Udhamini wa Lowassa unatia shaka

Udhamini wa Lowassa unatia shaka

Huyu mambo anayofanya hata siyaelewi, juzi mwandosya amesema kila mkoa wanatakiwa wadhamini 30 tu, sasa hayo maelfu ni mbwembwe tu, ili kutisha watu kuwa si mnaona jinsi ninavyokubarika? ole wenu mnikate!! Ila hadi sasa Steringi ameshauawa, hayo ni mateke ya mwisho dying horse!!! likikupata tu, na sasa baada ya jana jaji kuchukua fomu hali ya kambi ni tete sana,

Kumbe kuna jaji nachukua form nilikuwa village ndo naingia jf ss hivi
 
Kwani kuna kosa gani? Enyi watu mnaokaa na kumpinga EL kwa kila jambo, Ebu tupeni ushahidi kamili bila kupepesa macho kuhusu ufisadi mnaousema, Pia mtuambie kati ya wote walioomba nia kupitia CCM, nani asiye na kashfa na kawafanyia nini kizuri watanzania, Tuache unafiki na uzandiki!
Dogo kwanini usiende kulalal kuliko kuwasumbua Watanzania? km mpaka leo hujaona kosa la FISADI EL tulia subiri mchakato wa Wataalam watakapochuja jina lake ili kuelekea CC-CCM, akifika hapa bahati yake CC-NEC
Lakini ni juha usipobaini ni kwanini gharama za Tanesco zilivyopanda kwenye Nchi yenye vyanzo vyote ya umeme wa bure (iliizia Symbion wamekuja badala ya nani ? na )
pia ni UJUHA kutumia mitandao na kutobaini kwanini Vocha za Vodacom na mitandao mingine inatuibia na kutupa 8Mb wakati nchi nyingine hii vitu ni bure Ulizia Alphatel ni ya Nani)
(tuachieni CCM yetu ninyi kaendelezeni biashara zenu kwani kabla ya kujiunga na CCM mlikuwa hamna kitu By Makongoro JK)
 
Kosa lake ni nini?, ebu ongea by fact na kuacha ushabiki Mkuu...
 
Kumbe kuna jaji nachukua form nilikuwa village ndo naingia jf ss hivi

Huyo Jaji hata ukimuweka na Esther Bulaya anapigwa asubui na mapema..... Wanasumbuka sana kumzuia Edo ila wameshindwa..... Leo nimeona wanajadiliana kuhusu Jaji walitegemea ataleta impact kumbe hakuna kitu
 
Tumechoshwa na siasa maji taka jamani hebu mwacheni lowasa afante yake...hakuna kama lowassa
 
Fom zinatangulia ,we hujui hilo,?ni utaratibu wa kawaida tu,wagombea wote wanafanya hivyo,kwa tarifa
 
Mungu hamfichi mwongo subirini.Lowasa atakuja kutuambia nchi nzima amepata wadhamini milioni 100 wakati watanzania hatuzidi milioni 50.ha ha ha ha
 
4U movement ni tofauti muache kudanganya watu.Hii ni wakati ule anashawishiwa kugombea!
 
...sina hakika kama ndani ya ccm hakuna mgombea anayekusanya waqtu ama asiyetoa pesa..ukweli ni kwamba wamezidiana viwango vya kutoa pesa na mbinu za kukusanya watu tu......mbinu iliyobaki ndo hii ya kulalamika wenzao wancheza faulo
 
Huyo Jaji hata ukimuweka na Esther Bulaya anapigwa asubui na mapema..... Wanasumbuka sana kumzuia Edo ila wameshindwa..... Leo nimeona wanajadiliana kuhusu Jaji walitegemea ataleta impact kumbe hakuna kitu
Jiandaeni kumrudishia pesa zake anazowapa maana jina lake huyo fisadi Lowasa halipi ng'o. Nyie kuleni tu hizo pesa zake atakuja kuwarudi, shauri yenu. After all ikulu siyo wodi ya kulaza wagonjwa kama Lowasa. Aendelee tu na safari zake za Ujerumani.
 
Kosa lake ni nini?, ebu ongea by fact na kuacha ushabiki Mkuu...

Facts si hizo kakupa? Lowasa ni mmliki wa Alphatel (Super dealer wa Vodacom) wasiolipa kodi ya nchi na mwenzake Rostam anamiliki asilimia 35 ya Vodacom. Pia Lowasa anamili TICTS pamoja na fisadi mwenzie Karamagi. Lowasa ni share holder wa Richmond then Dowans and now Symbion. Wanaingiza mamilioni ya shilingi za walipa kodi wanyonge wa Tanzania mifukoni mwao kila siku. Jamaa anamiliki majumba Masaki na hotel huko Afrika ya kusini bila kusahau kampuni ya Barare etc.
 
Hiyo sio sababu usimuite mtu fisadi wakati huna ushahidi, , hizo ni chuki binafsi
 
hii ni iringa sijui lowasa kafika lini iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.

Kweli white house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.

acha umbeya huo sio udhamini anaoutafuta kwa sasa, hayo maform siyo ya chama yalisambazwa na kikundi kinaitwa 4u movement. Yalisambazwa yawezekana nchi nzima kabla ya el kutangaza nia arusha. Angalia kwa makini watu waliosaini hapo wengine wanatoka mbeya na hakuna number ya uanachama iliyoonyeshwa hapo.
 
Dogo kwanini usiende kulalal kuliko kuwasumbua Watanzania? km mpaka leo hujaona kosa la FISADI EL tulia subiri mchakato wa Wataalam watakapochuja jina lake ili kuelekea CC-CCM, akifika hapa bahati yake CC-NEC
Lakini ni juha usipobaini ni kwanini gharama za Tanesco zilivyopanda kwenye Nchi yenye vyanzo vyote ya umeme wa bure (iliizia Symbion wamekuja badala ya nani ? na )
pia ni UJUHA kutumia mitandao na kutobaini kwanini Vocha za Vodacom na mitandao mingine inatuibia na kutupa 8Mb wakati nchi nyingine hii vitu ni bure Ulizia Alphatel ni ya Nani)
(tuachieni CCM yetu ninyi kaendelezeni biashara zenu kwani kabla ya kujiunga na CCM mlikuwa hamna kitu By Makongoro JK)

Umekuja spidi sana, ungejibu vizuri bila kuja kikada ungeeleweka vizuri lakini umekuja kikada sana, endelea kujitoa akili dogo, ENDELEA KUNENEPESHA SHETANI WAKATI KITI ANAKONDA
 
Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.

Kweli White house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.

We umeona hizo fomu ni za CCM!? Acha ufedhuli. Kama watu wanampenda mtu wao, waache wampende...
 
Back
Top Bottom