Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Wakristu wako torelant sana ila ingekuwa the other way round mngeona apa kashi kashi.
Ata Nyerere aliwai ulizwa kuwa mbona baraza lako lina wa RC wengi kuja kufanya uhakiki ikaonekana ni yeye na kahama.
Anyway tuache udini what matters ni competence.
 
Gamba la nyoka nafikiri hujaelewa aliyosema Rev Kishoka,sijaona any insults kwa waislam hapo,seems he care less kama atakayechaguliwa ni muislam au mkristo as long wata deliver!

Uko sawa namimi, jamaa sijui hajasoma vizuri. Me, myself and I, I don't care who lead the country. I am a christian I respect others for being they are and not for what they have. I respect other peoples believes awe muislamu au christian au Buddha nk cha msingi nataka kuona tunakaa meza moja tunacheka wote, wakati wa kuomba kila mtu kivyake. Lakini masuala ya kitaifa mbele inshu za dini huko kanisani, misikitini na porini.
 
Hivi Kinana ni dini gani vile??

Abdulrhaman? kama ni muisailamu vile? Halafu na sisi wakristu tumejisahau kweli, tumekuwa bize kukamata nafasi kwenye corporates tunawaachia jamaa siasa matokeo yake ndio hayo sasa, tukiendelea kuzubaa tu washika kila siku halafu nchi iende ki-sharia sharia!
 
no comment! "wembe ni uleule ushindi.. CCM oyeee"
 
Ishu kubwa ni je anaweza kudeliver??????Dini sio ishu kubwa hapa.Tunamtaka mtu anayeweza kusimamia sheria za nchi vizuri.Acha hata wawe asilimia 90% halafu waelewa wa kusimamia isuue no problem.Maana mwingine aweza kuwa wa dini yangu kumbe afadhali yule asiye wa dini yangu.Kukubwa tunataka tangibles sio mambo ya dini ipi ina watu wengi au ipi yenye viongozi wengi.
 
Mimi naamini idadi ya wakristu na waislamu kwa Tanzania inapishana kwa mbali sana! Ukienda kwenye takwimu utaona kama zinalingana lakini takwimu hizo kwa hakika zimechakachuliwa! Dini yenye wafuasi wengi hawana kelele na siyo wagomvi wala wakorofi kama Mungu wao aishivyo! Wale wachache wanapiga kelele sana, wakorofi na wenye jazba kama Mungu wao aishivyo! Kwa vile wachache wana kelele wanaonekana kama wengi!
To be sincerely, hata kama serikali nzima ina ongozwa na wafuasi wa dini moja, sioni tabu, lakini ukiwatazama usoni, dhamila zao hazina ajenda ya siri dhidi ya madhehebu mengine? Je, hawata geuza vitabu vya dini yao ndyo iwe katiba ya nchi?
Sisi wanadamu tuna mapungufu mengi likiwemo la ubinafsi wa nafsi, lazima siku moja itakuwa maamuzi ya kitaifa yatakuwa yana amuliwa na viongozi wa kwenye masinagogi.
Nchi kama yetu, NI LAZIMA TUBALANCE viongozi watoke katika madhehebu yote makubwa! Si kweli kuwa madhehebu fulani ndiyo wamesoma na wanaweza kuongoza kuliko wengine! Element za udini ZIPIGWE VITA katika TANZANIA. DO NOT IGNORE THIS-TAKE CARE!
 
Hizi dini zimeleta matatizo tu Afrika...ndo maana nawapenda rafiki zangu Wasukuma,mambo ya wazungu na waarabu hawana,full dini zetu...
 
Huu uchaguzi upite tu kwa kweli, mara udini, mara ukabila, mara uraia, na bado yataibuka mengi sana. Misingi ya nchi hii tunaitambua naomba tu tusimame katika hiyo.
 
Wakristo na Waislam pelekeni udini wenu mnakojua, tuachieni Tanzania yetu. Mnaongea udini katika nchi lakini mnajua kabisa hamna matendo yanayomfurahisha Mungu. Tukiwauliza mkifa leo mtaenda peponi? Hamna cha kujibu. In reality, pressure nyingi katika dini kwa nchi yetu ni matokeo ya ignorance ya kupindukia na watu kutokuwa na kazi za kufanya. Ni lini mtaacha kuongea, "Nipe na mimi, yule mmempa!"? Utoto huu jamani!! Ah, mnatuboa. Ukristo, Uislamu, Ukristo, Uislamu. Nani kawaambia nchi hii ni yenu pekee? Mama zenu masikini, dada zenu masikini, Baba zenu masikini, mnapoteza muda na mambo ya kuhesabu nafasi za dini nyingine katika uongozi. Hivi uwezo wenu wa kutazama unaishia hapo tu?
 
