Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

Kwanini kaua Askari sio wale raia waliokua kwenye eachier?
Nishakwambia adui namba moja wa gaidi au alshabaab ni askari, na hata madrasa zao zinawafundisha watoto kuua askari wanawaita nguruwe au makafir, sasa lile basi angewauaje wakati hajui kama wote sio waislamu?
 
Mmh umefika mbali kiongozi, mbona hata hujasita kuongea mambo usio na elimu nayo me nadhani ilikua ni Bora kwako kunyamaza... Ni madrasa gan inawafundisha watoto kuua askari au Kama hlo ni gumu bas ni lini watoto wa madrasa walimuua askari???? Simtetei ila ifike hatua tumhukum mtu Kama yeye na sio kinachojidhihirisha baada ya kumuona mtu kama IMAN yake au PROFESSIONAL yake....
 
Uwe unaelewa point, nimesema madrasa za MAGAIDI sio waislam wote
 
Mmh umefika mbali kiongozi, mbona hata hujasita kuongea mambo usio na elimu nayo me nadhani ilikua ni Bora kwako kunyamaza... Ni madrasa gan inawafundisha watoto kuua askari au Kama hlo ni gumu bas ni lini watoto wa madrasa walimuua askari???? Simtetei ila ifike hatua tumhukum mtu Kama yeye na sio kinachojidhihirisha baada ya kumuona mtu kama IMAN yake au PROFESSIONAL yake....
Chuki zimewajaa ndani ya vifua vyao
 
Back
Top Bottom