Hii issue ipo ila ukiangalia mitaani tunavyoishi huwezi kugundua maana kuna kitu kimejificha nacho si kingine bali ni mgawanyo wa madaraka baina ya hizi dini though kwa sie Mabudha hatuna shida (hapa ni uroho wa madaraka kwa misingi ya dini tu kwani mbona katika maisha ya kwaida mitaani kwetu hii issue ni ngumu kui-verify kama kweli kuna una udini)
zitto sio mkweli. anatwambia tz kuna udini maaskofu wangapi wamewekwa ndani? labda atambie CCM ithamini maisha ya waislam kama wanavyofanya kwa wakiristo
Mkuu Albedo kuna member Fulani wadini sana nawasubiri wakiingia tu na Mimi naingia Nafikiri unawajuaYaani Katika yooote umemegua la Udini halafu Ukalibold Kidini. Tanzania Kuna Magaidi Wachache tu ambao Serikali ya Dr. Shein ina deal nao Vizuri huku Bara Kova akila nao sahani Moja. Acha kuendekeza Ugaidi Bana
Mkuu Albedo kuna member Fulani wadini sana nawasubiri wakiingia tu na Mimi naingia Nafikiri unawajua
Udini umepandikizwa na chama tawala
Udini umepandikizwa na chama tawala
zitto sio mkweli. anatwambia tz kuna udini maaskofu wangapi wamewekwa ndani? labda atambie CCM ithamini maisha ya waislam kama wanavyofanya kwa wakiristo
nikweli ndo maana nyerere alikasirika sana malima alipokua waziri wa elimu wakati huo alipoanzisha namba badala ya majina.kwa tanzania hii suali la dini ikitulia ukabila unatokea.hapo sasa
zitto sio mkweli. anatwambia tz kuna udini maaskofu wangapi wamewekwa ndani? labda atambie CCM ithamini maisha ya waislam kama wanavyofanya kwa wakiristo
Mzee Ndesamburo alimuuliza Hamad Rashid hichi chama chenu cha CUF kimekaa kidini nayeye pia ni mdini na kama chama ni cha kidini Tendwa si angekifuta lakini leo sema Chadema ni cha kikristo huku jf matusi yote yatatua kwakoThat is very true.
MUASIS WA CDM, Mzee MTEI, ilipoundwa tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya alisema yafuatayo kwenye gazeti la Tanzania daima. Pitia hii:
Mzee Mtei yuko sahihi kuhusu Tume ya Katiba?
Jee huyu mzee naye ni mdini kwa kua alitaka uwiano wa idadi ya wajumbe katika tume ya katiba mpya kwa mujibu wa dini zao? ALBEDO kama unaweza kujibu hili tafadhali karibu.
Kama hakuna udini, kwa nini Mtei asingekaa kimya?
Sio Ndesamburo tu, hata baadhi ya wana JF katika hii thread wanasema muanzilishi wa udini ni Rais Kikwete na KAFU! Therefore, let's support national dialogue ili tujue upo, haopo na nani amesababisha na suluhisho ni nini.Mzee Ndesamburo alimuuliza Hamad Rashid hichi chama chenu cha CUF kimekaa kidini nayeye pia ni mdini na kama chama ni cha kidini Tendwa si angekifuta lakini leo sema Chadema ni cha kikristo huku jf matusi yote yatatua kwako