issawema
JF-Expert Member
- May 30, 2013
- 776
- 643
Hopeless fellow
kwanza wewe jinsia gani mbna povu lnakutoka ulishawahi kuliwa nn na lectural
Hopeless fellow
anachokisema huyo mtoa mada ni kweli tupu,kwa sisi tuliopitia vyuoni tunajua hayo mambo yalivyo na jinsi wanawake wanavyodhalilishwa bila kujali kama ni mke wa mtu au la,kama dr au prof akikutaka basi atafanya kila hila ikiwemo hata kukufelisha,na wengi wamejikuta wanavuliwa nguo za ndani kwa sababu hizi ingawa wapo ambao wanajilengesha ili wapewe maksi za juu but haiondoi ukweli kuwa wengi wao wanawake wanapata shida sana kwenye hivi vyuo vyetu.
kwanza wewe jinsia gani mbna povu lnakutoka ulishawahi kuliwa nn na lectural
...kama wamemlamba mkeo we sema tu wahusika wajirekebishe,sasa ukifichaficha mjadala utakuwa juu ya mapungufu ya mada yako na si mantiki ya mada...
Ilimradi siku hizi unajua kuandika imekuwa shida!
Hivi kama unatimiza coursework, hujasup, huna carryover..... hujipitishi ovyo ofisini kwa watu, ukienda kupeleka kazi unaenda umevaa vizuri na hujichekeshi ovyoo...Huyo lecturer anaanzaje kwanza kukutaka? Haogopi?
Na wao binadamu jamani, wakiona kitonga wanaserereka...muwaachee....
Wengi wanajilengesha.
Hao lecturers nao wanalalamika wanafunzi wanawatega ile mbaya, sasa sijui tuweke malumbano ya hoja au?
katika hali isiyo ya kawaida imegundulika uwepo wa udhalilishaji mkubwa kwa wanawake wanaosoma katika vyuo mbalimbali nchini,data zinaeleza kuwa vyuo vingi vimekuwa na lecturer ambao hutumia nafas hyo kuwataka kimapenz wanafunz na pindi mwanafunzi huyo akikataa basi matarajio yake katika masomo huwa yanapotea,wakati hilo likifanyika mkuu wa chuo pamoja na idara zake wanalijua hili lakin hakuna hatua zinazochukuliwa,kwa kuumizwa na suala hili nimeona nilete kwa wanajamvi ili ujumbe ufike kwa haraka wanawake wanateseka sana vyuon mfano ni chuo kikuu kilichopo tanga,duc,na kile chenye idad kubwa ya wanafunz dodoma
serikal kupitia vyombo husika chunguzeni haraka sana hali za wamama wetu vyuoni zinatsha
Acha upuuzi wewe we ndo umesoma vyuo peke yako? Hayo yapo , hata vyuo vya nje mambo hayo yapo. Nilishawahi kusoma na kufundisha chuo part time. Mambo ni disaster