Mh...wameingiaje hapo? Polisi wamethibitisha haya kutokea?Ccm wanalazimisha vita visiwani
Mkuu fafanua Kwann ukivaa jeans zinakatwa Au tracksuit uvaaji wa mavaz huko pemba kanuni inasemaje? Je wanataka mavaz ya Aina gani watu wavae dadavua hapo chief
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada umeandika kama vile sisi wote humu ni Wakazi wa Pemba, tuna ndugu Pemba, au tunajua kinachoendelea huko Pemba! Ungefafanua kwa kina kinachoendelea huko, na pia ikibidi utoe mapendekezo ya nini cha kufanywa na mamlaka husika ili kuondoa hiyo kadhia.
Kwanini uvae viguo vya kubana mwili, hujui unakuwa kama nyoka au shoga? Ukishakua kama nyoka unawatisha watu wengine wasio na hatia.Ukiwa na jeans na tracksuit zenye kubana miguu skinny jeans zinachanwa na nywele kama umekata mikato isio ridhisha watawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniacha aisee!Wanajuana hao. Niliwashangaa kipindi cha mfungo wa Ramadan wanalazimisha kila mtu kufunga... Mimi natembea na mihogo,bapa ndogo na mkuu wa meza aliyekaushwa kwenye begi. Ukiwa fresh kwenye afya,kikorona kinaku-hug then kinatembea
Haya ndio madhara ya civilization, kila kizuri kina ubaya wake and vice versa, mavazi before hayakuwepo yet our ancestors enjoyed clothing parts of their bodies with animal skins. Leo mtu anakuja kumkataa mwenzake kisa kajiona yeye ni more civilized than the other. Waafrika tunaiga mpaka kujitawaza (I mean kuchamba) kutoka kwa wakuja mpaka tunaboa.Lwanini uvae viguo vya kubana mwili, hujui unakuwa kama nyoka au shoga? Ukishakua kama nyoka unawatisha watu wengine wasio na hatia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini uvae viguo vya kubana mwili, hujui unakuwa kama nyoka au shoga? Ukishakua kama nyoka unawatisha watu wengine wasio na hatia.
Kwa hiyo watu watembee uchi kwa sababu zamani mavazi hayakuwepo? Duni imepambana sana kufika hapa tulipo kuna madhara makubwa kwa baadhi kulazimisha kuishi tulipotoka, maana tulipotoka kulikuwa na mambo mengi na kulikuwa na mapungufu mengi pia.Haya ndio madhara ya civilization, kila kizuri kina ubaya wake and vice versa, mavazi before hayakuwepo yet our ancestors enjoyed clothing parts of their bodies with animal skins. Leo mtu anakuja kumkata mwenzake kisa kajiona yeye ni more civilized than the others. Waafrika tunaiga mpaka kujitawaza (I mean kuchamba) kutoka kwa wakuja mpaka tunaboa.
Mh...wameingiaje hapo? Polisi wamethibitisha haya kutokea?