Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.

Wewe nawe mbona unatisha tisha watu? kama unataka kutaja ID za watu wewe zitaje na kisha uone sheria za JF zinavyofanya kazi. Mambo ya kukaa hapa unatoa tuhuma za ajabu ajabu hayana msingi.

Kama unaweza kutaja ID we go ahead ila yakikukuta usiingie na jina lingine na kuanza kutoa vilio kuwa umeonewa. Kama kuna mtu mwingine ametaja ID za watu kwa nini usiwaambie Mods wamchukulie hatua? Kwani wewe si mmoja wa members wa forum hii?
 

You are still playing the same game. What if all of them were muslims? What if all of them were christians? There is nothing wrong for CCM to have all of its leaders from the same faith, tribe or whatever. The same should be said of CUF, etc
 
Soma yaliyoandikwa hapa kijana, halafu uendelee na mjadala.


Kwa hiyo unakubaliana kuwa ccm ni chama cha kidini ila ni kwa sababu waanzilishi wake wa TAA na TANU+ASP walikuwa waislam? Je ni vizuri?
 
Ni bora hao wenye dini kuliko hao ambao inaonyesha huwajui wapo dini gani,mbona idadi ya kupishana sio kubwa ni kama wanne tu ikiwa sijakosea.
ndugu huwezi kuweka sawa kila kitu ,uwezo huo binadamu hatuna ,hivyo muhimu ni kufuata maadili na maamuzi yanayotolewa labda ungeleta hoja ya kuonyesha ni wapi walienda kufungua misikiti na vyuoi vya kiislamu kujengwa kwa wingi na nafasi nyeti kupendelewa kwa waislamu ,sasa tuwekee na Baraza la Mawaziri tuone na makatibu wao na wakubwa wa maidara na wizara.Hiyo hoja kama ungeileta Kitaifa labda ningekubaliana na wewe ikiwa tu utaambatanisha na utendaji na wapi upendeleo ulifanyika.
Nikiongeza Maraisi wote wamefungua wanaosemekana ni Waislamu(Hope you can seeve between Islam & Muslim) makanisa.
 
Mi sioni kama tatizo ni udini, inaonekana kuna Wazanzibar wengi ambao kama tunavyojua Wazanzibar 9 katika kumi ni waislamu.
 
This is very interesting, maana sasa yamekuwa haya?

FMES,

Kama viongozi 30 kati ya 38 wa kamati kuu ya ccm ni waislam katika nchi ambayo wakristo na waislam wako sawa kwa idadi, je unaweza kusemaje kuhusu mgawanyo huo?
 
Mwenzangu Ameshindwa kuondoa MAFISADI ambao ni hatari katika Maendeleo ya mtanzania halafu mnamletea mengine?

Ningeshauri tumuache tu apumzike maana mambo aliyonayo ni mengi na yanamzidi uwezo.
 

Kweli umekosea. Kuna waislam 30 na wakristo 8. Tofauti ni 30-8 = 22
 
Halafu wacha kuchanganya Uislamu na waislamu hivyo ni vitu tuwili tofauti ,maana muislamu wa Uislamu hawezi kufungulia masoko ya manguruwe wala hawezi kujenga kiwanda cha Ulevi kama unazungumzia waislamu jina sawa endelea.
 
Halafu wacha kuchanganya Uislamu na waislamu hivyo ni vitu tuwili tofauti ,maana muislamu wa Uislamu hawezi kufungulia masoko ya manguruwe wala hawezi kujenga kiwanda cha Ulevi kama unazungumzia waislamu jina sawa endelea.

Kama wewe unawajua ambao sio waislam wa kwelikweli basi unaweza kuwataja. Wao wenyewe wanasema ni waislam na hili ni swala kubwa sana kwa ccm kuliangalia kama inataka kujenga usawa kwa dini kubwa Tanzania.
 

Kwa hiyo unataka kusema kuwa asilimia 70 ya wanaccm ni waislam kwa hiyo ndio maana viongozi wa ccm wengi ni waislam? Hivi kuna wanaccm wangapi visiwani ukilinganisha na Mwanza? Kwa nini kuna watu wengi wa visiwani kwenye kamati kuu kuliko wa kutoka mwanza.

