Udhaifu au kasoro ya mwenzi wa ndoa usiovumilika

Kuna vitu vingine ambavyo unaweza kutofikiria sana, yaani haimaanishi najuta kuolewa nae. Sio kama uongo, lakini vitu vinavyoniudhi ni kutafuna kwa sauti! Yaani, nikisikia chakula kinavosagwa mwili wote unafreeze na inabidi ni focus kuitune out! Maybe I'm weird, but I can't stand that sh*t.
Nilidhani ni mimi tu mwenye issues na kutafuna kwa sauti!!!! Pole ila tupo wengi hapo
 
Tuliwahi, na niliyajua hayo yote kabla ya kuoana. Sijasema it's a dealbreaker, hapana that would be a stupid thing to end a relationship over. Kama huwezi kuhandle mtu anavyotafuna utaweza kuzihandle shida na taabu za ndoa? He's not perfect, but he's right for me. Anajua hilo jambo linanikera kidogo, na mimi pia naelewa kuacha mkoba wangu kitandani inamkera pia, lakini ndio hivyo nina madhaifu yangu pia. We won't break up because of it haha.

Inamaana amkuwahi kwenda Dinner au Lunch kabla ya Kuoana?? au mapenzi na yamepungua!
 
Mi sisemi udhaifu wake, hapendi nikisema tu nimeuwasha moto....
So namba 1 hiyo hapendi.......!!!!
 
Piga ua galagaza - hata kama kuna issue ya muhimu nyumbani - Yeye na mambo ya kanisani! Oh! mara kikao cha wadhamini wa kwaya; oh niko zamu ya usafi kanisani, oh kikao cha wazee wa kanisa - yaani kero tupu

itabidi mkuu muishi karibu sana na kanisa sababu my wife wako ameamua kumtumikia Mungu siyo mbaya ata anapo swaki analiona kanisa teh teh teh!
 
wewe kama mim jamani nimesema mpaka nimechoka anatafuna haraka na kwa sauti huku anaachama mdomo akiongea chakula mdomoni basi hatari tupu

Kwenye kutafuna i cannot stand mtu anayetafuna ovyo kwa sauti, uwa naugua kabisa na kusaga meno kwa hasira. Kumbe siko peke yangu
 
mmeshapeleka mashtaka kwa baba paroko,duh kama ndoa ndo hivi mi ngoja kwanza ni..............
 
Kasoro zipo, lakini siwez kusema hazivumiliki ikifikia hapo daaa.... Hata mie najua ninazo lol na huwa ananivumilia..

Ngoja nitaje yangu kwikwi kwiiiiii .. Mimi sio msikilizaji mzuriiii.. Huwa ana complain balaa. But I'm trying to work on it. . Lol.

No one is perfect.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
itabidi mkuu muishi karibu sana na kanisa sababu my wife wako ameamua kumtumikia Mungu siyo mbaya ata anapo swaki analiona kanisa teh teh teh!

Mi mwenyewe mambo ya church simind kwa kuwa naona ni kama deal za watu tu! Sasa nitakaaje karibu na church?
 
pole sana kaka coz sio mwenyewe unahangaika na mke muongo kuna rafiki yangu muongo ana Phd ya uongo dawa umshushue ikishindikana mpe likizo.:shut-mouth:
 
Hayo ndo mapenzi , kweli inaonesha ni jinsi gani mnapendana. pamoja na vituko vyote hivyo lakini mko pamoja. endeleeni kuvumiliana na kupendana zaidi. Kumbukeni maadam ni watu wawili tofauti mmelelewa tofauti lazima kuna tofauti ndogondogo kila moja wenu ataziona kwa mwenzake.Hakikisha unampa mwenzako kila kitu kila wakati anapohitaji:becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom