1) Mwanakijiji naona hapa unataka kulazimishia jambo. Ningekuona analytical zaidi kama jitihada uliyofanya kucalculate hii asili hivyo ungefanya hivyo hivyo kujua asilimia ngapi ya wanachama wa CCM ni waislamu na ni asilimia ngapi ni wakristu. Ili hii proportionality principle yako iwe valid ni lazima ufanye hivyo. Nachojua kwa hesabu ya watu Tanzania waislamu wanazidi wakristu.
UFAFANUZI:
- Assume asilimia 70 ya wana CCM ni waislamu na asilimia 30 ni wakristu. Utafanya pia representation 50/50?
- Na kama asilimia 90 ni wakristu na asilimia 10 ni waislamu utafanya pia 50/50
So ili nikuamini nashauri utujulishe hili.
2) Mwanakijiji unaasume kwamba iwa CCM wanawakilisha maslahi ya dini. Hawa sio viongozi wa dini. Waislamu na wakristu si lazima wapingane kwenye sera hata kama zinahusu dini. Nakumbuka Mrema ni mkristu lakini anasaport anasupport Mahakama ya Kadhi.
3) Huwezi kujua wakristu na waislamu kwa kuangalia majina. Kuna wengine wana majina ya kiislamu lkn hawajui msikiti uko wapi, wengine majina ya kikristu lkn hawajui kanisa liko wapi. Wengine wanahudhuria matukio ya kidini km social ocassion tu na sio religious. Sasa unaweza kutuambia ni wangapi kati ya hao uliotaja ni practioners wa dini zao?
CUF ni chama cha kidini ya kiislam, CCM chama cha dini ya kiislam, chadema chama cha kikabila, NCCR mageuzi cha kikristo, DP cha kikristo, UDP cha kisukuma??!! CHAUSTA cha kipentecoste??? chagueni mnataka chama gani? cha mafisadi? cha kikabila au cha kidini?
kama yafuatayo hapa chini wewe huoni kama ni kucriticize basi wewe una lako jambo:
Mama mbona haujaspecify kabila hapa kama ilivyokuwa "UDP cha wasukuma".
Mama mbona haujaspecify kabila hapa kama ilivyokuwa "UDP cha wasukuma".
kama yafuatayo hapa chini wewe huoni kama ni kucriticize basi wewe una lako jambo:
Hivi JF ni branch ya Chadema? mtu kwao, mpaka kieleweke, slaa, zitto wazito wa chadema? haya kitila, mwanakijiji, mgaya et al washabiki, wapenzi, wakereketwa wa chadema? just curious.
na budhha na bohora wataunda vyao, si ulisikia maaskofu wanataka representation bungeni? Mashihidi wa yehova na SDA nao hawatakubali! na wahadzabe nao watataka mwakilishi. Hivi kuna mbunge anayewakilisha watoto? maana hili ni kundi maalum na liko underrepresented, wanangu mpo???
Mama,
Hapa pia kuna Mtu wa Pwani, kada mpinzani, Kubwajinga, zemarcopolo, kibunango, masatu, FMES, na wengine wengi tu ambao ni wanaccm. Itakuwa ni makosa kutumia majina machache ya wanaofikiriwa kuwa upinzani kusema kuwa JF ni branch ya Chadema bila kujali kuwa kuna wanaJF humu ambao ni wana ccm.
JF haina chama ila wanachama wa JF wapo wenye vyama na wapo wengi ambao hawana vyama vyovyote vile.
mi Sioni Sababu Ya Watanzania Kuanza Kuangalia Masuala Ya Dini Sijui Kabila, Wote Ni Watanzania Tunaopinga Au Kukubali Ufisadi Fullstop.
Haya Mambo Ya Dini Tuna Uhakika Nayo? Kama Ni Kwa Kuangalia Majina Then We/you Are Totally Wrong, Kuna Kina Mohamed, Juma ,omari Kibao Makanisani, Na Nimewaona Kina Peter, John Misikitini. Unless Umemuuliza Mhusika Na Akakutajia Dini Yake Then Utakuwa Na Uhakika Yeye Ni Dini Gani Ila Kwa Majina, Tusiendelee Kufanya Assumptions Zisizo Na Maana.
Na Kwenye Makabila Kuna Baadhi Yetu Hatujali Mtu Ametokea Wapi Ili Mradi Anafanya Kazi Vile Inavyotakiwa, Hapa Sitaongelea Sana Sababu Tuko Tofauti Na Tunachukulia Hili Swala Kwa Uzito Tofauti.
Habari Ndio Hiyo...............!
Na waislamu nao wanataka kujiwatala kwa sheria zao wao ndani ya nchi yenye mfumo thabiti wa sheria isiyofungamana na dini yoyote....all these put together you just get the MOST POISONOUS COCKTAIL you never had!
Huyu bwana Mwanakijiji anataka kuturudisha kwenye enzi za zama za mawe!!!!!. Kesho utatuambia hata Taifa stars imejaa udini.....
okay, chadema chama cha wachaga, tlp chama cha wachaga; ai wachaga kwa siasa, karibu watachukua "nji", keleuwiiiii, ruwa mangi na m.....
Mama,
Hapa pia kuna Mtu wa Pwani, kada mpinzani, Kubwajinga, zemarcopolo, kibunango, masatu, FMES, na wengine wengi tu ambao ni wanaccm. Itakuwa ni makosa kutumia majina machache ya wanaofikiriwa kuwa upinzani kusema kuwa JF ni branch ya Chadema bila kujali kuwa kuna wanaJF humu ambao ni wana ccm.
JF haina chama ila wanachama wa JF wapo wenye vyama na wapo wengi ambao hawana vyama vyovyote vile.