Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.

Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama CCM itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (CC), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.

Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha
Mkuu ningeomba unipe maana aya CCM kwa lugha ya kiingereza mkuu uliyetowa hii Thread asante.
 
Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.
kwa hiyo Mgaya unataka kuniambia kuwa hii percentage ndiyo inayosababisha CCM na Serikali kwa ujumla kuwa weak kioungozi? tufafanulie wana jamii!

Pia anika jamvin mantiki yako kuu ya kuileta hii mada ili wote tuende sambamba wakati wa kuijadili - kama ni just idadi tu ya watu na imani zao mimi sioni hoja ya kujadili mkuu - kama hii percentage zinaleta matatizo - anika hapa hiyo ndiyo maana yangu
 
Helo wanajamii forums, maisha yanaendaje? Ndo kwanza nimejiunga tuko pamoja 2010 kujadili maswala mbalimbali yanayoihusu jamii yetu. Ila nawakumbusha kuwa tusijaribu kutoboa mtumbwi uliotubeba kwa maana tutaangamia wote. Tchao!
 
hoja za nma hii zinatakiwa kuangaliwa kwa karibu sana na Admin.
kwanza ujue waislamu wanaruhusiwa kuoa wake wengi, unajuaje labda ratio iko natural?
 
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.

Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama CCM itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (CC), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.

Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha

Nimekuuliza swali langu mbona unalikwepa nini Maana ya CCM kwa Lugha ya kiingereza?na unajuwa Muanzilishi wa CCM Alikuwa Mkristo Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa hili la Tanzania? Sasa iweje CCM Asilimia 75% Wote ni Waislam?Acha Uongo wako mkuu kama unataka upate watu wengi kwenye hii Topic yako uliyoanzisha utawapata tu sio kuropoka ovyo na Wabunge wote ni waislam?
 
Kwani huko nyuma propotion ya wasomi ilikuwaje ndani ya hii nchi na sasa ikoje hadi kusiwe na uwiano mzuri kwenye hili?
 
Tuwahukumu watu kwa matendo na uwezo wao na kamwe tusiwahukumu kwa vigezo vya udini. Hii ingekuwa na mantiki zaidi katika kujenga hoja.
 
Kama basi CCM ni Chama cha viongozi Waislamu, basi karibuni CCJ ni Chama cha Viongozi Wakristo.

Tutakoma mwaka huu.
 
Mimi sidhani kuna udini katika ccm nachokifahamu tangu mwanzo ccm(TANU) ilipokuwa inaanzishwa kipindi hicho waliowengi ambao walikuwa hawanashughuli ya kufanya walikuwa waislamu, na baadhi ya wakristo walikuwa mashuleni na hawakuona umuhimu sana, hivyo kujishughulisha na siasa ilikuwa silazima kwani walikuwa mashuleni!!Nawaliokuwa wengi waisilamu walikuwepo mitaani matharani tuchukulie Tabora tazama wa asisi wote ni waislamu wakiristu niwachache!!hivyo hata watoto wao nao wamekimbilia siasa!!chunguza kigogo waenzi hizo katika siasa lazima watoto wake wapo kwenye siasa!!!Vivyo hivyo na CUF waliokuwa wengi niwale wasiokuwa nashughuli maalumu nazaidi kwakuwa kiliasisiwa visiwani ndiyo maana kikaja na mwamko wawaislamu!
 
Naomba nipewe Takwimu:

Wakuu wa Mikoa wangapi Wakristo?
Makatibu wakuu wangapi waislaam?
Wakuu wa Wilaya wangapi wapagani?
Wasiokuwa na ajira wangapi waislaam,

Wanaoingioa Dar university wagapi wapagani?
 
Naomba nipewe Takwimu:

Wakuu wa Mikoa wangapi Wakristo?
Makatibu wakuu wangapi waislaam?
Wakuu wa Wilaya wangapi wapagani?
Wasiokuwa na ajira wangapi waislaam,

Wanaoingioa Dar university wagapi wapagani?

Unaomba toka kwa nani mkuu lifelines?
 
Naomba nipewe Takwimu:

Wakuu wa Mikoa wangapi Wakristo?
Makatibu wakuu wangapi waislaam?
Wakuu wa Wilaya wangapi wapagani?
Wasiokuwa na ajira wangapi waislaam,

Wanaoingioa Dar university wagapi wapagani?

Haya mambo yatatupeleka pabaya
 
kwanza ukweli lazima uangaliwe ili wanaohusika wachukue tahadhari...............ukiogopa kujadili kwa kuhofia kuangamia utakuwa hutendei haki nchi yako na jamii yako......usipojadili viongozi watajua hatujui mipango na mbinu zao za kimkakati......ni bora tupiganie haki tuangamie kwa faida ya kizazi hiki na kijacho lakini siku zote uoga huleta umasikini...............viongozi wengi wanapenda kauli kama hizi za kuwepo vurugu km suala fulani likiwekwa wazi/kujadiliwa wazi na wanatumia nafasi hiyo kuendelea kuwarubuni watu....................wanavyosema ni tofauti na wanavyotenda...........udini ccm upo ndiyo maana wakatumia nafasi hiyo ya uwingi wao kuweka mahakama ya kadhi kwenye ilani yao......
TUJADILI TUSIOGOPE!
Helo wanajamii forums, maisha yanaendaje? Ndo kwanza nimejiunga tuko pamoja 2010 kujadili maswala mbalimbali yanayoihusu jamii yetu. Ila nawakumbusha kuwa tusijaribu kutoboa mtumbwi uliotubeba kwa maana tutaangamia wote. Tchao!
 
my idea was that no matter who is the leader, he or she must work with the following guide lines: -

1. To respect the Rule of law.
2. Appoint people base on their merits not political affiliations.
3. Be accountable to everyone on the government below and up.
4. Accept mistakes and rectify them ASAP...
5. Respect the free and fair election.
6. Respect the freedom of speech.

the question is do we have that kind on the leader???????????????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom