OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
mkuu ngoja nifanye utaratibu wa kuscreen shot ayo matokeo then ntakutumia pm,
na kwa kifupi tu hata iyo management naweza ilaumu kwa namna moja au nyingine kwa sababu sio wafuatiliaji kabisa iyo shida mi niliipata nikiwa first yr na huyo jamaa nikapiga sup akanirudisha tena nikacarry akanishika tena nikafanya sup hapo hakuweka matokeo yangu nimefuatilia mpaka nimechoka nimemaliza mwaka wa tatu nimefuatilia akanidanganya kwa kuniambia hakuna shida atayaweka soon ikafika mahali nikawa sina tena pesa ya kuishi pale ikabid niondoke nimefika home ndo ameweka tokea sasa je huyu mtu unaweza muweka kwenye kundi gani.? alijua wazi nikiondoka nguvu ya kufuatilia itapungua na ndo mana alifanya ivyo ki ukwel nikata kabisaa tamaa na kama ni kwel kwann asingeyaweka kipindi bado nipo chuoni akayaweka kipindi ambacho sipo embu niambie kwa case kama:
1)iyo unaweza niambia mamlaka zinawajibika?
2)mwaka mzima umepita mi sina matokeo ya somo la mwaka ulioisha kama hawa jamaa ni wanaoitwa maexternal na body ya kupitisha matokeo ipo ilipitishaje jina ambalo halikuwa na matokeo yaliyokamilika?
Pole, ulimuona HoD? ??!!
Dean au Principal??!!
Uliandika barua au ulifuatilia kwa maneno tu na yeye anakujibu basi????
Kama ulimaliza mwaka na somo halina matokeo boards zote za matokeo hazikuona??!!
Kama ni kweli basi pameoza hapo!!
Huwezi taja chuo wala idara ili wenzako wapone saabu ukiwataja hapa wataamka na kujimilika!!