UDAKU: Wana chit-chat walioko Tanga

UDAKU: Wana chit-chat walioko Tanga

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,548
Wakuu nimepata udaku wa matukio mbalimbali yaliyojiri na yanayoendelea kujiri kwa wana chit chat walioko safarini Tanga,nimemtafuta TANMO ili arushe bombani hajapatikana hadi sasa, TANMO popote ulipo una kazi ya kufanya huku, baadhi ni
i. Madame B awagonganisha Arushaone na PakaJimmy
ii. Babu Dark City hoi kwa Arabela
iii.. Mungi adondosha hirizi bafuni, ilikuwa imeandikwa jina la marejesho
iv. watu8 akutwa chumbani kwa Preta saa nane usiku,adai alienda kumpigia kampeni charminglady, taarifa zamfikia measkron..
v...
 
Last edited by a moderator:

Baba V mbona babu Dc ni babu yangu?
 
Last edited by a moderator:
Atakaerusha picha yangu mie na yeye. Nampiga zongo. Mind you hapa tanga nimejitambulisha kwa ile id nyingine. Hii ya mibhange ni siri sirini!
 
Mkuu hapo umemfananisha daddy angu watu8.... Pls tutakusue kwa kuichafulia jina family yetu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Atakaerusha picha yangu mie na yeye. Nampiga zongo. Mind you hapa tanga nimejitambulisha kwa ile id nyingine. Hii ya mibhange ni siri sirini!
Wewe acha nkwara huo, si wewe hapa
 
Attachments

  • drunkgirl.jpg
    drunkgirl.jpg
    29.3 KB · Views: 64
Atakaerusha picha yangu mie na yeye. Nampiga zongo. Mind you hapa tanga nimejitambulisha kwa ile id nyingine. Hii ya mibhange ni siri sirini!
hebu watoroke hao uje hapa kwa minchi nina zawadi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom