Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
ha ha ha ... na hii umeitoa madrassa ipi ... mogadishu au kismayu?
unaandika kama Mwafrika halafu unajipa thanks kama Maxsimba. kweli wewe mawazo una MAWAZO. kiboko yako Mtanzania anajua hadi ulivyokwenda Marekani kwa mgongo wa kuimba kwaya.
 
unaandika kama Mwafrika halafu unajipa thanks kama Maxsimba. kweli wewe mawazo una MAWAZO. kiboko yako Mtanzania anajua hadi ulivyokwenda Marekani kwa mgongo wa kuimba kwaya.

Waislam bana, kaazi kwer kwer,

Kwanza fahamu kuwa mimi si MWAFRIKA. Pili fahamu kuwa CCM ni Chama Cha Muham-mad. Arobaini yenu imewadia.

Inonekana MWAFRIKA anawanyima usingizi nyie wafuasi wa Allah Kiumbe.

Mwisho, huna jipya wewe zaidi ya kuonyesha jazba ilioambatana na povu baada ya kunyweshwa juisi ya pili pili.

usibishane naye huyo huyo ni mtu mmoja.mtumie PM Mtanzania akueleze kuwa Mwafrika,Maxsimba ni nani? kuna thread ilikuwepo hapa ilibidi Mwafrika akimbie na kuifuta.

Hapa inaonekana umesha lewa juisi ya pili pili.

Sasa turudi kwenye mada, na swali liloulizwa hapo nyuma.

Ni lini Zenji watapata RAIS MKRISTO?
 
unaandika kama Mwafrika halafu unajipa thanks kama Maxsimba. kweli wewe mawazo una MAWAZO. kiboko yako Mtanzania anajua hadi ulivyokwenda Marekani kwa mgongo wa kuimba kwaya.

ukiuliza swali kuwa kwa nini Tanzania shule za madrassa zinafanya vibaya watu wanakuja na visingizio vingi --- ohh nyerere, ohh mkapa, ohh makafiri wanatuonea.

Sasa wewe ndiye unathibitisha kinachosababisha madrassa zinachemsha... uswahili na udaku mbele kwa mbele.
 
Hivi sasa tunasubiri ahadi nyingine mpewe na chama chenu cha Muham-mad, labda mtapewa mahakma ya kadhi na Mashehe kuwa wakuu wa mikoa na Maustaadh kuwa walimu wa kuu wa shule za msingi.

Maana ninyi wafusai wa allah kiumbe bila ya ahahdi hampigi kura.
 
Hii ajenda ya udini tusiifumbie macho ni kweli kabisa na bora ingebakia huko kwenye chama chao, tatizo ni movement nzito serikalini na kila mahali, mashirika ya umma ndio kumekwisha magazeti yaliandika mfano wa mfuko wa hifadhi ya hela zetu itakuaje katika recruits 25, 22 nzima wawe wa dini hiyo hiyo? shirika limegeuzwa msikiti. Sasa hapo mtasema wako wengi? kasema nani? hiyo miaka minne hivyo je hiyo lala salama inayokuja? hebu tujiullize kwa nini recruitment ya fund regulator imerudiwa? mashirika ya umma yamebaki miaka 5 mizima bila uongozi kati ni kweli kati ya watanzania 45 m hakuna watu? aibu jamani dhamana ya huyo mtoaji isifanywe kufuru hata mungu hatapenda hivyo. Sijui kisomo cha nani kinachosema hiyo ndio namna ya kurekebisha historia.
 
ukiuliza swali kuwa kwa nini Tanzania shule za madrassa zinafanya vibaya watu wanakuja na visingizio vingi --- ohh nyerere, ohh mkapa, ohh makafiri wanatuonea.

Sasa wewe ndiye unathibitisha kinachosababisha madrassa zinachemsha... uswahili na udaku mbele kwa mbele.
Achaneni na huyu mfuasi wa muhamad. Yeye yuko hapa kujifanya anamfahamu kila aliye hapa ni nani na anakaa wapi. Anachemka. Nadhani kweli ni ile elimu ya kuandika toka kulia kwenda kushoto ndio aliyonayo huyu.
 
Rwakatare mfuasi wa tumbo. Njaa itakumaliza!
 
Waislam bana, kaazi kwer kwer,

Kwanza fahamu kuwa mimi si MWAFRIKA. Pili fahamu kuwa CCM ni Chama Cha Muham-mad. Arobaini yenu imewadia.

Inonekana MWAFRIKA anawanyima usingizi nyie wafuasi wa Allah Kiumbe.