Hesabu yako nayo ina matatizo. CCM kuna udini na inabidi waache udini na wawe fair kwa dini zingine na sio kupendelea waislam kuliko wakristo na dini zingine.
 


Mwanakijiji,

Kama nilivyosema mwanzoni, ni bora watu waachane na hizi dividing lines. Mimi sioni tatizo kwa chadema kuwa na wabunge 5 kati ya 6 kutoka kabila moja kama vile ambavyo sioni tatizo kwa ccm kuwa na viongozi 30 kati ya 38 ambao ni waislam.

Dini na kabila visiwe vigezo vya kupima uongozi bali utendaji na ubora wa viongozi. Ukiangalia marekani, Bush alivyoingia ikulu, alikuja na timu karibu yote ya watu wa Texas kwenye kazi mbalimbali za ofisi yake. Sidhani kama kuna yeyote kutoka Montana amekuwa anapiga kelele kuwa ikulu imejaa watu wa Texas. Obama ameweka kampeni yake Chicago na kuna uwezekano kuwa wengi wanaofanya naye kampeni sasa hivi watapata kazi za utendaji ikulu kama Obama akishinda. SIdhani kama watu wa New Mexico wataanzisha makelele kuwa ikulu imejaa watu wa Chicago.

Hizi dividing lines zililetwa na wakoloni na mpaka leo zinaimaliza Afrika. Swali lako ni muhimu sana hapa, kama ni tatizo kuangalia ukabila Chadema, basi iwe tatizo pia kuangalia udini ccm. In the end, no body cares, mimi sina mtu yeyote wa kabila langu kwenye uongozi wa juu wa ccm lakini ninapata kila ninachohitaji. Haya mambo ya kungangania ukabila na udini yanatuponza.
 
Goosh,

Who cares if all of them were muslims?

Do you care if CUF has more muslims than christians? Do you care if UDP has more sukumas than other tribes? Do you care if CHADEMA has more chagga MPs than other tribes?

If you do, then I do care about 30 muslims out of 38 ccm leaders.
 
Do you care if CUF has more muslims than christians? Do you care if UDP has more sukumas than other tribes? Do you care if CHADEMA has more chagga MPs than other tribes?

If you do, the I do care about 30 muslims out of 38 ccm leaders.

If this is the case then, I dont think there is anything I can do to help you think beyond dividing lines. You are just doing the same thing CCM fanatics have been doing to other parties and yet you call yourself opposition!

Shame on you and all who care about tribes and religions.
 


si nilitaja ile ID na msamaha niliouomba nimeufuta nifungie basi
 
Jee ni kweli kuwa CCM ni chama cha wakatoliki pamoja na uwingi wa waislamu kwenye kamati kuu. is it true that CCM stands for christian church movement?

Jee Decision za kuendesha chama zinatolewa na waislamu au wakristo?
 
si nilitaja ile ID na msamaha niliouomba nimeufuta nifungie basi

mkamap, hasira za nini? sio mimi nafungia watu hapa. Wote mimi na wewe kama unapenda jamvi letu tunatakiwa kufuata taratibu zilizowekwa na mods ili kurahisisha kazi yao. Hasira na ugomvi vya nini? inasaidia nini kwenye hoja kutaja ID za watu?

Tusaidiane na tukumbushane tu kutunza sheria za forum. Mengine ya kutoa vitisho sio mazuri. Kama unataka kutaja ID za watu, wewe taja tu ila kumbuka kuwa ukifungiwa kwa kufanya hivyo, usianze kulalamika kuwa umeonewa.
 
Jee ni kweli kuwa CCM ni chama cha wakatoliki pamoja na uwingi wa waislamu kwenye kamati kuu. is it true that CCM stands for christian church movement?

Jee Decision za kuendesha chama zinatolewa na waislamu au wakristo?

Kama viongozi wakubwa watatu kati ya wanne wa ccm ni waislam, basi nadhani tayari umepata jibu la swali lako.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…