Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Hivi jamii intell haina issue nyingine ya kujadili? Kila nikigeuza nakuta ujinga uleule nimepita kama wiki sifungu, leo nimeona labda niangalie wadau wanajipya ama? Kumbe ni yaleyale hakuna jipya la kujenga bali kubomoa tu. JF Please delete this thread.

Join Date: Mon Jan 2010
Posts: 11
Thanks: 4
Thanked 4 Times in 4 Posts
Rep Power: 0

Kaazi kweli kweli, sio lazima uchangie au soma thread za kijinga kama unavyo dai. Sasa nani anaonekana mkinga?

Wabomoaji ni CCM ambao wanaedekeza udini
 
Naona umeamua kwa makusudi kuto sema ukweli. Uislam kamwe si uadilifu na wala haujanyooka kama unavyo dai wewe Jogoo mstaafu.

Uislam umeonyesha chuki na unyama kwa hali ya juu sana kwa maisha ya binadamu. Koran inakiri hilo, Allah wenu anakiri hilo, na hata Marehemu Muham-mad msaidizi wa Allah wenu alihakikisha kuwa ana-execute amri hizo ambazo zipo kiuwazi kabisa katika Koran kitabu cha msaidizi wa Allah aitwaye Jibril.

Miungu watu naona wapo kwenye Koran ya Allah kiumbe. Mungu anasema wapende adui zako na wasamehe saba mara sabini kwa siku, je, ni wapi kwenye Koran panapo sema msamehe na muombee heri adui yako wa Kiyahudi na Kikristo?

Mwisho nataka uelewe kwamba, CCM imejaa udini wa Kiislamu. Rais ni Muislamu, Makamu wake ni Muislamu, Rais wa Zanzibar ni Muislamu, na makamu wake vilevile ni muislamu. IGP ni Muislamu, Viongozi karibia wote wa juu ni Waislamu. Hilo tunalijuwa na si siri. zaidi ya hapo fahamu kwamba, Wakristo si kama nyie Waislamu mnao penda kulalama kwa kila kitu wakati mkijuwa kuwa malalamiko yenu hayana msingi wala mwelekeo na yamesababishwa na mad-rasa ya allah kiumbe.
Wewe Maxshimba bila ya shaka yeyote utakuwa na matatizo hatuhitaji kwenda kwenye malumbano ya kidini hayo unayoyazungumza ni serikali ya awamu hii tu hebu jaribu kuangalia awamu zilizopita zilikuwaje achana unafiki
 
I don't think so. When Ben was a President, kulikuwa na fujo za mwembe chai, who caused it? MUSLEMS. When Ali was a President, there were issues with him, to the point ya kuwafanya Waislamu walete mtafaruki, akina Shehe Yahya Whosain na MaShehe 20 wakaswekwa rumande pale Central Police. Who are those? MUSLEMS.

Wanao taka OIC na Sharia ni WAISLAMU. Hivi kuna hata baya moja lilifanywa na Wakristo? Mbona sijasikia Wakristo wakiandamana kama ninyi? Anyway, the issue here is still the same, CCM inawakumbatia WAISLAM na kupigia debe udini. HIVI umesha sikia kuwa Chama kinacho ongoza nchi kusema na kutumia Mnajimu wa Kiislamu WHOSAIN, kutishia maisha ya watu, eti, mtu akigombea tu, atakufa? Hivi siku hizi Shehe-twain amesha kuwa Mungu?

Tukirudi nyuma zaidi kwenye awamu ya kwanza, Dr. Nyerere hakuwadekeza Waislamu, walipewa vidonge vyao sawa sawa na ndio maana walikuwa kimya kama maji ya mtunguni. Alipo kuja Ali, basi, vurumai na mijadala ya kidini ilianza. Wadini ndio WAISLAMU.
 
i don't think so. When ben was a president, kulikuwa na fujo za mwembe chai, who caused it? Muslems. When ali was a president, there were issues with him, to the point ya kuwafanya waislamu walete mtafaruki, akina shehe yahya whosain na mashehe 20 wakaswekwa rumande pale central police. Who are those? Muslems.

wanao taka oic na sharia ni waislamu. Hivi kuna hata baya moja lilifanywa na wakristo? Mbona sijasikia wakristo wakiandamana kama ninyi? Anyway, the issue here is still the same, ccm inawakumbatia waislam na kupigia debe udini. Hivi umesha sikia kuwa chama kinacho ongoza nchi kusema na kutumia mnajimu wa kiislamu whosain, kutishia maisha ya watu, eti, mtu akigombea tu, atakufa? Hivi siku hizi shehe-twain amesha kuwa mungu?

tukirudi nyuma zaidi kwenye awamu ya kwanza, dr. Nyerere hakuwadekeza waislamu, walipewa vidonge vyao sawa sawa na ndio maana walikuwa kimya kama maji ya mtunguni. Alipo kuja ali, basi, vurumai na mijadala ya kidini ilianza. Wadini ndio waislamu.

mjinga mtamtambua kwa maneno yake !!
 
Wewe Maxshimba bila ya shaka yeyote utakuwa na matatizo hatuhitaji kwenda kwenye malumbano ya kidini hayo unayoyazungumza ni serikali ya awamu hii tu hebu jaribu kuangalia awamu zilizopita zilikuwaje achana unafiki

Kwa hiyo serikali ya Kikwete inalipiza kisasi kwa yaliyopita?
 
Kwa kuendekeza udini .... yaani umepigia msitari kinachoongelewa hapa ila tu umejaribu kukitafutia sababu.

Kuondoa udini uliokuwepo na kuweka haki isimame period! mliozoea kupendelewa kwa ajili ya dini zenu ..mtachonga sana miaka hii
 
Is this intelligence ?
wakuu wa hiki kituo anzesheni sehemu ambako mada yeyote yenye neno dini itatupwa huko. Ikiwezekana ianzishwe pia labda ya ya ukabila.
 
ndiyo maana serikali ya jamaa haijawa stable, hii ni kutokana kuwa na wana madrasa wengi mno kuliko wana sande skuu, maana uwezo wa mwana madrasa huwa ni kukariri zaidi kuliko
kusoma alama za nyakati na kitoa ufumbuzi wa tatizo,
 
ccm is not a proffesional job most of those where from no where look how makamba was able to build up him self to the top level
 
Web master taf, ondoa ujinga huu wa uchochezi. Forum hii si kwa ajili. Hii siyo forum ya kuleta chokochoko.
 
Ukiona watu wameanza kuingia kwenye imani za dini na siasa, huu ndio mwanza wa fujo. Tafadhalini waungwana acheni huu ni ujinga. Na inawezekana mnadhani mmesoma kwa ku ingiza hoja hizi. Ila ukweli mmepotoka
 
ndiyo maana serikali ya jamaa haijawa stable, hii ni kutokana kuwa na wana madrasa wengi mno kuliko wana sande skuu, maana uwezo wa mwana madrasa huwa ni kukariri zaidi kuliko
kusoma alama za nyakati na kitoa ufumbuzi wa tatizo,

Acha bias wewe, intelligence capacity ya mtu haipimwi kwa kua dini fulani,dini pia haihusiani na uwezo wa mtu kutawala,hivi mbona una mawazo ya kibaguzi namna hiyo?jee unataka kutuambia wana sande skul ndio wenye uwezo wa kutawala na wale wa madrasa ni mbumbumbu, watu wa kukariri na vilaza???unapotosha maana ya jamvi hili kuitwa home of great thinker..............
 
Uislam umeonyesha chuki na unyama kwa hali ya juu sana kwa maisha ya binadamu.

Kajifunze kwanza kujichamba ndio utaujua ustaarabu wa Uislam. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda wa kubishana na mtu anaetembea na kinyesi.

Kikwete ni Muislam wa Bara hivyo ameishi, amesoma na kufanya kazi nanyi na chuki zenu anazifahamu fika; 2010 si 1970. Tukaneni, fanyeni uchochezi na chochote mtakachoweza but you are only paper tigers na hakuna Muislam mnaeweza kumtisha.
 
Kikwete ni Muislam wa Bara hivyo ameishi, amesoma na kufanya kazi nanyi na chuki zenu anazifahamu fika; 2010 si 1970. Tukaneni, fanyeni uchochezi na chochote mtakachoweza but you are only paper tigers na hakuna Muislam mnaeweza kumtisha. Tunatumia muda mwingi kupika majungu JF badala ya kufanya kazi - Masatu

Na hayo uliyoandika hapo kwenye bold ni majungu mkuu?
 
Uislam umeonyesha chuki na unyama kwa hali ya juu sana kwa maisha ya binadamu.

Kajifunze kwanza kujichamba ndio utaujua ustaarabu wa Uislam. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda wa kubishana na mtu anaetembea na kinyesi.

Kikwete ni Muislam wa Bara hivyo ameishi, amesoma na kufanya kazi nanyi na chuki zenu anazifahamu fika; 2010 si 1970. Tukaneni, fanyeni uchochezi na chochote mtakachoweza but you are only paper tigers na hakuna Muislam mnaeweza kumtisha.

Nafikiri ungemuambia Marehemu Muhamn-mad kwanza. Maana yeye alitumia mawe, lol
 
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.

Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama CCM itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (CC), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.

Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha

Prove it please
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom