Udhalilishaji wa kijinsia Ukaguzi Airport (JNIA, Mbeya na Mwanza)

Hao ni askari wa usalama wa Taifa la Uganda sio Tanzania huoni hata bendera hapo kwani bega lake na huo mkanda aliovaa
 
Hao ni askari wa usalama wa Taifa la Uganda sio Tanzania huoni hata bendera hapo kwani bega lake na huo mkanda aliovaa
Unajibu kitu usichokijua kabisa, post ni tofauti na hiyo picha unayosema wewe imewekwa na BAK hapa na amesema hii ni Uganda tena ilikuwa kwenye mechi ya mpira wa miguu.
 
Watanzania tuweke heshima na uzalendo mbele. Kuwa nchi ya viwanda si maana yake tudhalilishe wanawake
 
Katika hali ya kushangaza kwenye viwanja vya ndege tajwa (JNIA, Mbeya na Mwanza) ukaguzi kwa abiria wa jinsia zote unafanywa na wanaume. Wanawake wanadhalilika sana kwa kutomaswa na vijana wa kiume hapo Airport.

Tena baada ya ukaguzi, vijana hao (inasemekana) huenda kujisifia na wenzao jinsi abiria alivyojaliwa maumbile makubwa.

NB : Tafadhali uongozi TAA chukueni hatua, Kuondoka udhalilishaji huu.
Unaruhusiwa kugoma kukaguliwa na askari wa kiume kama wewe ni mwanamke
Still soft FAM.. Grow hard then you will see it normal


Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Hapo Mwanza ukaguzi wa 2 na wa mwisho kuna kibabu kina kitambi kama kibuyu ndo kinakagua hapo. FULL TABASAMU akikagua mwanamke mwenye wezere. Yaani huyo mwanamke atarudishwa kwenye mashine/ scanner eti unene umezidi, mara sijui shanga hazitakiwi ili mradi tu kila akirudi tena ampapase tena. Yaani utaratibu huu ni udhalilishaji na unatengeneza foleni pasipo na sababu.
Ati shanga na msambwanda
 
Back
Top Bottom