Mwisho, huna jipya wewe zaidi ya kuonyesha jazba ilioambatana na povu baada ya kunyweshwa juisi ya pili pili.

Inaelekea wewe unachuki binafsi na CCM na pia na waislam. Sidhani kama ugomvi huo utakupa tija yoyote zaidi ya kupoteza muda. Vita yako ni sawa na jamaa zako wa kilokole wa Kenya wanao jaribu kufufua maiti.
 
Kama Chama Cha Muham-mad bado kinaongoza nchi, tusubiri kihama mkuu.

Duu Hii Kali, Nilikua sijagundua hili!!
Hivi kumbe ndio maana hata rangi za hiki chama ni zilezile kama za Hezbolah?

Na ajenda zake ni za ajabuajabu kama kujiunga na OIC, Kuvunja Uhusiano na Israeli au kutaka kuanzisha Mahakama ya Kadhi.... Siku moja utasikia wakipendekeza kuanzishwa Sharia ili kupambana na ufisadi.
 
Kuna mambo ambayo Watanzania huwa tunayatafuta kwa nguvu sana! Lakini ukweli ni kwamba hakuna udini Tanzania! Mijadala kila siku udini udini..... virtualy hakuna udini, ninapoenda kupiga kura yangu I dont even think ni wa dini gani nampigia kura. It just doesnt bother me, so does Tanzanian. But there is bunch of ****** they just cant stop talking about it! Are'nt you? It makes me very very furious! and you know me when I get angry!! So u better stop it right now!!!!!!! ******!!! aka!!
 
Duu Hii Kali, Nilikua sijagundua hili!!
Hivi kumbe ndio maana hata rangi za hiki chama ni zilezile kama za Hezbolah?

Na ajenda zake ni za ajabuajabu kama kujiunga na OIC, Kuvunja Uhusiano na Israeli au kutaka kuanzisha Mahakama ya Kadhi.... Siku moja utasikia wakipendekeza kuanzishwa Sharia ili kupambana na ufisadi.

Asante Mkuu kwa kuliona hilo.
 
Inaelekea wewe unachuki binafsi na CCM na pia na waislam. Sidhani kama ugomvi huo utakupa tija yoyote zaidi ya kupoteza muda. Vita yako ni sawa na jamaa zako wa kilokole wa Kenya wanao jaribu kufufua maiti.

Pole sana kwa fikra potofu ulizo nazo.

Ukweli, mara zote huwa unauma.

Ni lini mtaleta Uhuru wa Kweli Zenji, angalau Mkristo awe Rais?
 
manguo yao yenyewe ni ya kijani, kuna la kuuliza hapo, wewe ukijiona hupendi nguo ya kijani, ambayo ni ya bendera ya saudi arabia, basi, lala mbele na chama kingine, au anzisha chama chako. mimi sisiemu siipendi kuliko chochote, nikifungua luninga nikiona shati la kijani huwa nabadilisha chanel fasta. ni waongo, wanapenda kudanganya wananchi, kupiga watz changa la macho, miaka nenda rudi wamefanya biashara hiyo. kuna siku watakapotoka ndo mabaya yao yote yatakapoanikwa waziwazi.
 
Ngoja awapoze jamani.Wamelalamika mno"eti wanabaguliwa" wakati walijibagua wenyewe. Hata kwetu Bukoba wakati WAZIBA walichangamkia elimu, sisi WAENDANGABO tulikuwa bize na kuvua samaki. Sasa hivi kuna gap kubwa sana ya kimaendeleo kati yetu.Halafu eti mwenye akili alalamike kabaguliwa bila yeye kuangalia alichangia vipi katika kujiondoa katika mbio za maendeleo!!

Sina uhakika kama J.K anafanya hivyo kwa bahati mbaya au la. Lakini ni jambo la hatari kutoa upendeleo wa makusudi bila kuwa na uhakika wa kudhibiti sumu yaUDINI isisambae.Ndio maana mambo kama ya OIC, Mahakama ya Kadhi, Hijabu mashuleni( sijui hata jeshini yatafika), yamepata upenyo baada ya kugundua kilanja mkuu ni Muislamu. Mwalimu alikemea sana waziwazi itikadi hizi, lakini zinaanza kurudi taratibu hadi makundi ya dini bila aibu yanadiriki kusema waziwazi bila aibu kuwa Nchi itaendelea kama itaongozwa kwa misingi ya dini yao.Ni aibu kubwa ilioje.Hizo shungi za mawaziri na manaibu waziri n.k mhh.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom