Udhaifu au kasoro ya mwenzi wa ndoa usiovumilika

Mtokambali

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
204
225
Hebu tuwe wawazi wana jamvi wenzangu. Je kuna tabia gani au kasoro yoyote aliyonayo mwenzio wa ndoa uliyenae ambayo kama ungegundua kabla hamjaoana basi usingekubali kufunga pingu na kwa sasa unavumilia tu kwa vile ni mke/mme. Mfano mimi naanza,wa kwangu huyu ni muongo. Yaani anapenda kuongea lile ambalo anahisi mtu au watu alionao muda huo wangependa kusikia. Atamplease mtu kwa uongo hata ule wa hatari wenye madhara. Na akiongea na wewe 50% ni uongo!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Aisee. Kazi sana, pole. Wa kwangu ni mtumishi kanisa la jf. Yaani masaa yote yuko kwa pc, hadi hana small house.
Shahidi: Madame B
 
Last edited by a moderator:

Mtokambali

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
204
225
Aisee. Kazi sana, pole. Wa kwangu ni mtumishi kanisa la jf. Yaani masaa yote yuko kwa pc, hadi hana small house.
Shahidi: Madame B

Haahahahaaa, umenichekesha. Basi itabidi uishukuru Jf na mitandao inayo mkeep bize hadi anakosa muda wa kuwa na small house....ni bora kumuona around kwenye pc kuliko akilowea kwa nyumba ndogo aise
 
Last edited by a moderator:

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,076
2,000
Wa kwangu msahaurifu waweza fikili anapuuzia vitu huwa inaniboa sana hii tabia.Na nyingine kuwa hana bujeti japokuwa sio mtu wa starehe yaani anaweza akanunua li kitu ambalo halina mantic muda huo huo kuna kitu cha msingi tumepanga kununua yaani MAHUSIANO HOMA TUPU.
 
Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,050
2,000
Piga ua galagaza - hata kama kuna issue ya muhimu nyumbani - Yeye na mambo ya kanisani! Oh! mara kikao cha wadhamini wa kwaya; oh niko zamu ya usafi kanisani, oh kikao cha wazee wa kanisa - yaani kero tupu
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
1,000
Ulimfahamu muda gani kabla ya kuoana nae? Wa kwangu sina tatizo nae, I knew him inside out before marrying him.

Hebu tuwe wawazi wana jamvi wenzangu. Je kuna tabia gani au kasoro yoyote aliyonayo mwenzio wa ndoa uliyenae ambayo kama ungegundua kabla hamjaoana basi usingekubali kufunga pingu na kwa sasa unavumilia tu kwa vile ni mke/mme. Mfano mimi naanza,wa kwangu huyu ni muongo. Yaani anapenda kuongea lile ambalo anahisi mtu au watu alionao muda huo wangependa kusikia. Atamplease mtu kwa uongo hata ule wa hatari wenye madhara. Na akiongea na wewe 50% ni uongo!
 
HoneyBee

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
912
1,000
Kuna vitu vingine ambavyo unaweza kutofikiria sana, yaani haimaanishi najuta kuolewa nae. Sio kama uongo, lakini vitu vinavyoniudhi ni kutafuna kwa sauti! Yaani, nikisikia chakula kinavosagwa mwili wote unafreeze na inabidi ni focus kuitune out! Maybe I'm weird, but I can't stand that sh*t.Hebu tuwe wawazi wana jamvi wenzangu. Je kuna tabia gani au kasoro yoyote aliyonayo mwenzio wa ndoa uliyenae ambayo kama ungegundua kabla hamjaoana basi usingekubali kufunga pingu na kwa sasa unavumilia tu kwa vile ni mke/mme. Mfano mimi naanza,wa kwangu huyu ni muongo. Yaani anapenda kuongea lile ambalo anahisi mtu au watu alionao muda huo wangependa kusikia. Atamplease mtu kwa uongo hata ule wa hatari wenye madhara. Na akiongea na wewe 50% ni uongo!
 
babe xoxo

Member
Oct 25, 2012
37
0
Hebu tuwe wawazi wana jamvi wenzangu. Je kuna tabia gani au kasoro yoyote aliyonayo mwenzio wa ndoa uliyenae ambayo kama ungegundua kabla hamjaoana basi usingekubali kufunga pingu na kwa sasa unavumilia tu kwa vile ni mke/mme. Mfano mimi naanza,wa kwangu huyu ni muongo. Yaani anapenda kuongea lile ambalo anahisi mtu au watu alionao muda huo wangependa kusikia. Atamplease mtu kwa uongo hata ule wa hatari wenye madhara. Na akiongea na wewe 50% ni uongo!

hii ni kwa wanandoa tu?? au hata mpenzi hahahaa maana mmejipendelea married couples
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,614
2,000
wanawake walio wengi siku hizi ni walevi wa kutupwaaaa....sijui kwa nini!!!

drunk%20lady%20woman%20passed%20out.jpg
 
Strawberry

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
274
195
Wanaagu anapenda kusema uongo na kusingizia jamani anaweza kukuzushia maneno balaa.na anapenda tendo la ndoa kila mda ukimnyima siku mbili atasingizia mwezi mzima basi ni makelele mtaa mzima utasikia.alafu hela za matumizi ya home adi umukwide kwanza.
 
Mtokambali

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
204
225
Wa kwangu msahaurifu waweza fikili anapuuzia vitu huwa inaniboa sana hii tabia.Na nyingine kuwa hana bujeti japokuwa sio mtu wa starehe yaani anaweza akanunua li kitu ambalo halina mantic muda huo huo kuna kitu cha msingi tumepanga kununua yaani MAHUSIANO HOMA TUPU.

tena homa kali!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom