JINGALALUMUMBA shwain .. kwani pale ni CHATO EAPOTIAirport huwa anapitaje?
Ndugai ni mpumbavu sanaJana CAG alihojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge. Kinachosikitisha ni namna ambavyo Prof. Assad alitendewa na ungozi wa Bunge. Nina taarifa za uhakika za maelekezo ya Ndugai yeye binafsi kwa walinzi na watendaji wa Bunge ya kumdhalilisha Assad. Mfano , kwa hadhi yake Assad alitakiwa kuingia viunga vya Bunge akiwa ndani ya gari, lakini jana alishushwa nje na kuingia kwa miguu. Pili, Ndugai alielekeza Assad akaguliwe kwenye mashine za usalama akiwa amevua viatu kinyume kabisa na utaratibu wa viongozi wakuu kuingia bila kupitia mashine za ukaguzi kwa hadhi yao.
Tatu, ndugai akatoa maelekezo kuwa Assad apigwe picha za kutosha akiwa ndani ya viwanja vya Bunge ili kuendelea kuonyesha Umma kuwa yeye ni mbabe. Na la kushangaza zaidi gazeti kama Mwananchi ambalo siku za nyuma lilikuwa na weledi linatumia picha ya Assad akiwa na kandambili katika ukurasa wake wa mbele kuendeleza udhalilishaji huo.
Ndugu zangu, CAG kikatiba ni nafasi muhimu sana, yeye ndiye anayeidhinisha pesa yote toka mfuko mkuu wa Serikali ( japo katika awamu hii Rais amegoma, na amevunja katiba), udhalilishaji huu anaofanyiwa Assad una baraka za Ofisi Kuu ya Nchi kwa nia ya kumuintimidate Assad hasa katika kaguzi zinazoendelea. Ndugai kutekeleza maelekezo ya IKULU bila tafakari ni aibu kubwa.
So what?
Assad ni level nyingine.
Ana IQ kubwa kuliko ccm wote ndio maana kashawasoma akili zenu.
Sometines mwenye akili hukaa kimya ile mpumbav ajione yuko juuSo what?
Assad ni level nyingine.
Ana IQ kubwa kuliko ccm wote ndio maana kashawasoma akili zenu.
Eeeeee
Assad alijitakia mwenyewe, viongozi wetu waige viongozi wa Kenya kuwa na misimamo ya kiuongozi na kuachana na misimamo ya kishule ya kumuogopa headmaster.Jana CAG alihojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge. Kinachosikitisha ni namna ambavyo Prof. Assad alitendewa na ungozi wa Bunge. Nina taarifa za uhakika za maelekezo ya Ndugai yeye binafsi kwa walinzi na watendaji wa Bunge ya kumdhalilisha Assad. Mfano , kwa hadhi yake Assad alitakiwa kuingia viunga vya Bunge akiwa ndani ya gari, lakini jana alishushwa nje na kuingia kwa miguu. Pili, Ndugai alielekeza Assad akaguliwe kwenye mashine za usalama akiwa amevua viatu kinyume kabisa na utaratibu wa viongozi wakuu kuingia bila kupitia mashine za ukaguzi kwa hadhi yao.
Tatu, ndugai akatoa maelekezo kuwa Assad apigwe picha za kutosha akiwa ndani ya viwanja vya Bunge ili kuendelea kuonyesha Umma kuwa yeye ni mbabe. Na la kushangaza zaidi gazeti kama Mwananchi ambalo siku za nyuma lilikuwa na weledi linatumia picha ya Assad akiwa na kandambili katika ukurasa wake wa mbele kuendeleza udhalilishaji huo.
Ndugu zangu, CAG kikatiba ni nafasi muhimu sana, yeye ndiye anayeidhinisha pesa yote toka mfuko mkuu wa Serikali ( japo katika awamu hii Rais amegoma, na amevunja katiba), udhalilishaji huu anaofanyiwa Assad una baraka za Ofisi Kuu ya Nchi kwa nia ya kumuintimidate Assad hasa katika kaguzi zinazoendelea. Ndugai kutekeleza maelekezo ya IKULU bila tafakari ni aibu kubwa.
Mjinga kabisa..sijui hata unaelewa kazi ya CAG. eti ndiye anaidhinisha fedha yote toka mfuko wa serikali. Kwa kua una simu ya touch unagonga tu ujinga.Jana CAG alihojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge. Kinachosikitisha ni namna ambavyo Prof. Assad alitendewa na ungozi wa Bunge. Nina taarifa za uhakika za maelekezo ya Ndugai yeye binafsi kwa walinzi na watendaji wa Bunge ya kumdhalilisha Assad. Mfano , kwa hadhi yake Assad alitakiwa kuingia viunga vya Bunge akiwa ndani ya gari, lakini jana alishushwa nje na kuingia kwa miguu. Pili, Ndugai alielekeza Assad akaguliwe kwenye mashine za usalama akiwa amevua viatu kinyume kabisa na utaratibu wa viongozi wakuu kuingia bila kupitia mashine za ukaguzi kwa hadhi yao.
Tatu, ndugai akatoa maelekezo kuwa Assad apigwe picha za kutosha akiwa ndani ya viwanja vya Bunge ili kuendelea kuonyesha Umma kuwa yeye ni mbabe. Na la kushangaza zaidi gazeti kama Mwananchi ambalo siku za nyuma lilikuwa na weledi linatumia picha ya Assad akiwa na kandambili katika ukurasa wake wa mbele kuendeleza udhalilishaji huo.
Ndugu zangu, CAG kikatiba ni nafasi muhimu sana, yeye ndiye anayeidhinisha pesa yote toka mfuko mkuu wa Serikali ( japo katika awamu hii Rais amegoma, na amevunja katiba), udhalilishaji huu anaofanyiwa Assad una baraka za Ofisi Kuu ya Nchi kwa nia ya kumuintimidate Assad hasa katika kaguzi zinazoendelea. Ndugai kutekeleza maelekezo ya IKULU bila tafakari ni aibu kubwa.
Vice versa is true.Eeeeee
Yani unataka kusema ccm ni bright sana kuliko kila mtu?
Mkuu una ushahidi gani kuwa ni kwa maelekezo toka IKULU? Mkuu alishasema kuwa watu wasiseme maagizo toka juu ... Kwani Spika hana uwezo wa kujiamulia mambo yake ? Ina maana unadharau ofisi kubwa hii - yaani mhmili huru ? Mkuu angalia sana utaishia kuitwa maana kwa ufupi hapa unaelekea kulidhalilisha bunge ...Jana CAG alihojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge. Kinachosikitisha ni namna ambavyo Prof. Assad alitendewa na ungozi wa Bunge. Nina taarifa za uhakika za maelekezo ya Ndugai yeye binafsi kwa walinzi na watendaji wa Bunge ya kumdhalilisha Assad. Mfano , kwa hadhi yake Assad alitakiwa kuingia viunga vya Bunge akiwa ndani ya gari, lakini jana alishushwa nje na kuingia kwa miguu. Pili, Ndugai alielekeza Assad akaguliwe kwenye mashine za usalama akiwa amevua viatu kinyume kabisa na utaratibu wa viongozi wakuu kuingia bila kupitia mashine za ukaguzi kwa hadhi yao.
Tatu, ndugai akatoa maelekezo kuwa Assad apigwe picha za kutosha akiwa ndani ya viwanja vya Bunge ili kuendelea kuonyesha Umma kuwa yeye ni mbabe. Na la kushangaza zaidi gazeti kama Mwananchi ambalo siku za nyuma lilikuwa na weledi linatumia picha ya Assad akiwa na kandambili katika ukurasa wake wa mbele kuendeleza udhalilishaji huo.
Ndugu zangu, CAG kikatiba ni nafasi muhimu sana, yeye ndiye anayeidhinisha pesa yote toka mfuko mkuu wa Serikali ( japo katika awamu hii Rais amegoma, na amevunja katiba), udhalilishaji huu anaofanyiwa Assad una baraka za Ofisi Kuu ya Nchi kwa nia ya kumuintimidate Assad hasa katika kaguzi zinazoendelea. Ndugai kutekeleza maelekezo ya IKULU bila tafakari ni aibu kubwa.
mhh watu mnajua kumchokonoa mtu balaaa kama kuna ukweli vileHivi assad alihudhuria mazishi ya mama mkwe wake! Nyingine ni laana za kujitakia
Duuhh!!! kweli ww ni harasa kwa lumumba na nchi..Eti kila goti litapigwa kwa jpm. Unalaana ya bb yako sio bure..hata kama n mahaba kampe tako alifigisu.Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri
Long may he reign JPM walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
NakaziaDuuhh!!! kweli ww ni harasa kwa lumumba na nchi..Eti kila goti litapigwa kwa jpm. Unalaana ya bb yako sio bure..hata kama n mahaba kampe tako alifigisu.
Jana CAG alihojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge. Kinachosikitisha ni namna ambavyo Prof. Assad alitendewa na ungozi wa Bunge. Nina taarifa za uhakika za maelekezo ya Ndugai yeye binafsi kwa walinzi na watendaji wa Bunge ya kumdhalilisha Assad. Mfano , kwa hadhi yake Assad alitakiwa kuingia viunga vya Bunge akiwa ndani ya gari, lakini jana alishushwa nje na kuingia kwa miguu. Pili, Ndugai alielekeza Assad akaguliwe kwenye mashine za usalama akiwa amevua viatu kinyume kabisa na utaratibu wa viongozi wakuu kuingia bila kupitia mashine za ukaguzi kwa hadhi yao.
Tatu, ndugai akatoa maelekezo kuwa Assad apigwe picha za kutosha akiwa ndani ya viwanja vya Bunge ili kuendelea kuonyesha Umma kuwa yeye ni mbabe. Na la kushangaza zaidi gazeti kama Mwananchi ambalo siku za nyuma lilikuwa na weledi linatumia picha ya Assad akiwa na kandambili katika ukurasa wake wa mbele kuendeleza udhalilishaji huo.
Ndugu zangu, CAG kikatiba ni nafasi muhimu sana, yeye ndiye anayeidhinisha pesa yote toka mfuko mkuu wa Serikali ( japo katika awamu hii Rais amegoma, na amevunja katiba), udhalilishaji huu anaofanyiwa Assad una baraka za Ofisi Kuu ya Nchi kwa nia ya kumuintimidate Assad hasa katika kaguzi zinazoendelea. Ndugai kutekeleza maelekezo ya IKULU bila tafakari ni aibu kubwa.
kwakweli hi Ni mic ya serikaliAssad amedhihirisha kuwa kuna MAPROFESSOR NA MAPROPESA
Ndugai amedhihirisha kuwa kuna SPIKA WA BUNGE NA MIC YA SEREKALI
CONCLUSION
BUNGE SIO DHAIFU
NDUGAI NDIO DHAIFU PERIOD