mkuu suala hili nimeshuhudia kwa dada mmoja kuomba msaada asindikizwe ofc ya lecter kwa usumbufu nimeumia sana jamaa kakomaa anamkosesha raha dent wa watu
anachokisema huyo mtoa mada ni kweli tupu,kwa sisi tuliopitia vyuoni tunajua hayo mambo yalivyo na jinsi wanawake wanavyodhalilishwa bila kujali kama ni mke wa mtu au la,kama dr au prof akikutaka basi atafanya kila hila ikiwemo hata kukufelisha,na wengi wamejikuta wanavuliwa nguo za ndani kwa sababu hizi ingawa wapo ambao wanajilengesha ili wapewe maksi za juu but haiondoi ukweli kuwa wengi wao wanawake wanapata shida sana kwenye hivi vyuo vyetu.
Mnaombishia mleta mada nendeni mkaone yanayofanyika kwny vyuo km CBE, IFM n.k, acha na vyuo vyenye mfumo rasmi wa kiuendeshaji km UDSM, MZUMBE na vinginevyo[/QUOTE
ni kweli mkuu hali ni mbaya,ongezea na saut,eckenford tanga
Acheni kumping mleta uzi...
Wanaobeza ndo wle wle wa div five ht chuo hawajanusa.....
anachokisema huyo mtoa mada ni kweli tupu,kwa sisi tuliopitia vyuoni tunajua hayo mambo yalivyo na jinsi wanawake wanavyodhalilishwa bila kujali kama ni mke wa mtu au la,kama dr au prof akikutaka basi atafanya kila hila ikiwemo hata kukufelisha,na wengi wamejikuta wanavuliwa nguo za ndani kwa sababu hizi ingawa wapo ambao wanajilengesha ili wapewe maksi za juu but haiondoi ukweli kuwa wengi wao wanawake wanapata shida sana kwenye hivi vyuo vyetu.
Ok right mkuu, hayo mambo yako wazi, wanashindwa kuelewa kuwa the obvious does not need proof.
mkuu suala hili nimeshuhudia kwa dada mmoja kuomba msaada asindikizwe ofc ya lecter kwa usumbufu nimeumia sana jamaa kakomaa anamkosesha raha dent wa watu
Katika hali isiyo ya kawaida imegundulika uwepo wa udhalilishaji mkubwa kwa wanawake wanaosoma katika vyuo mbalimbali nchini, data zinaeleza kuwa vyuo vingi vimekuwa na lecturer ambao hutumia nafasi hyo kuwataka kimapenzi wanafunzi na pindi mwanafunzi huyo akikataa basi matarajio yake katika masomo huwa yanapotea, wakati hilo likifanyika mkuu wa chuo pamoja na idara zake wanalijua hili lakini hakuna hatua zinazochukuliwa, kwa kuumizwa na suala hili nimeona nilete kwa wanajamvi ili ujumbe ufike kwa haraka wanawake wanateseka sana vyuoni mfano ni chuo kikuu kilichopo Tanga, DUCE na kile chenye idad kubwa ya wanafunzi Dodoma
Serikal kupitia vyombo husika chunguzeni haraka sana hali za wamama wetu vyuoni zinatisha
Hili ni tatizo linalotokana na pande zote mbili...! Mwanafunzi na Mwalimu. Mwanafunzi kama unajiweza katika somo husika la mwalimu mpuuzi, ukifanya mtihani wake ukafauru lakini mwalimu akakukosesha kwa makusudi na ukiwa na uhakika kuna taratibu za kukata rufaa, hiyo rufaa ikishindikana unaenda mahakamani. Hautakuwa wa kwanza kupata degree ya mahakamani. Tatizo wanafunzi wanaoshindwa kujiamini na kuwa shughulikia walimu wapuuzi kwa kujilegeza hata pale wanapokuwa na haki. Pia vitendo vya kuvaa nguo za ajabu zinazo oonyesha baadhi ya sehemu nyeti karibu wazi na kujipeleka kwa mwalimu mpuuzi akuongezee maksi ni upuuzi mwingine. Tatizo kwa mwalimu ni mwalimu kushidwa kudhibiti upuuzi wake. Ukijijua wewe ni mpuuzi usikubali kuhusu mwanafunzi aje ofisi kwako amevaa kipuuzi, muda ambao si rafiki kwa usalama wa kudhibiti upuuzi wako, iweke ofisi yako katika mazingira yasiyo ya falagha unapotembelewa na mwanafunzi mwenye nia ya kipuuzi...! Ni hayo kwa leo.