Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Na sasa nimeweka tena haya majina na dini zao ili kuweka hii point.
1. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti - Muslim
2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara) -
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar) - Muslim
4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu - Muslim
5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6. Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)- Muslim
7. Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe - Muslim
8. Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda - Mjumbe
9. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe - Muslim
10. Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe - Muslim
11. Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12. Mzee Rashid Mfaume Kawawa - Mjumbe - Muslim
13. Dr. Salmin Amour - Mjumbe - Muslim
14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
15. Capt. (mst) John Zefania Chiligati - Mjumbe
16. Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
17. Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
18. Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe - Muslim
19. Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
20. Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe - Muslim
21. Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22. Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe - Muslim
23. Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe - Muslim
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe - Muslim
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe - Muslim
28. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe - Muslim
29. Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe - Muslim
30. Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe - Muslim
31. Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe - Muslim
32. Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe -
33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe - Muslim
34. Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe - Muslim
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe - Muslim
36. Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37. Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe - Muslim
38. Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe - Muslim
WABUNGE WA CHADEMA
Is this fair to the rest of Tanzanians?
Kwa nini isingekua kila mteuliwa akatoka at least mkoa tofauti?? Ugumu unatoka wapi au mikoa mingine haina wanachama wa Chadema wenye sifa?
Mhe. Maulidah Anna Komu, Komoro & Kilimanjaro (kaolewa na Mkilimanjaro na kuhamia huko).
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Susan Anslem Lyimo, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Halima James, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Grace Sindato Kiwelu, Kilimanjaro
Mbunge Viti Maalum (2000-2010)
Mhe. Lucy Owenya, Kilimanjaro (Mtoto wa Ndesamburo)
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mhe. Mhonga Ruhwanya Said, Kigoma
Mbunge Viti Maalum (2005-2010)
Mkuu Mgaya,
Naiweka tena ili uweze ku-kompare na ya kwako maana nafikiri uliipenda sana. The bottom line ni kuwa CCM, a grand party, hawakuchaguana kutokana na udini. Lakini ni wazi kabisa kutokana na maelezo tuliyopewa, kamchezo ka kiukabila au who knows who kalitumika ndani ya CHADEMA.
Sikubaliani na wazo kuwa hawa wabunge hawawezi badilishwa kabla ya 2010. Inawezekana kama CHADEMA wakiamua, ila labda wanaogopa kupambana na Mzee Ndesamburo.
Akisema hivyo kuna makosa?
Wewe unaonaje?
Mimi binafsi sioni kama kuna makosa akisema hivyo kwa kadri ambavyo hasemi kuwa yeye ni bora kuliko wengine.
Kwani ukisema tu yuo are proud to be African ukaishia hapo kuna tabu gani?
Pale ulipoendelezea DARKED SKINNED NDIYO A LITTLE TOO FAR KAMA KWELI YOU ARE TALKING ABOUT AFRICANS.
MJJ aanalyse uchaguzi au uteuzi wao, asitujie tu na statement za ki-pr - school kwa vile eti 65% ni wa dini moja wakati huo huo, dini ziko karibu 50% - 50% kwenye population ya TZ bara na 98% dini moja in ZNZ. Alikuwa wapi kwenye analysis ya ukabila ndani ya CHADEMA ambao ni obvious?
Mwanakijiji,
Mkuu imekuwa vipi hadi umenzisha mada kama hii?..Ilikuwa ktk kupima ujinga wa watu au kitu gani haswa?...
Haya nambieni katika hiyo list kuna wanawake wangapi?.. Je, CCM ni chama cha wanaume?
Hiki ndicho nachoongelea hapa, tukianza kuongelea mambo ya udini na ukabila ndani ya vyama, tutashindwa kujadili mambo muhimu ya maendeleo ya nchi yetu.
Ni makosa kusema kuwa ccm kuna udini kama vile ilivyo makosa kusema kuwa chadema kuna kabila eti kwa vile viongozi au wabunge ni wa kabila au dini fulani.
