and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,104
😁😄😆😅🤣😂😃😀Haa Kesi ImeishaToa namba yake tumuulize
Una-uhakika ni wanachuo mkuu?Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?
Wakati wa introduction alisema yeye anasoma Ardhi University, BSc. Architecture.Una-uhakika ni wanachuo mkuu? unawatambuaje huwa wana ID za vyuo vyao huko club? Let's share uzoefu mkuu
Una mkaushia tu kama haukuchukua namba vile, mkikutana tena unamchangamkia vizuri zaidi, kesho kutwa unaacha shobo naye....asipojileta aachane naye afanye mambo mengineHebu wape mtiririko wa vile mambo yanatakiwa kwenda
Enhe,ukichukua namba kesho yake mchana afanyaje?


Check DMToa namba yake tumuulize
Usije ukawa umekutana na mwanafunzi wa mchongo, kwanza hakuna hiyo kozi hapo Ardhi University 😁BSc. Architecture.
Usije ukawa umekutana na mwanafunzi wa mchongo, kwanza hakuna hiyo kozi hapo Ardhi University![]()



kwishaaaaaaDada tuliza mshonoUsije ukawa umekutana na mwanafunzi wa mchongo, kwanza hakuna hiyo kozi hapo Ardhi University 😁
wale wa ustawi ambao ukiwauliza walikuwa wanasema wanasoma course ya GPA bado wapo?Wakati wa introduction alisema yeye anasoma Ardhi University, BSc. Architecture.
HaipoCheck DM
UnaibiwaaaaUnakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?




Toa namba yake tumuulize