hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
So sadHahaha kuna watu walitengeneza ukuta humu, niliwaambia Prof.Assad atauvunja aende kuhojiwa. Wakakataa wakasema eti wewe humjui Prof vizuri, hatokwenda.
Sasa kaenda na kahojiwa.
Kuna msemo humu kwamba hakuna mkate mgumu kwa chai. Kila mtu analinda maslahi yake. Asingeenda Magufuli ange mfukuza, mtasema hawezi, mara katiba hairuhusu. Mangapi yamevunja katiba na maisha yanaenda?! Nyie mnasoma saana katiba, wenzenu wanatumia ILANI yao. Mnapishana kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app