Udhamini wa Lowassa unatia shaka

Udhamini wa Lowassa unatia shaka

by mcubic
Yeye alikuwa wa kwanza kutangaza nia.......hadi leo hii bado anasaka tu wadhamini....6 mwenzie kamaliza zamaaaaani alivyopata 450 tu basi..........

Mkuu mcubic sio tu alikuwa wa kwanza kuanza kusaka wadhamini pia ANATUMIA CHOPA, wenzake wanaotumia magari wamemaliza yeye bado TUU!

wonders!

Mpaka sasa ameshatembelea kusaka wadhamini mikoa 20!!! Wakati inayohitajika ni 15 tu.......eti wadhamini wengine atawaweka kama kmbkmb monduli.
 
Last edited by a moderator:
Mnajua pesa kaiba ila kumshitaki hamwezi,nye kweli mazuzu

Huyu hata huku arusha vijana wke wanatembeza form wanataka record y wadhamini laki ili kutisha wa2....pia wamemwambia azunguke mikoa yote 31 ili kuitia cc joto kweli mamvi anatafuta urais kwa nguvu nyingi
 
Kwani kuna kosa gani? Enyi watu mnaokaa na kumpinga EL kwa kila jambo, Ebu tupeni ushahidi kamili bila kupepesa macho kuhusu ufisadi mnaousema, Pia mtuambie kati ya wote walioomba nia kupitia CCM, nani asiye na kashfa na kawafanyia nini kizuri watanzania, Tuache unafiki na uzandiki!

Membe hana doa wala ukwasi!!!

wakwenda mahakamani ni sisi au yeye anayechafuliwa? awahi mahakamani atatukuta na ushaidi ya tunayoyasema??
 
Mpaka sasa ameshatembelea kusaka wadhamini mikoa 20!!! Wakati inayohitajika ni 15 tu.......eti wadhamini wengine atawaweka kama kmbkmb monduli.

Anatembealea mikoa yote na yuko tanga leo yeye anatumia ndege wapambe magari
 
Huyu hata huku arusha vijana wke wanatembeza form wanataka record y wadhamini laki ili kutisha wa2....pia wamemwambia azunguke mikoa yote 31 ili kuitia cc joto kweli mamvi anatafuta urais kwa nguvu nyingi

Kama anatishia cc basi hana nguvu kwa cc,mi nilidhani ameshasuka mpango huko cc kumbe bado anawatisha
 
huyu mtu ni hatari sana

Huyu mtu wamemlea wenyewe sasa kumzima imekua ngumu.....fununu ni kua anatembelea mikoa yote pia arachuga form zinatembezwa wapate wadhamini laki anaingia hpa tarehe 24 then amalizie dar.
Huyu mzee ni original comedy kweli
 
Kama anatishia cc basi hana nguvu kwa cc,mi nilidhani ameshasuka mpango huko cc kumbe bado anawatisha

Mimi nakaa sana na wa2 wke yani wanajiamini nchi wameshachukua istoshe wa2 wke wengi ni wasaka tonge......wanapangiana mpka udc
 
cha kushangaza , pamoja na rafu zote lakini fomu haikamiliki tu ! wenzake wanarudisha lakini yeye bado haijai tu !
 
Jamaa anafanya kampeni kwa kusambaza pesa zetu alizotuibia kwa kisingizio eti anatafuta wadhamini

Hafai kabisa huyu fisadi. Marafiki zake wenyewe na wapambe wake wakubwa ni akina Chenge, Rostam na Karamagi, wote majizi mnategemea nini?
 
Mimi nakaa sana na wa2 wke yani wanajiamini nchi wameshachukua istoshe wa2 wke wengi ni wasaka tonge......wanapangiana mpka udc

Kuna wapambe wake mahali fulani walisika wakisema "Sisi tunakula pesa zake tu , lakini ki-ukweli hamna rais humo"
 
Kama haya ni ya kweli, yanafanywa kwa faida ya nani?.
 
hii ni iringa sijui lowasa kafika lini iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.

Kweli white house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.

wivu ni kitu kibaya kweli,mbona hiyo form sio ya lowasa?kwanini mnatafuta threat isiyo na mashiko?nadhani kitu kitakacho kukusaidia sasa hivi ni kwenda kujiandikisha,na come october utafanya maamuzi magumu na sahihi,vyama na wagombea watakuwa wengi,tuachie lowasa wetu
 
cha kushangaza , pamoja na rafu zote lakini fomu haikamiliki tu ! wenzake wanarudisha lakini yeye bado haijai tu !

Ameshakamilisha mda ila anatembelea mikoa yote 31 ili kuwatia jambajamba cc kua anakubalika mana leo yuko tanga ni mkoa wa 21
 
Kuna wapambe wake mahali fulani walisika wakisema "Sisi tunakula pesa zake tu , lakini ki-ukweli hamna rais humo"

Wengi wako seroius nae wanasubiria akichukua nchi wawe madc ndio stori zao nyingi.......istoshe kma arusha wafuasi wke matajiri walitoa 300m naskia dar wametoa karibia 1bn karamagi pekee 100m
 
Hii ni Iringa sijui Lowasa kafika lini Iringa lakini form zinatembezwa nyumba kwa nyumba ili aonekane ana wadhamini wengi.

Kweli White house kuna siri imejificha mpaka watu wako tayari kufanya chochote ilimradi tu wakanyage huko.
Hayo majina anapelekewa halafu ndio fungu linatoka.
we vp
mjini mipango ati
 
Mwisho wake unafahamika hatapata mda wa kudanganya watu tena pesa alizoiba zinatosha.

mimi sina fedha za kugawa kwa njia ya rushwa na sina uwezo wa kushindana na mafisadi.Kwa msingi huo ,naweza nisipitishwe.Lakini ikiwa watu watapitishwa kwasababu ya fedha walizoiba,chama hiki kitakukuwa kinajiweka rehani-CHARLES MAKONGORO NYERERE

SOURCE; MAWIO
 
Wakichemka lazima presha iwaue

Juzi j3 walikua wabasema cc isipopitisha jina lake nec wanauwezo wa kulipitisha kwa kifungu flani......yani wanahakika mamvi bado tu kuapishwa keshapita.ila naskia kuna kanuni 17 za mgombea urais ndio kigingi kwake ambazo cc watatumia hizo kanuni
 
Back
Top Bottom