Tunacheza kwenye mchezo ambao wazungu waliutumia kututawala - divide and rule.
Mkuu Mgaya,
Naiweka tena ili uweze ku-kompare na ya kwako maana nafikiri uliipenda sana. The bottom line ni kuwa CCM, a grand party, hawakuchaguana kutokana na udini. Lakini ni wazi kabisa kutokana na maelezo tuliyopewa, kamchezo ka kiukabila au who knows who kalitumika ndani ya CHADEMA.
Umejuaje hawakuchaguana kwa misingi ya Udini?
[
good observation... nataka nione jinsi gani watu wana reason given mere statistical facts.... Labda atokee "Wangwe" ndani ya CCM akasema hivi bila ya shaka tutaangalia kwa ukaribu. Mkandara.. you are confirming my point.
Basi mkuu MJJ, badilisha heading ili iwe sasa CCM ni chama cha mababa. Naona udini sasa imeshindikana.
Akisema hivyo kuna makosa?
Wewe unaonaje?
Mimi binafsi sioni kama kuna makosa akisema hivyo kwa kadri ambavyo hasemi kuwa yeye ni bora kuliko wengine.
mwafrika you should have come out kwenye ile mada ya Wangwe to make search an observation. Kinachonishangaza ni kuwa kuguswa CCM imekuwa different standard kwanini haiwezekani kufikiri kuna Udini CCM?
Hiki ndicho nachoongelea hapa, tukianza kuongelea mambo ya udini na ukabila ndani ya vyama, tutashindwa kujadili mambo muhimu ya maendeleo ya nchi yetu.
Ni makosa kusema kuwa ccm kuna udini kama vile ilivyo makosa kusema kuwa chadema kuna kabila eti kwa vile viongozi au wabunge ni wa kabila au dini fulani.
Tunacheza kwenye mchezo ambao wazungu waliutumia kututawala - divide and rule.
you can make that argument too.. as long as you look at the numbers.. you still don't get the point.
mwafrica,
sio Kweli Kuwa Ni Makosa Kulalamikia Udini Au Ukabila Kama Kweli Umo Katika Ngaazi Husika Za Uongozi, Lakini Ni Uzushi Na Hatari Kufanya Hivyo Kama Haupo. Ndani Ya Chadema Ukabila Ni Suala La Siku Nyingi Na Ni Kuwa Tu Hivi Sasa Limepata Mpiganiaji Mzuri. Udini Ndani Ya Ccm Haupo Na Wala Hakuna Statistical Au Any Other Analytical Means Ya Kuonyesha Kuwa Upo.
mwanakijiji Alilileta Hili Kwa Nia Maalum Ya Kufanya Watu Wasiendelee Kulikemea Lile La Ukabila Ndani Ya Chadema, And Shame On Him.
Mwanakijiji,
This is the argument I am also trying to make here whilst expanding the scope of your question. By just looking at numbers and observations, anyone can say anything about anybody at anytime.
Do we have now to hire or choose incompetent leaders to balance tribes, sex or gender, regions, religion, etc? Why should we make it so big that 30 out of 38 or 5 out of 6 are people of the same group?
Can it happen that all are competent irrespective or their tribes or religions?
Mwafrica,
Sio kweli kuwa ni makosa kulalamikia udini au ukabila kama kweli umo katika ngaazi husika za uongozi, lakini ni uzushi na hatari kufanya hivyo kama haupo. Ndani ya CHADEMA ukabila ni suala la siku nyingi na ni kuwa tu hivi sasa limepata mpiganiaji mzuri. Udini ndani ya CCM haupo na wala hakuna statistical au any other analytical means ya kuonyesha kuwa upo.
Mwanakijiji alilileta hili kwa nia maalum ya kufanya watu wasiendelee kulikemea lile la ukabila ndani ya CHADEMA, and shame on him.
Does it mean only Kilimanjaros born or connected people are the good &competent leaders in CHADEMA?