Udhamini wa Lowassa unatia shaka

Udhamini wa Lowassa unatia shaka

umevurugwa wew hizo nyumba kwa nyumba wote ni wanachama wa CCM

faken
 
wivu ni kitu kibaya kweli,mbona hiyo form sio ya lowasa?kwanini mnatafuta threat isiyo na mashiko?nadhani kitu kitakacho kukusaidia sasa hivi ni kwenda kujiandikisha,na come october utafanya maamuzi magumu na sahihi,vyama na wagombea watakuwa wengi,tuachie lowasa wetu
Hivi na zile T shirt za rangi ya cream ..zimeandikwa Lowasa Team Man......
Fedha za kuzichapisha mnazipataga wapi?...Halafu ''Ikulu is not a Hospital''...

Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.

Kweli White house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.

Kwa wenzetu hyo ingekua typical disqualified lakini kwa magamba trust me ni ndoto ya mchana
 
Wengi wako seroius nae wanasubiria akichukua nchi wawe madc ndio stori zao nyingi.......istoshe kma arusha wafuasi wke matajiri walitoa 300m naskia dar wametoa karibia 1bn karamagi pekee 100m

Unaona mambo hayo mkuu? Huyu hafai kabisa hata kupigiwa kura. Jina lake likatwe mapema kabisaaaaaaaaa, vinginevyo tutalia akiwa rais maana nchi itakuwa chini ya Chenge, Rostam na Karamagi. Jamaa wana usongo wa kuwakomesha watu fulani ambao wako kinyume na matendo yao maovu juu ya Watanzania.
 
Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.
Kwani hairuhusiwi kuandaliwa wadhamini na timu yako kabla haujafika eneo husika? Mimi naona kama wameshapatikana mapema, hiyo itarahisisha kwani akifika atawashukuru na kuondoka, otherwise uniambie kwamba utaratibu unasema lazima afike kwanza ndipo aanze kuandikisha wadhamini!
 
Unaona mambo hayo mkuu? Huyu hafai kabisa hata kupigiwa kura. Jina lake likatwe mapema kabisaaaaaaaaa, vinginevyo tutalia akiwa rais maana nchi itakuwa chini ya Chenge, Rostam na Karamagi. Jamaa wana usongo wa kuwakomesha watu fulani ambao wako kinyume na matendo yao maovu juu ya Watanzania.

Watauza mpka mbuga zetu mana wenzao wameshauza 70% ya maliasili yetu hiyo iliyobaki chenge,rostam,karamagi etc watamalizia
 
Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.

Kweli White house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.

Hao ni vijana wa 4U Movement. Walianzisha huo utaratibu kwa ajili ya kumdhamini...

4U Movement jumla wako Millioni 5.... Sasa pata picha Lowassa akikatwa itakuwaje?.... Jibu mwenyewe
 
Juzi niliweka Uzi hapa kwamba wafuasi WA Lowassa walikamatwa kwenye vituo vya BVR Katika jimbo la Moshi vijijini wakiwa na fomu za udhamini,kadi mpya za uanachama wa CCM, daftari la orodha ya wanachama WA CCM na kitabu cha risiti ya ada ya uanachama. Cha kushangaza Uzi ule uliondolewa! Wafuasi hao wa Lowassa walikuwa wakiwapatia watu waliokuwa kwenye vituo vya BVR kadi na risiti bila kulipa pesa na kuandika tarehe za nyuma ili kuonyesha kwamba ni wanachama wa siku nyingi! Baadaye wafuasi hao walitimuliwa na mawakala wa CHADEMA pamoja na Red Brigade waliokuwepo maeneo ya tukio. Lowassa leo yupo manispaa ya Moshi na kutwa nzima ya Jana na leo asubuhi magari manne ya matangazo walikuwa yakipita mitaa mbalimbali ya mji na majimbo ya Moshi vijijini, Hai na Vunjo yakitangaza ujio wake. Watu wanashangaa huu ni mkutano wa hadhara au kampeni? Iweje watu waliokudhamini tena ambao unawajua na namba zao za simu unazijua uwaite kwa magari ya matangazo ukipiga makelele mitaani?
 
Angalia kwenye umri hapo!Almost wote ni 20's years! Acha vijana wavune 'mapesa' ndiyo safari yao ya Matumaini!

61 pct ya wapiga kura watakuwa vijana.... Safari hii mnalo ila kaa ukijua oktoba Lowassa anaingia Ikulu haijalishi kwa mlango gani....
 
Juzi niliweka Uzi hapa kwamba wafuasi WA Lowassa walikamatwa kwenye vituo vya BVR Katika jimbo la Moshi vijijini wakiwa na fomu za udhamini,kadi mpya za uanachama wa CCM, daftari la orodha ya wanachama WA CCM na kitabu cha risiti ya ada ya uanachama. Cha kushangaza Uzi ule uliondolewa! Wafuasi hao wa Lowassa walikuwa wakiwapatia watu waliokuwa kwenye vituo vya BVR kadi na risiti bila kulipa pesa na kuandika tarehe za nyuma ili kuonyesha kwamba ni wanachama wa siku nyingi! Baadaye wafuasi hao walitimuliwa na mawakala wa CHADEMA pamoja na Red Brigade waliokuwepo maeneo ya tukio. Lowassa leo yupo manispaa ya Moshi na kutwa nzima ya Jana na leo asubuhi magari manne ya matangazo walikuwa yakipita mitaa mbalimbali ya mji na majimbo ya Moshi vijijini, Hai na Vunjo yakitangaza ujio wake. Watu wanashangaa huu ni mkutano wa hadhara au kampeni? Iweje watu waliokudhamini tena ambao unawajua na namba zao za simu unazijua uwaite kwa magari ya matangazo ukipiga makelele mitaani?

Kikubwa ni kupata ushindi.....
 
61 pct ya wapiga kura watakuwa vijana.... Safari hii mnalo ila kaa ukijua oktoba Lowassa anaingia Ikulu haijalishi kwa mlango gani....

Lowassa n tumaini la watz wengi kwa sasa,ndiye mwenye kukubalika kwa waananch wengi kuliko wote ndani ya chama na nje ya chama
 
Huyu jamaa ni Mnafiki na Mshenzi sana, eti Nyumba hadi nyumba.
..Lowassa anakubalika sana
 
Back
Top Bottom