Hii mada nzuri sana, unapoanzisha chokochoko, wala usidhani kuwa unawakomoa wale unaowataka, lakini zitakurudia, kama kumnyooshea mtu kidole.
Manake kama unazungumzia Waislam ni wengi kaika CCM, itafikia wakati lazima tujue na katika kila sehemu ya Serikali kuu na Serikali za mitaa, Mahakama na Bunge uwiano ukoje. Tukifikia huko, basi tutakuwa kama Lebanon, tutagawana madaraka. Ndio tamaliza hizi chokochoko.
Mtoto Dekwa akiwa katika familia ya watoto wawili. Wakati Mzazi anapoleta zawadi, mfano machungwa, akamgawia mtoto dekwa moja na yule mwingine moja. Basi mtoto dekwa huanza kulilia chungwa la mwenzake, basi mzazi kwa kuwa naye kamdekeza, anachukua chungwa la mtoto wa pili na kulikata nusu na kumpa kipande dekwa, basi mtoto dekwa anakuwa na chungwa 1 na nusu, wakati mtoto mwingine ana nusu chungwa. Lakini bado mtoto dekwa atakuwa analilia hata lile chungwa nusu la mtoto wa pili. SASA HAPA NINALOLIONA NI LA MTOTO DEKWA.