UDINI ni kitu kibaya sana

mkuu tunahubiri Amani na upendo ambazo hata wewe mwenyewe unazihusudu, acha mambo ya udini badilika.
 
mkuu umewahi kusikia jihadi? Amani ni tunu ambayo ikipotea ni ngumu kuipata tena.
 
Duu kumbe hii ipo kabisa kwenye mafundisho hii sio Dini sasa ni ugaidi huu
 
Kabisa waislamu wa bara wako vizuri sana ila wa pwani ndio tatizo.

Mimi nimeishi bara na marafiki zangu wakubwa walikuwa waislamu na kila mtu anaheshimu imani ya mwenzake ila nilipo amishishwa kikazi huku pwani ndio nikaona hii dini ina ubaguzi balaa yaani nilipoamia hapa majirani walipo gundua mimi ni mkristo nilichukiwa na mtaa mzima kisa Dini duuh sina hamu kwa kweli
 
Nachokwambia kinaukweli ndugu yangu na yamenikuta, tena kuna chuki kubwa kutoka kwa wakristo kwenda kwa Waisilamu na kundi kubwa linaloongoza kwa hizo chuki ni wanawake
 
Waislma unafiki na chuki upo ndani ya damu yao, kumbuka hata Waarab wenyewe hawapendani huko Uarabuni, wana ukabila sana na huchukiana kishenzi. Sasa uje hapa kwetu kwa watu waliopandikizwa imani kwa kulazimishwa, yaani unakuta mtu hajuwi lolote kuhusu dini yake amejaikariria tu vitu kichwani na kujiona anajuwa kila kitu. Hapo shule hataki anashinda msikitini tu. Akiona wenzake aliosoma nao wanakwenda kazini anawakasirika na kuwatupia majini au kuwanafiki kwa majobless wenzake msikitini huku wakinywa kahawa.
 
yaani umeonyesha uhalisia wako jinsi ulivyokuwa na chuki kwa Waisilamu,kwanza nashindwagwa kuelewa hivi mbona baadhi ya watu wanaonaga kuyataja hayo majini ni rahirahisi tu,labd sababu hawana elimu nayo

Kwa bahati nzuri nimekuwa muumini wa dini zote mbili ukristo na Uisilamu,wakati tuko wakristo hatukuwahi kufundishwa jinsi ya kujikinga na hivi viumbe, lakini nilipoingia kwenye Uisilamu nilifundishwa kuhusu elimu ya majini, kwamba wapo wabaya wanazulu watu na kuna wema ambao tunaswali nao msikitini,

Kwa tafsiri yake majini wapo hata bar, hata kwenye mikusanyiko ya watu, lakini je wewe mwingine usiyekuwa muisilamu unajua jinsi ya kujikinga nayo
 
Kuna nyimbo moja ya afande sele inaitwa dini ukiisikiliza ile nyimbo utagundua waafrika wengi hatuna akili.
 
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali
Siku hizi kisses ni kunyonya kumbe? hiki kiswahili cha Kenya
 
Ndiyo hii ipo dhahiri kabisa pwani wamejitwika ujinga kuwa dini ipo kwao.
 
mkuu umewahi kusikia jihadi? Amani ni tunu ambayo ikipotea ni ngumu kuipata tena.
ni watu wachache mno wanaweza kuweka kile wanachokiamini wakajadili mambo jumuish,weng wetu dini zimetulevya haswaa,tunatumia hisia badala ya akili...nikuambie tu ndg hakuna watu wenye chuki na wabaguz kama wafia dini,wanaamin kila wanachoambiwa na viongoz wao,ni ngumu kuwabadilisha
 
ni kweli aisee yaan wako brainwashed kinoma.
 
Nilimtongoza FaizaFoxy akanichomolea kisa Mie Mgalatia
 
Uwongo mtupu.

Ingekuwa tunawatenga tungewapataje makundi kwa makundi wanaotoka kizani na kuiona nuru ya Uislam? Fikiri.

Tena wale haters kama wewe wasiojijuwa ndiyo tunapenda sana kuwaweka karibu muuone wema wa Uislam.
 
Dini ni ujinga nasema siku zote.. dini zenyewe ndo hizi za waarabu na wazungu!
 
Waislam wangekuwa wanatenga watu, hii nchi isingekuwa na dini zingine za kiajabu ajabu.

Kumbuka kuwa dini zingine zote ziliukuta Uislam tayari upo ardhi i hii inayoitwa Tanzania leo.
Dini ya waarabu wewe ina kuhusu Nini? Wewe mwarabu? Babu wa babu wa babu yako alikuwa hana dini? Ukiangalia..Muhindi ana dini yake, mchina ana dini yake, mjapan ana dini yake, Mzungu ana dini yake.. mwafrika tu ndo mtu mjinga ambae hana dini yake, anadandia dini za race zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…