Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Huwezi kuvuruga utaratibu bila utaratibu. Kwa swala korosho, mbaazi na democracy. Maghufuli alikosea big timekangomba walikuwa wanadhulmu wakulima. idea ya dr. magufuli ilikuwa njema tu lakini utekelezaji wake ulikuwa mgumu sana kutokana na kile alichokuwa anakiongea kila siku bila watu kukitilia maanani: 'vita ya kiuchumi ni ngumu'
Odhis *