vipi?
Ukiwa na PhD wewe ni lecturer moja kwa moja, machapisho yatakutoa hapo uwe senior lecturer to professiorial level.
Kwenye hivi vyuo sasa hivi kumekuwa na transparency saana.

Mkuu bnhai, umeeleza vyema sana. Labda mtu acheze na notch (sijui ndio inaandikwa hivi) kwenye scale hiyo hiyo. Huu mchezo upo hata UDSM hakuna ushahidi wa kweli kama ni upendeleo au makosa ya kiufundi. Mfano kuna watu wenye hadhi sawa wameajiriwa siku moja mishahara wakaanza notch tofauti ndani ya scale moja. Uzuri Mitanzania ndivyo tulivyo. Mijamaa ilikaa kimya inalalamika kwenye vikao vya bia baa kama mwenye baa ndio anarekebisha mishahara yao
 
Yamewashinda kujenga huko Afghanistan wataweza kujenga Tanzania?

Rudi kawaulize vizuri maana wamekuuzia mbuzi kwenye gunia, waarabu hao na siasa zao za udini na ukandamizaji wameshashindwa kujenga Somalia na kwingineko wanakotawala kwa mabavu, hawana na hawatakuwa na uwezo wa kufanya hivyo Tanzania.

Kuna wengine unao?

Hayo ya waarabu yako wewe mimi nazungumzia walio jenga warudishiwe
 
Mwafrika,

..Tambaza na Zanaki zilikuwa Agakhan Boys and Girls secondary schools.

..zilitaifishwa pamoja na hostel zao lakini miaka ya 1990 serikali ikazirudisha hostel kwa Agakhan na kuendelea kumiliki shule.

..Azania na Jangwani sielewi zilikuwa mali ya nani. lakini kwa maeneo[upanga/uhindini] zilipojengwa nadhani zilikuwa za madhehebu fulani ya Kihindi. naweza kuwa nimekosea.

..shule ya Lumumba sijui ilikuwa ni ya nani.

..Tambaza,Azania,Zanaki,Jangwani, ni shule ambazo wanasoma watoto wa vigogo iwapo wataamua kusoma ktk shule za serikali. sidhani kama zitarudishwa kwa wamiliki wake wa awali.
 
Mkuu bnhai, umeeleza vyema sana. Labda mtu acheze na notch (sijui ndio inaandikwa hivi) kwenye scale hiyo hiyo. Huu mchezo upo hata UDSM hakuna ushahidi wa kweli kama ni upendeleo au makosa ya kiufundi. Mfano kuna watu wenye hadhi sawa wameajiriwa siku moja mishahara wakaanza notch tofauti ndani ya scale moja. Uzuri Mitanzania ndivyo tulivyo. Mijamaa ilikaa kimya inalalamika kwenye vikao vya bia baa kama mwenye baa ndio anarekebisha mishahara yao
Hadhi unamaanisha experience. Lakini in either way kadifference huwa ni kaduchu na tena ndani ya scale nzima ile ya upper na lower boundary almost hakuna cha maana. Kama utaamua kufundisha na ukawa huna hata uwezo wa ketetea haki yako basi wewe ni msomi goigoi. Watu wanalalamika mambo mengi pembeni lakini ukifuatilia utakutana na sababu za kutosha na kama kuna makosa huwa yanarekebishwa. Unajua watu huwa wanatoa comments tu wanadhani watu woote hawajui kinachozungumzwa, ukimwambia ajitokeze asaidiwe kama anapunjwa anaingia mtini. Hii nini sasa???
 
Mwafrika,

..Tambaza na Zanaki zilikuwa Agakhan Boys and Girls secondary schools.

..zilitaifishwa pamoja na hostel zao lakini miaka ya 1990 serikali ikazirudisha hostel kwa Agakhan na kuendelea kumiliki shule.

..Azania na Jangwani sielewi zilikuwa mali ya nani. lakini kwa maeneo[upanga/uhindini] zilipojengwa nadhani zilikuwa za madhehebu fulani ya Kihindi. naweza kuwa nimekosea.

..shule ya Lumumba sijui ilikuwa ni ya nani.

..Tambaza,Azania,Zanaki,Jangwani, ni shule ambazo wanasoma watoto wa vigogo iwapo wataamua kusoma ktk shule za serikali. sidhani kama zitarudishwa kwa wamiliki wake wa awali.

Jokakuu,

Asante kwa maelezo mazuri. Kuna uwezekano wa kuwafahamu waliokuwa wamiliki wa shule zote Tanzania nzima (sio Pwani pekee) kabla ya azimio la arusha?

Swali kwako binafsi ...

Ni nini mtizamo wako kuhusu wazo la kurudisha hizo shule na hospitali na majengo, na mashamba, na mali kwa waliokuwa wamiliki wake kabla ya azimio?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom