Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 216
- 91
Kicheche hafai hata kidogo!
Aisee. Kazi sana, pole. Wa kwangu ni mtumishi kanisa la jf. Yaani masaa yote yuko kwa pc, hadi hana small house.
Shahidi: Madame B
Hebu tuwe wawazi wana jamvi wenzangu. Je kuna tabia gani au kasoro yoyote aliyonayo mwenzio wa ndoa uliyenae ambayo kama ungegundua kabla hamjaoana basi usingekubali kufunga pingu na kwa sasa unavumilia tu kwa vile ni mke/mme. Mfano mimi naanza,wa kwangu huyu ni muongo. Yaani anapenda kuongea lile ambalo anahisi mtu au watu alionao muda huo wangependa kusikia. Atamplease mtu kwa uongo hata ule wa hatari wenye madhara. Na akiongea na wewe 50% ni uongo!

wa kwangu hapendi habari za tendo la ndoa, yaani nakereka kweli!!
Wa kwangu msahaurifu waweza fikili anapuuzia vitu huwa inaniboa sana hii tabia.Na nyingine kuwa hana bujeti japokuwa sio mtu wa starehe yaani anaweza akanunua li kitu ambalo halina mantic muda huo huo kuna kitu cha msingi tumepanga kununua yaani MAHUSIANO HOMA TUPU.