Udhaifu au kasoro ya mwenzi wa ndoa usiovumilika

sijakuelewa nampenda mke wangu, lakini namna ya kumfanya awe active na kuenjoy hii kitu sina namna
 
hii ni kwa wanandoa tu?? au hata mpenzi hahahaa maana mmejipendelea married couples

Kama ni mpenzi tu si unasepa! Tatizo ni hizi pingu,yaani umeinvest kwake,eg mpaka mna watoto. Kijamii pia mmeshatambulika ni mke na mume halafu ndo unagundua ana kitu ambacho kinakukwaza kwa kiwango cha juu na hakiwezi kubadilika wala ku-improve. Yaani kwa kuheshimu tu mahusiano unaamua kukibeba kama msalaba wako wa maisha!
 
Kuna vitu vingine ambavyo unaweza kutofikiria sana, yaani haimaanishi najuta kuolewa nae. Sio kama uongo, lakini vitu vinavyoniudhi ni kutafuna kwa sauti! Yaani, nikisikia chakula kinavosagwa mwili wote unafreeze na inabidi ni focus kuitune out! Maybe I'm weird, but I can't stand that sh*t.

wewe kama mim jamani nimesema mpaka nimechoka anatafuna haraka na kwa sauti huku anaachama mdomo akiongea chakula mdomoni basi hatari tupu
 
wanawake walio wengi siku hizi ni walevi wa kutupwaaaa....sijui kwa nini!!!

drunk%20lady%20woman%20passed%20out.jpg

Kwa sababu wanakunywa sana pombe.
 
Ndo maana kuna kipindi cha kuchunguzana kabla ya kuoa, ukichemsha inakula kwako!
 
Inamaana amkuwahi kwenda Dinner au Lunch kabla ya Kuoana?? au mapenzi na yamepungua!

Kuna vitu vingine ambavyo unaweza kutofikiria sana, yaani haimaanishi najuta kuolewa nae. Sio kama uongo, lakini vitu vinavyoniudhi ni kutafuna kwa sauti! Yaani, nikisikia chakula kinavosagwa mwili wote unafreeze na inabidi ni focus kuitune out! Maybe I'm weird, but I can't stand that sh*t.
 
wangu ni ubishi na kuongea sana,too much talking
Na matumizi yasiyo na mantiki..........no budget, anaattach uzuri wa kitu kwenye bei, hata kama kuna k2 the same kilicho bora but cheaper, uuuuuuuuhhh, anabadilikabadilika lakini duuh, hii k2 yaniuzi na ni homa kweli
 
Haahahahaaa, umenichekesha. Basi itabidi uishukuru Jf na mitandao inayo mkeep bize hadi anakosa muda wa kuwa na small house....ni bora kumuona around kwenye pc kuliko akilowea kwa nyumba ndogo aise

Tatizo ni kuwa hatoki, sasa na mie nashindwa kuwa na small houses aka apartments. Napitwa na mambo ya mjini! Hata sio raha shosti.
 
Wanaagu anapenda kusema uongo na kusingizia jamani anaweza kukuzushia maneno balaa.na anapenda tendo la ndoa kila mda ukimnyima siku mbili atasingizia mwezi mzima basi ni makelele mtaa mzima utasikia.alafu hela za matumizi ya home adi umukwide kwanza.

khaa! Muuzie tendo la ndoa ili usipate shida kudaiana matumizi. Muambie ndo biashara inakuweka town, akigoma utaitangaza kwa gazeti. Atanyooka hadi ushanhae. Unakaa mji gani nikutafutie market price?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom