Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,308
- 4,294
Nishakwambia adui namba moja wa gaidi au alshabaab ni askari, na hata madrasa zao zinawafundisha watoto kuua askari wanawaita nguruwe au makafir, sasa lile basi angewauaje wakati hajui kama wote sio waislamu?Kwanini kaua Askari sio wale raia waliokua kwenye eachier?