Udhalilishaji wa kijinsia Ukaguzi Airport (JNIA, Mbeya na Mwanza)

Kwani askari wa kike hakuna kwaajili ya kukagua wanawake?Haya ndo madhara yakutawaliwa na mtu anayejivuna tena mbele ya wananchi.kwamadai kua hapangiwi,form alichukua mwenyewe.!viongozi wa kila eneo la kazi wanafanya kazi kwa woga bila kutoa ushauri unaostahili kwa dikitrekta wakiogopa kutumbuliwa.alafu BBC akisema alichokiona,mnasema ni mbea !mnabaki kuwishi mngekua fronti futi.mtakuaje fronti futi,wakati mnapenda beki futi na kz
mnaharibu ? Ss, hicho anachofanyiwa huyo mwanamke hapo ni haki !
Huyo policcm aletewe Dada /mama yake,amkague hivyo ! Ucpende chongo ukaita kengeza,cc wote tunaona ni chongo.kz za hii serikali nyingi zina kasoro,ndo maana kupingana kwa kauli za wao kwao tunaziona wazi.
 
nazungumza nilichowahi kuona na siku zote sijawai ona kitu cha namna hiyo labda kama ni miaka ya nyuma. Ebu ww weka iyo footage ya mwanamke akikaguliwa na mwanamke.
Umeona nini wewe ndugu yangu, wakati usafiri wako hasa hasa ni mabasi ya MANING NICE (Dar- Masasi) pale mbagala njia ya kuelekea kongowe. Wanafanya ukaguzi kwani?
 
Umeona nini wewe ndugu yangu, wakati usafiri wako hasa hasa ni mabasi ya MANING NICE (Dar- Masasi) pale mbagala njia ya kuelekea kongowe. Wanafanya ukaguzi kwani?
Asante ndugu naona umejipanga kubishana sikuwezi wewe
Umeona nini wewe ndugu yangu, wakati usafiri wako hasa hasa ni mabasi ya MANING NICE (Dar- Masasi) pale mbagala njia ya kuelekea kongowe. Wanafanya ukaguzi kwani?

Umeona nini wewe ndugu yangu, wakati usafiri wako hasa hasa ni mabasi ya MANING NICE (Dar- Masasi) pale mbagala njia ya kuelekea kongowe. Wanafanya ukaguzi kwani?

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom