Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,356
- 21,390
Udini utaisha pale kila dini itakapoamua kwa dhati kabisa kuheshimu dini zingine.Mahubiri yote ya kashfa kuachwa na wanaotaka kuhubiri dini na kutangaza dini zao basi wazitangaze kwa namna ya kuheshimu dini zenye imani tofauti.
Mfano Ukimwambia Mkristu YESU siyo Mungu umemkosea maana imani yake inadai na inataka aamini hivyo kuw aYesu ni mungu.Na vili vile kwa Musilamu kumwambia MOHAMED S.W siyo Mtume unakosea maana imani yake inamtaka aamini hivyo.Tofauti hizi zisilete utengamano.Kila mtu aamini anachoamini na kiheshimiwe na wadini nyingine.
Na hata kwa yule anayeabudu Ng'ombe.Kinachotakiwa ni kumuelimisha ni kwanini dini yako unaiona ni bora na siyo kutukanana na kudharauliana.Hakuna mtu aliyemuona Mungu na anayejua anafanyaje kazi ,kama binadamu tunatakiwa kuamini yupo kulingana na Imani zetu.
Tukiweza hayo basi tutaondoa udini.