Hivi tunaweza kufunga mijadala ya udini mpaka post uchaguzi? My worry ni Uchaguzi umepangwa kufanyika Jumapili na sio Ijumaa.
 
malaria sugu alifungiwa kwakusema chadema ni wadini kwa sababu inawengi wakiristo

ulikuwa huna data ndio maana ikapendekezwa ufungiwe. chadema ilikuwa na waislamu wengi kuliko wakristo kwenye uongozi wa juu.na mpaka leo iko hivyo,ccm inakoelekea tutakuja kuchapa bakora hata makaburi yao.
 
...bora hata tusijadili hili mpaka tuone matatizo yatokee kutokana na hiyo ratio,naogopa kuloose support ya wanajambo forum ya kupigana na mafisadi ....si unajua wengi kwao dini mbele maslahi baadaye!
Sijawahi kuona mawazo potofu duniani kama haya. Yaani mtu na akili zake timamu anakushauuri ungojee matatizo kwanza yatokee halafu ndiyo uanze kufukuzana nayo! Very stupid ever!
 
Wakristu wako torelant sana ila ingekuwa the other way round mngeona apa kashi kashi.
Ata Nyerere aliwai ulizwa kuwa mbona baraza lako lina wa RC wengi kuja kufanya uhakiki ikaonekana ni yeye na kahama.
Anyway tuache udini what matters ni competence.

Acha kueneza uongo. Tutajie hilo baraza la mawaziri la Nyerere lililokuwa na Wakatoliki wawili tu ni lipi na lilikuwa mwaka gani?

In fact huu ulikuwa uongo aliousema Nyerere pale Hotel Kilimanjaro na wenzio wanajaribu kuuficha. Tena yeye mwenyewe akajaribu kujichekesha (kama kawaida yake) na kudai kuwa huyo Kahama alikuwa tayari keshaoa mke wa pili. Kwa sababu wewe umeamua kuuchokonoa basi ni bora ukachukua nafasi hii kutetea huo uongo wa Nyerere na ututajie hilo baraza la mawaziri na utuambie hilo baraza lilikuwa mwaka gani.
 
Nimependa sana comment kuwa "shida ni dhamira". Unajua tutofautishe vitu viwili, competence and lengo. Kuna mtu atakuwa competent enough kuongoza na hata kuishikilia nchi; but swali linakuja, dhamira / lengo lake kuu ni nini..?? Kukandamiza wengine..?? Kuifanya dini yake kuwa dini ya kitaifa...?? Haya ndio maswali tunayopaswa kujiuliza.

Je, kelele za Kadhi na OIC zilikuwa zinalenga nini..?? Si kwamba ni ishara mojawapo ya ubinafsi na malengo yanayotaka kuipeleka nchi yetu kwenye full udini..?? Watu wengi wakakimbilia na kufananisha Baraza la Maaskofu na Kadhi, hii ni comment ya kijinga na inaonyesha uwezo mdogo wa kufikiri. Baraza la Maaskofu haliko chini ya katiba hivyo hata kadhi inaweza kuwepo bila kuingilia misingi ya katiba na taratibu za serikali. Ikiwa inataka kuingizwa kwenye katiba au katika sheria za nchi then hapo ni udini uliopitiliza. Swala la OIC na ubalozi wa Tanzania Rome, nalo ni swala ambalo niliona ni upungufu wa fikra na mawazo. Ubalozi wa Tanzania Rome ni sawa na Ubalozi wa Iran hapa Tanzania. Ukijuinga na jumuiya yoyote ujue kuwa unapaswa ku-comply na principle za jumuiya hiyo. Kwa wale waliosoma na kuelewa somo la Uraia/Civics mtakumbuka Principles za UN, EAC, SADC na Common Wealth. Hizi jumuiya zina masharti yake, mtu anayefananisha jumuiya na ubalozi, huyu analengo la kuwapotosha watanzania. Tusipende kuiga wengine wanafanya nini; mwezio akila nyama ya mtu, si na wewe ule nyama ya mtu kwa sababu yeye ni Mmarekani, Mkenya au Mganda. Kila nchi ina watu wenye different personalities and perceptions.

Kwa hayo machache ya OIC na Kadhi tutaona kuwa dini ya kiislamu inalenga kutawala nchi kwa misingi ya kidini and NOT COMPETENCE & KATIBA. Wakati wa Nyerere na Mkapa sidhani kama uliwahi kusikia milengo ya kidini hata kama wakristo walikuwa wengi..!!..?? Ikulu ilikuwa inaheshimika si kama ilivyo sasa ambapo ni sitting room ya mashekhe na watabiri.

Binafsi sina tatizo na mfuasi wa dini yoyote kuongoza, tatizo langu ni malengo, nini dhamira yake / yao...??
 
Jamani tuache udini hjaijarishi kama ni nani kwa sasa wanaongoza CCM tunachokaa ni ule ubaradhuri na ghiriba zao walizonazo wao kama binadamu lakini si dini yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom